Hivi ni kwanini ukimchekea chekea mwanamke kwenye biashara, anawaza kukufirisi tu?

Ushambandua au bado?
Nimbandue niringe, nliomba date ya kumpeleka mjini akale burger akaringa, nlipiga vocal akaniambia atanipa jibu baada ya siku 3, siku ya 5 nakuja kutana nae hana la kuongea, nkaona hapa hamna kitu, nkapata safari ya mbali, haikupita miezi 5 nkaja sikia kapewa ujauzito na mtu ambae looh nikijangalia mimi na huyo mwanaume bora mimi, sio mimi tu hadi vijana pale mtaani walishangaa imekuaje akamkubali huyo mhuni

Alipewa ujauzito na kijana flani mla mirungi, naskia huyo kijana ana mangeu usoni, nlishangaa sana.

Bora angepewa ujauzito hata na kijana wa maana, mademu wengine bana wana choices za ajabu sana linapokuja swala la mtu wa kuzaa nae, 😁 situation yangu ilikuwa ni sawa na demu amkatae Millard ayo halafu azae na hamorapa. Extrovert
 
Balqior kumbe ulimuangusha DR HAYA LAND kitambo sana leo kabora atoe la moyoni na thread yake ya weakness of our fellow niggas 🤣🤣🤣
 
😆😆😆😆 Nawe uwe unamwagiza chakula mgahawani kwao halafu hulipi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wako loyal to their feelings sana, sometimes wanakuwa empathetic sana maybe alihisi anaweza akambadilisha mkali kwanza kuwa Juma Jux😁
 
Mwanamke hawezi Kukufilisi Mwanaume,,Labda wanawake ndio wanaweza Kukufilisi Mwanaume.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wako loyal to their feelings sana, sometimes wanakuwa empathetic sana maybe alihisi anaweza akambadilisha mkali kwanza kuwa Juma Jux😁
Hamna cha feelings bana, saa ingine nahisi ni ujinga binafsi wa demu, unajua mfano mimi demu akinikataa halafu akaenda mkubalia mtu kama jux mfano au kijana mwingine ambae yoko responsible, sitoshangaa ntasema ni haki ya huyo mdada sababu huyo mwanaume mfano jux kanizidi, status, muonekano, finance. Au kama ni kijana mwingine wa maana maana alie responsible ntawatakia kila la heri kwenye mahusiano Yao, coz beauty is in eyes of beholder

Sasa mtu ni pisi tena yuko kwenye prime years anaenda chukua mla mirungi au anaenda zaa na mme wa mtu, alooh..

Unaweza shangaa hao wanaume wa hovyo wanawadanganya hao wadada kuwa Wana Mali kiasi kadhaa, au wanawadanganya na swaga za kuwapa elf 20 au 30 sasa huo si ujinga binafsi 😁 Extrovert
 
Aiseee,ni kweli kuna mabinti ule wakat wa kubarehe linakuwa limenona ni hatari afu inatokea linakuzoea hatari lazima uwe kama umepigwa shot
 
Kuna mjinga mmoja kanizoea hvyo yaan hata akinikuta kwenye biashara yoyote analeta mazoea ya kijinga,ni mke wa mtu ila nataka nimpige tu pipe

yAan anajipangia bei na nikimkazia atakaa mlangoni hata nusu saa kunibembeleza tu nimzie anavyotaka
 
Yaani unalalama na Fanta 3 na vikilo vya sukari.Usiyavulie nguo maji usiyoweza kuyakoga.
Ubahli na kupenda haviendani.Yaani unakwenda kuvua chambo ikiliwa unalalama?Huyo samaki utampata vipi?
Chukua sheria mkononi mapenzi hayakufai.
Sawa Dully Sykes

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ahah mkuu we siulitaka umbandue tu, mweznio kapata wa kuzaa nae kabisa.

Afu hizo ngeu na mann sijui ni non hereditary materials

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Amekuja kwa kazi maalum. hakuachi mpaka akufilisi.
 
Ukimchekea anaona amepata upenyo wa kuingia kwako,kumbuka ukicheka na nyani utavuna mabua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…