Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Aisee! Hadi nimechoka mwili, akili na roho
Kuna mdada mzuri tu yuko na mama yake opposite na duka langu la maudambu udambwi ni mama nt'ilie. Huyu binti alinivutia sana tokea siku ya kwanza wanafungua kijimgahawa pale. Nilikuwa mteja wa kawaida ambaye sikutaka hisia zangu ziwe wazi kwa muda ule, kutokana na tabasamu lake, anavyokarimia wateja, sauti yake, mtrako ule, dah! Nikashindwa kuvumilia kabisa. Kuna muda wakina baba walikuwa wanamvuta mvuta huku na kule baada ya kutengewa chakula, hali ile ilikuwa ikiniumiza sana
Mungu si Selemani! Siku ikafika, nikafumwa na binti nikiwa namtazama kwa matamanio makubwa sana mpaka binti akawa anajishtukia sana labda huendi sketi yake imetoboka matrakoniii niniii! Kwa kuwa tayari pembe la ng'ombe limefichuka, ikabidi niimbe nae tu
Siku ya pili baada ya mtongozo ule binti akanizoea kupita kiasi, kila route ni lazima apitie kwangu kusign. Mazoea yakamzidi ikafikia kipindi anakuja kushinda kwenye kiduka changu. Akazidisha kipimo, akaanza kuja kujipimia mahitaji yeye kama yeye, yaani ile mnapiga story, unageuka huku, ukirudisha shingo unakuta ana chupa la fanta anashushia, akiona unataka kumkaripia ama kukasirika anapanua mapaja! Ikafikia kipindi ukisema uende mariwatoni unakuta kapima kasukari, anapeleka kwenye chai ya wateja
Hivi wanawake wakoje ndugu zanguni? Mimi nikifirisika yeye atapata faida gani?