Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Wanaume wengi wenye wanawake wengi wana upungufu wa nguvu za kiume ingawa mnahangaika ka bisi kikaangoni. Na ndio maana wanawake huwa tunawafanyia matukio kimya kimya hamjui tu
Mahitaji makubwa ya mwanaume katika mahusiano ni se.x,na ni vigumu mwanamke mmoja kumtimizia mara zote pale mwanaume anapohitaji;ukiona watu wameishi kwenye uhusiano au ndoa miaka mingi na yenye utulivu jua ya kuwa mzee (me) kuna sehemu anapiga show kistaarabu.Kwa sasa hivi unaweza usiitambue ila ingia kwenye ndoa,na bahati mbaya ukutane na mtu ambaye nguvu zake bado kuchakachuliwa;utashangaa kila baada ya dakika 30 anataka,kwa hali hiyo kwako itakuwa ni mateso....kwa hiyo akichepuka nje inakuwa ni unafuu na utulivu ndani ya nyumba.
 
Na mimi ndiyo ninachosema kila siku kuwa ni bora hata maandiko kuliko tamaduni maana hizo ndiyo kabisa yaani hapo kweli mababu zetu walijua kujipendelea!!
lengo langu lilikua ni kuelewesha tu source ya haya yote ni nini. kama unaona biblia inawanyanyasa mnataka turudi kwenye maadili ya kiafrika? huko si ndo mtavuja damu kabisa?
 
Hilo swala na haki sawa lazima ufikirie beyond sio huku wa Africa mnaamini kuonea mwanamke na kumfanyia uchafu ndo uanaume tu,
Huu uongo ulio pitiliza sababu hata ushahidi uwezi kuutoa.

Pili,kwanini jambo la wachache unalijumuisha kwa wote ?
na hamtaki kuheshimu wala kuwaruhusu wawe huru wakati ni binadamu.
Kwako wewe heshima ni nini au kwa jinsi ulivyofundishwa heshima ni nini ?

Uhuru unao uzungumzia wewe ni uhuru gani na kwa mujibu wa nani ? Je kwa mujibu wa watetezi wa haki zenu au wanaharakati au kwa mujibi wa nani hasa ?

Uhuru wa mwanamke unategemea nini ?
 
Kama ingekuwa tunaendana na tupo sawa basi pele lingekua limempata mkunaji..

Mnasema hamna cha kupoteza eti niiiiniiiiiii ??? Iyo kitu ikishakuwa ndala utajiringanisha na ya binti wa miaka 18 hebu shika adabu yako...

Kimsingi nyie ndio mnaongoza kwa kulalamika na kuongea sana kuhusu wanaume..hebu fikiria kuna taasisi ngapi mmeanzisha kwa ajili ya kuwatetea wanawake ?????na za wanaume zipo ngapi ???

Tena mkafika mbali eti mnataka haki sawa yani 50/50 tukasema hakuna shida akija kaka jambazi huko nnje anza kutoka wewe mkasema ooihh haki sawa hatukumaanishi hivyo...

Dhambi zetu haziwezi kuwa sawa hata kidogo wewe unatia sisi tunatia mwanaume anaweza kuwapa mimba wanawake 10 ndani ya mwaka mmoja je wewe kama mwanamke peke yako unaweza kushika mimba 10 ndani ya mwaka mmoja..

Tunapoamua kuwa wanaume nyie wanawake inatakiwa mshinde jikoni ata hivyo mshukuru tumewahurumia sana..

Njoo pm baby tuongezee zaidi
Hahahaa umenikumbusha mbali ujue,,,, kwenye mambo magumu haki sawa hai balance
 
Natamani haya unayoyaandika kwenye comments uyaanzishie thread kabisa ili kila mtu ayaone maana hapa najua kuna watu hawayaoni hivyo watakosa kuujua huu ukweli
Biblia kwanza haijahalalisha dhambi yoyote vile watu mnatafsiri vibaya tu maandiko, mila za kiaftica zako hazitumiki zimeachwa siku mingi. Sasa hivi technology, education mambo mengi ya hovyo yameshaachwa ndo mana hata nyie mnalalamika wanawake wameharibika vile wanawake wanajitambua, na nyie wanaume wa Africa uanaume wenu ili ukamilike ni lazima mnyanyase wanawake mwanamke mjanja mnamuogopa ka homa ya ini
 
Bora wewe umekuwa mwazi
You could have been a very good company to her.

Mtuvumilie tu, maisha yamebadilika katika kiasi ambacho hatukuwa tumejipanga nacho, we relaxed thinking kwamba we will always be on top.

Shule, utandawazi umeleta mabadiliko ambayo hatukuyategemea, so linapokuja swala la kukutana na wanawake ambao ni argumentative, cash self independent, brain na reasoning tunajikuta Thrones zinakuwa hatarini.

Kinachobaki kinafanyika, tunafanya personal attack, character assassination na abuses kuraise esteem yetu. Na hii ni kwa sababu tumeshindwa kupambana katika level hitajika.

Mtusamehe bure.
 
Sawa kwahiyo wanaume mmeruhusiwa na Mungu kutenda maovu?? Mimi naomba kwa sasa unijibu hilo tu hayo mengine yote nayajua na hata uyaongee mara ngapi nitakuuliza swali hili hili!!


Uovu upi huo sasa. Mtawala ndiye anajua uovu sio wewe mtawaliwa.

Wewe huna haki ya kuuliza habari za matendo ya wanaume wakati uliletwa kwa ajili yao.

Kuwa mpole au endelea kupoteza muda hapo mkuu.

Kuna msemo unasema; Usiulize kwa nini kwa mtu usiyeweza kumhukumu.

Endelea kupoteza muda wako kwa jambo walioshindwa wanawake wenye nguvu, wazuri, wenye kila sifa lakini waliambulia patupu.

Naimani Mambo haya huwezi thubutu mpelekea Mume wako kwa maana atakufukuza kama paka shume.
 
Tukifika mwanamke azae kwa uchungu mwanaume atafute kwa jasho maandiko hayahusiki
Sasa kwanini wanawake nao wameingikia majukumu yetu ya kimaumbile ? Nani aliwaambia na nyinyi mtafute hela kwa jasho ? Nyinyi mnapaswa mkae nyumbani mzae sisi tuwaletee hela.
 
Wanasingizia eti maumbile yanawafavour sasa mbona na magonjwa ya zinaa nayo hayawafavour wote yanawaua kama yanavyowaua wanawake tu??
Kwa hiyo kuwa juu yetu, au kuwa mtawala ndio inawapa uhalali wa kufanya dhambi?
Au ndio mkifanya dhambi zinageuka kuwa "haki" huku zetu wanawake zinaonekana kinyaa?
 
Yes Exactly
Kuna biashara yoyote inayofanikiwa bila kuwa na wanunuzi?
Mnavyoonekana kukerwa na wanawake wanaojiuza nilitegemea kwa pamoja muungane mpinge kununua lakini sio mnanunua baadae mnakuja kuhubiri dhambi zetu.
 
Back
Top Bottom