Sijui imani yako ya kidini lakini haya maswala ya kubishana hapa yasikufanye umkufuru muumba wako.Na viliandikwa na wanaume hivo loh
Hahaha hivi Stockholm ni Denmark kweli?Mzee wa Stockholm Denmark masikini usijali ipo siku ndoto zako za kwenda huko zitatimia tu usikate tamaa
Hahaha!! Kujisifia mimba siyo kwasababu kuna mchango wa mwanaume hapo. Unatakiwa ujisifie kitu ambacho wewe mwanamke unakifanya bila mchango wa mwanaume. Samahani lakini mama kwa kukukosoa..Kwahiyo mnataka na sisi tuanze kujisifia kwa uwezo wetu wa kubeba mimba na kuzaa siyo??
Hahahahhahahaha.... Third wave feminist Marianah hongera sana kwa bandiko zuri. Umepangilia vizuri kweli habari yako mpaka nimekutamani.
Tukija kwenye kiini cha mada yako:
Kwanza kabisa kubali kataa mwanaume ni kiumbe superior kwa mwanamke na itaendelea kuwa hivyo mpaka dunia inafika mwisho. Na hii iko kiimani na kibailojia pia.
Binafsi naamini kwenye suala la maovu machoni mwa mwenyezi Mungu wote tuko sawa maana hakuna jinsia yenye haki ya kutenda zambi.
Maana sheria za Mungu zinaeleweka wazi kabisa kila mtu kwa jinsia yake na nafasi yake ni namna gani anavyotakiwa kumtumikia Mungu wake kwa kuepuka utendaji wa dhambi.
Pamoja na kwamba maandiko yanasema mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe haimaanishi kwamba Mwanaume hawezi kuwa mpumbavu na akaivunja ndoa yake mwenyewe. Jukumu la kulinda ndoa ni la wote.
Pamoja na kwamba kwamba maandiko yanasema mwanamke anapaswa amtii na kumuheshimu mume wake haimaniishi kwamba Mwanaume huyo ana haki ya kutomuheshimu mke wake.
Maandiko yanaposema mwanamke mzinzi adhabu yake ni kupigwa mawe mpaka umauti, haimaaniishi kwamba wanaume ni haki yao kufanya uzinzi na hawastahili adhabu.
Kwa ufupi tu tukiongelea uovu au nidhamu wote tuko sawa kwa Mungu japo kwa mitazamo ya walimwengu mwanamke anaonekana kuwa ndio mkosefu zaidi.
Kwa bahati mbaya sana jamii yetu ya sasa inaishi kwa kutofuata maandiko na hata yakifuatwa hayafuatwi kama yanavyopaswa.
Kwa kuwa maisha yetu asilimia kubwa hayafuati tena muongozo wa kidini basi ndio maana tunaishi kwa kutupiana Lawama huku kila mmoja akijiona yu mkamilifu.
Kilichopo sasa hivi kwenye athari za maovu tunayoyafanya uzito wake unaamuliwa na tofauti zetu za kibaiolojia, kwenye maovu ambayo tunashiriki wote mfano uzinzi athari zinakuwa kubwa kwa mwanamke kuiliko kwa mwanaume na ndio maana jamii inamuona yeye ndio mkosefu huku ikimsahau mwanaume.
Lakin yote kwa yote mwanamke ni kiumbe dhaifu kwa mwanaume na itaendelea kuwa hivyo haijalishi hata kama zitaundwa taasisi ngapi za kumpa preferential treatment hili awe sawa na mwanaume.
Siku foreman anapopambana na meneja. Huo ulinganifu ulioufanya sio halisia, ni hulka yako ya kujilinfanisha. Jitafakari sana ujikubali nafasi yako, wala si kuleta hesabu za mlinganyo kwenye maisha. Itoshe tu kukushauri hivyo ewe mpambanaji
Mwanamke anaweza kutoa mimba au kutupa mtoto ila ukumbuke na sisi wanaume tunachangia kwa 70% ya utoaji mimba. Ni sawa nakuchukua panga au kamba unampa mtu na unamwambia nyonga huyo mtu ukimuacha urafiki mimi na wewe unaisha. Unalala na mwanamke bila condom halafu anapata ujauzito unaukataa au unamwambia atoe huo ujauzito na kweli mwanamke anatoa. Ukimpa mwanamke mimba hata kama ni mtoaji mimba aliyekubuhu ukikomaa hatoi hiyo mimba.Hakuna Mwanaume anaweza kuwa na roho kama ya wanawake wanaofanya Abortion. Yaani wanaoua vichanga au kuwatupa chooni au mtaroni na kusepa.
Kwanini nyinyi msiungane kupinga kuuza. Sisi tunanunua kwa sababu zipo zinauzwa.
Ki uhalisia mkubali lawama kwamaana nyie ndo mna tulea.
Wamama wakiwaona binti zao wakiachia paja wazi ilikua ni vifinyo kwa sasa ndo kwanzaa hata chupi hamvai tutakaa sawa kweli?
Naona sasa hauna hoja zaidi ya kuja na mihemko na 'fyoko fyoko' zako hivi hiyo amri ya mwanaume kumtawala mwanamke Mungu aliitoa kabla au baada ya tunda kuliwa?? Halafu uwe unajibu maswali basi!!
Ulimpa nani simu yako??Wow hongereni sana kumbe wanawake wa kibongo mmepiga hatua kubwa kiasi hiki kiuchumi !?
Baasi tuna haki ya kujivunia kwa maendeleo makubwa waliyonayo wanawake zetu, maana mmewazidi mpaka wanawake wa USA ambako wanaume bado ni dominant kwenye business arena.
Hiki ni kitabu gani kwenye Biblia!Mungu unaemuabudu umemjulia kupitia biblia hii hii ambayo inawafeva wanaume. unajua mda mwingine tukubali facts, haina haja ya kubishana.View attachment 1208094View attachment 1208095View attachment 1208096
sitaki mbichi hizi 🙂Hahahaha hata hivyo huna la kufanana na huyu mfalme siwezi kujipitisha
Huo sio uwezo wako bali unawezeshwa.Kwahiyo mnataka na sisi tuanze kujisifia kwa uwezo wetu wa kubeba mimba na kuzaa siyo??
Mwanaume na mwanamke ni sawa na mchana na usiku.
sitaki mbichi hizi 🙂
Ndio maana na mimi niliandika abortion au uuaji ,, sababu nilijua kabisa utakuja kuandika hivi ulivyoandikaKuna mahali nimesema Mwanaume anafanya abortion?
Hatahivyo sikuwa serious...najua Abortion hailingani na musturbation hata kidogo.
Inamaana mrembo unabishana na maandiko ya Mungu??Wewe ulishawahi kumuona huyo mungu au vile viliandikwa na wanaume Kwa hisia mkajipendelea, acheni kujificha kwenye maandiko ili kukandamiza wanawake, eti mlaumu Mungu mxiiiiiew, ndio maana ili udumu na mwanamke lazima umuonee mwanamke, mabadiliko ya sasa ya wanawake kuwa huru mnabaki kulia lia umagharibi, I'm happy wanawake sasa tuna raise against all forms of discrimination na years to come tuta rule the world na nyie muanze kulia lia tu.
Sawa endelea kubishana Ndiyo tabia zenu huko tzMzee wa Stockholm Denmark masikini usijali ipo siku ndoto zako za kwenda huko zitatimia tu usikate tamaa