Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Nimbandue niringe, nliomba date ya kumpeleka mjini akale burger akaringa, nlipiga vocal akaniambia atanipa jibu baada ya siku 3, siku ya 5 nakuja kutana nae hana la kuongea, nkaona hapa hamna kitu, nkapata safari ya mbali, haikupita miezi 5 nkaja sikia kapewa ujauzito na mtu ambae looh nikijangalia mimi na huyo mwanaume bora mimi, sio mimi tu hadi vijana pale mtaani walishangaa imekuaje akamkubali huyo mhuniUshambandua au bado?
Alipewa ujauzito na kijana flani mla mirungi, naskia huyo kijana ana mangeu usoni, nlishangaa sana.
Bora angepewa ujauzito hata na kijana wa maana, mademu wengine bana wana choices za ajabu sana linapokuja swala la mtu wa kuzaa nae, 😁 situation yangu ilikuwa ni sawa na demu amkatae Millard ayo halafu azae na hamorapa. Extrovert