Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Wanaume wengi wenye wanawake wengi wana upungufu wa nguvu za kiume ingawa mnahangaika ka bisi kikaangoni. Na ndio maana wanawake huwa tunawafanyia matukio kimya kimya hamjui tu
 
Na mimi ndiyo ninachosema kila siku kuwa ni bora hata maandiko kuliko tamaduni maana hizo ndiyo kabisa yaani hapo kweli mababu zetu walijua kujipendelea!!
lengo langu lilikua ni kuelewesha tu source ya haya yote ni nini. kama unaona biblia inawanyanyasa mnataka turudi kwenye maadili ya kiafrika? huko si ndo mtavuja damu kabisa?
 
Hilo swala na haki sawa lazima ufikirie beyond sio huku wa Africa mnaamini kuonea mwanamke na kumfanyia uchafu ndo uanaume tu,
Huu uongo ulio pitiliza sababu hata ushahidi uwezi kuutoa.

Pili,kwanini jambo la wachache unalijumuisha kwa wote ?
na hamtaki kuheshimu wala kuwaruhusu wawe huru wakati ni binadamu.
Kwako wewe heshima ni nini au kwa jinsi ulivyofundishwa heshima ni nini ?

Uhuru unao uzungumzia wewe ni uhuru gani na kwa mujibu wa nani ? Je kwa mujibu wa watetezi wa haki zenu au wanaharakati au kwa mujibi wa nani hasa ?

Uhuru wa mwanamke unategemea nini ?
 
Hahahaa umenikumbusha mbali ujue,,,, kwenye mambo magumu haki sawa hai balance
 
Natamani haya unayoyaandika kwenye comments uyaanzishie thread kabisa ili kila mtu ayaone maana hapa najua kuna watu hawayaoni hivyo watakosa kuujua huu ukweli
 
Bora wewe umekuwa mwazi
 
Sawa kwahiyo wanaume mmeruhusiwa na Mungu kutenda maovu?? Mimi naomba kwa sasa unijibu hilo tu hayo mengine yote nayajua na hata uyaongee mara ngapi nitakuuliza swali hili hili!!


Uovu upi huo sasa. Mtawala ndiye anajua uovu sio wewe mtawaliwa.

Wewe huna haki ya kuuliza habari za matendo ya wanaume wakati uliletwa kwa ajili yao.

Kuwa mpole au endelea kupoteza muda hapo mkuu.

Kuna msemo unasema; Usiulize kwa nini kwa mtu usiyeweza kumhukumu.

Endelea kupoteza muda wako kwa jambo walioshindwa wanawake wenye nguvu, wazuri, wenye kila sifa lakini waliambulia patupu.

Naimani Mambo haya huwezi thubutu mpelekea Mume wako kwa maana atakufukuza kama paka shume.
 
Tukifika mwanamke azae kwa uchungu mwanaume atafute kwa jasho maandiko hayahusiki
Sasa kwanini wanawake nao wameingikia majukumu yetu ya kimaumbile ? Nani aliwaambia na nyinyi mtafute hela kwa jasho ? Nyinyi mnapaswa mkae nyumbani mzae sisi tuwaletee hela.
 
Wanasingizia eti maumbile yanawafavour sasa mbona na magonjwa ya zinaa nayo hayawafavour wote yanawaua kama yanavyowaua wanawake tu??
Kwa hiyo kuwa juu yetu, au kuwa mtawala ndio inawapa uhalali wa kufanya dhambi?
Au ndio mkifanya dhambi zinageuka kuwa "haki" huku zetu wanawake zinaonekana kinyaa?
 
Yes Exactly
Kuna biashara yoyote inayofanikiwa bila kuwa na wanunuzi?
Mnavyoonekana kukerwa na wanawake wanaojiuza nilitegemea kwa pamoja muungane mpinge kununua lakini sio mnanunua baadae mnakuja kuhubiri dhambi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…