FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Huko motoni inaenda roho au mwili, kama ni roho je roho inangozi? na kama haina ngozi huo moto unakuunguzaje?!Inaaminika mbinguni sio duniani hapa ni outer space ambapo kwenda you must go up...
Na jehanam inaaminika ni kwenye inner core of the planet ambapo kwenda you must go down..
Nakubali. je huko motoni inaenda roho au mwili, kama ni roho, je roho ina ngozi? na kama haina je huo moto unakuunguzaje?!je unakataa chini hakuna moto ??
Nakubali. je huko motoni inaenda roho au mwili, kama ni roho, je roho ina ngozi? na kama haina je huo moto unakuunguzaje?!
Kwa umbo la Dunia jinsi lilivyo, hapo uliposimama wewe, muelekeo wa kichwa chako ndio unapaita juu, na muelekeo wa miguu yako ndio unapaita chini. Lakini, kwa alie upande wa pili wa dunia, kule wewe unapopaita chini, kwake yeye ndio anapaita juu,na kule wewe unapopaita juu, yeye huko ndio muelekeo wa miguu yake hivyo anapaita chini. Kwahiyo in principle hapa ulimwenguni hakuna juu wala chini bali ni endless in all directions possible! sasa kama hakuna juu wala chini maana yake kauli ya 'Juu mbinguni' vilevile haipo, halikadhalika mbinguni kwenyewe.
DON FRANCIS
Maisha ya binadamu yametawaliwa na hisia kuliko ufahamu kwa kiwango kikubwa. Na kuhusu uwepo wa juu kama "mbinguni" na chini kama "motoni" bado ni nadharia iliyojikita katika uzio wa DINI, ambayo haiwapi nafasi waamini wa DINI husika kuweza kuchanganua yaliyomo vitabuni.
Nimesema hayo logically kabisa.., its pure logic na wala si imani, kwa hiyo sio kwamba naamini bali nime-deduce hayo logically. sasa wewe unauliza nini sijui..Kwa nini unaziamini hizi principles ??
ushawahi kufanya uchunguzi au unaandika walioandika watu ??
Kwa umbo la Dunia jinsi lilivyo, hapo uliposimama wewe, muelekeo wa kichwa chako ndio unapaita juu, na muelekeo wa miguu yako ndio unapaita chini. Lakini, kwa alie upande wa pili wa dunia, kule wewe unapopaita chini, kwake yeye ndio anapaita juu,na kule wewe unapopaita juu, yeye huko ndio muelekeo wa miguu yake hivyo anapaita chini. Kwahiyo in principle hapa ulimwenguni hakuna juu wala chini bali ni endless in all directions possible! sasa kama hakuna juu wala chini maana yake kauli ya 'Juu mbinguni' vilevile haipo, halikadhalika mbinguni kwenyewe.
DON FRANCIS
kwani huko chini ni wapi ??
Kuna dini ambazo hazitoi hizi fursa mkuu?Maisha ya binadamu yametawaliwa na hisia kuliko ufahamu kwa kiwango kikubwa. Na kuhusu uwepo wa juu kama "mbinguni" na chini kama "motoni" bado ni nadharia iliyojikita katika uzio wa DINI, ambayo haiwapi nafasi waamini wa DINI husika kuweza kuchanganua yaliyomo vitabuni.
Moto unaunguza ngozi tu?Huko motoni inaenda roho au mwili, kama ni roho je roho inangozi? na kama haina ngozi huo moto unakuunguzaje?!