Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Si kweli nyie ndo huanza kuyumbisha ndoa hasa mkishapata hela mnajiona majogoo mashenzi mnatesa wanawake wenu sasa zikiisha mnajifanya malaika kurudi mapema sasa na wanawake mda huo tunawanyoosha.

Hyo ya kwenda Kwa RC ni wanawake wamekuwa na ujasiri nyie sihuwa mnakimbilia kutekeleza watoto na kuwa street children na hamkomi wallah kujali, mngekuwa mnajali msingekimbia na kuacha wanenu wateseke. Hafu single father hawafiki laki moja maana huwa hamjali.

Hyo ya matajiri wakike ni hamna hata matajiri weusi nchi alikuwa mengi na mwingine kwahyo na wao unataka kusema na wao ni wanawake vile wako wachache.

Wanawake tunapambana kufika juu zaidi hata tukiwa na vipato lazima tutafte aliyevzuri maana vijana wasasa hampendi kazi ni kulelewa tu, yani vyote tufanye nyie mubaki tu
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hakika wanawake ni jeshi kubwa nilitaka nimkazanie hapo ila nikaona nimuache maana comment yangu ingekuwa ndefu lakini asante umenisaidia na hata mimi nasubiri jibu lake hapo
Kanipa jibu nikasome mwanzo nikitulia ntaenda nisome na ntaandika hicho kifungu kwenye reply yake ntakutag usijali

Pole kwa shughuli nzito hii mi nilivyo mvivu kutype ooooooh hiki kikombe sikiwezi aisee
 
Mimi heshima kwangu ni jambo la msingi mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, mzee, kijana mama n.k
Bado hujatoa maana ainishi zaidi ya kurudia kile ambacho kipo wazi na tulicho kizoea.


Sio kila siku kuona wanawake ni wahanga wa wanaume wapuuzi waliojihalalishia uonevu in the name of mila, sijui Mimi kichwa cha Nyumba wakati hata mbuzi ana kichwa vile vile
Maana naona bibie kama unalalamika bila kujenga hoja,ngoja nikusaidie kwa mtindo huu,hivi wewe unaijuaje haki yako ? Kwamba unatumia nini kuijua kwamba hii ni haki yako ?
 
Kanipa jibu nikasome mwanzo nikitulia ntaenda nisome na ntaandika hicho kifungu kwenye reply yake ntakutag usijali

Pole kwa shughuli nzito hii mi nilivyo mvivu kutype ooooooh hiki kikombe sikiwezi aisee
Huwa wanabishana Hadi usiku wa manane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I'm afraid you got me wrong again. I'm not sold on the notion that men are superior to women a teeny weeny more than you . However, I vehemently believe that men are more efficient in different aspects of life than women. You seem to have confounded efficiency with superiority.
 
Leo umewakalia sawasawa na cariha nae kuna mwingine nimemuona nimesahau ID yake mi kazi yangu kutembeza like tu na kusoma comment kwa comment
 
Uzi unakimbia ni hatari,nilitamani niongee lakini roho inaniuma
Anyway siku ikitokea nikaoa mwanamke mwenye mrengo kama wa mleta mada nitaua! Mungu anisaidie uwa sipendi ujinga kabisa
 
Nami namalizia kwa kusema binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu na tumewekewa sheria za kufuata hatujaumbwa kwa mfano wa vitu wala wanyama
Naona uzi umejijadili wenyewe , naona sina cha kuchangia , namaliza kwa kusema "Funguo inayofungua milango yote ina thamani kubwa sana , inamilikiwa na wenye pesa nyingi, ila kufuli inayofunguliwa na kila funguo ni useless utaikuta jalalani"
 
Uzi unakimbia ni hatari,nilitamani niongee lakini roho inaniuma
Anyway siku ikitokea nikaoa mwanamke mwenye mrengo kama wa mleta mada nitaua! Mungu anisaidie uwa sipendi ujinga kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mi najua comment za mtu hulingana na experience alizopitia. inaonekana wewe umefanyiwa uchafu mwingi sana na wanaume. unaongea kwa uchungu sana. pole
Sio kwamba ana ile inayoitwa "exposure" mkipata mwanamke anaejua kupinga kwa hoja mnaanzaga kujifanya watabiri wa maisha yao ilhali hata sauti yake tu huijui,,, nyie mnatuoneaga tu sie waporipori kumbe, leo mmekuwa wadogo kama sisimizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…