Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Adamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu. Akatawale viumbe wote. Baadaye Mungu akaona hakuna wa kufanana na Adamu. Na ndipo wazo la kumuumba Hawa likazuka.
Japokuwa nipo kinyume na huyu dada na wote mfano wake. Sisi wanaume ambao ni watawala wa wanawake na ni wasimamizi pia,tunatakiwa tutumie marejeo kwa usahihi kuliko kutumia uongo ili kujiweka ju,hakuna haja hiyo kwani sisi ni wasimamizi kwao,anasema Allaha aliye juu :

34. Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.
35. Na mkichelea kutakuwapo mfarakano baina ya mke na mume basi pelekeni muamuzi kutokana na jamaa za mume, na muamuzi kutokana na jamaa za mke. Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye khabari. (an Nisaa : 34 - 35)

Si kweli kwamba Mola alimuumba Adamu kwa mfano wake,sababu Mola hafanani na kiumbe chochote,na si kweli ya kuwa sababu ya kuumbwa Hawa ilikuwa ni baada ya Mola kuona hakuna wa kufanana na Adamu,suala la kuumbwa Hawa lilikuwa ni katika mpango wa Mola,na Mola huwa anafanya mambo kwa wakati na kwa utaratibu,kwahiyo madai yako ni ya uongo sababu yanamtia dosari Mola wetu muumba,mjuzi wa kuumba na kupanga mambo.

Kwahiyo tukiandika tuandike ya kweli na haki hakuna haja ya kutumia uongo kuwajibu wanawake,kwani kuna hoja nyingi za kweli ambazo hakuna Mwanamke mwenye akili timamu awezae kuzipinga ukiona wanazipinga ujue hao hawako timamu.

Tuko pamoja kaka.

Nipo .....
 
Wishing you all the best in your movements !! Keep moving!!
 
Kama mnalijua hilo kwanini mnahangaika na wanawake waliobaki?? Kwani wema si wapo basi hao hao wanatosha!!
Na mwanaume anaye jitambua hawez ku date na mwanamke Kama ww

Ila Ucjal endeleza uhanarakati wako

Sisi tutaoa hao wanawake wema waliobaki
 
Hivo vitabu viliandikwa na watu kumbe hTa wewe hujui hilo au unabisha tu. Hyo superior yangu itabaki mdomoni maana haki sawa ndo agenda ya dunia Kwa sasa tunaenda 50/50 kwenye kila sector ndio maana mabadiliko haya yanawaumiza wanaume wa Africa hamkujiandaa kisaikolojia, things changed so sudden, huo ni ukweli mchungu Kwa sasa wanawake nikipaumbele kwenye kila jambo la kimaendeleo, nyie mumelala na nyimbo za superior than women's stukeni muendane na mabadiliko stress zitawaua oooh
 
Kwanini huogopi kuandika uongo ? Jambo kama hulijui ni bora ukauliza.
 

Kwa hii comment unonekana tu pamoja na kuishi kwenye hiyo jamii ya wastaarabu na wanaojielewa, ila wewe bado ujastaharabika wala kujielewa.
 
Ndio ni kukosa Uhuru kwanini umnyime mtu kufanya jambo in the name of dini. Kuwa kiongozi ni haki ya yote yule aliyetimamu na mwenye vigezo. Kwanini utenge watu huo ni ubaguzi mkubwa wakupigwa popote pale mbinguni au kuzimu aisee.

Mwanamke anastaili kufanya lolote lile as long as havunji katiba na sheria ya nchi. Discrimination yoyote ya sex napinga, not only sex had ya age, race......
Kwanza mjadala huru mnakimbilia maandiko acheni kuharibu mjadala stick nahoja hapa sio msikitini au kanisani please?
 
Nan kasema mnaendana nasi 50/50???
Dada embu acha kujipa moyo bhanaa.
Bado tunawatawala kifikra na kimabavu pia popote pale.
Si kiuchumi wala si kijamii wala si kisiasa bado mpo chini yetu wacha kujipa moyo ndugu yangu.
Nataka siku mubebeshe mwanaume mimba ndipo nitaona kweli tuko sawa.
Nataka malalamiko ya kuandamana kuwa hamuolewi duniani yasiwepo ndipo nitaamini kweli tuko sawa hamsini kwa hamsini.
Laa sivyo acheni kuiga kunya kwa tembo mnajiumiza.
Jeuri zenu zinawafanya mnakosa hata wame siku hizi ilhali munawahitaji.
Leta ushahidi kama vimeandikwa na watu binafsi hivyo vitabu vya maandiko.

Na hiki Kitendo cha kusema kuwa wanaume tumeandika hayo maandiko inadhihirisha ufinyu wenu wa akili kuwa kama kweli tumeandika basi muna akili finyu mumeamin na munaishi ndani ya maandiko tuloandika na kuyatumikia wengi wenu.
Kwanini nanyi hamkuandika maandiko ya kupinga tuliyoyaandika????
 
Ninyi tangu mmeanza kupambana na maovu ya wanawake mmefanikiwa kuyaondoa kwenye jamii??
Mkuu marianah kuna jambo nilikuwa sijakuelewa vizuri??
Wewe unatetea maovu yanayofanywa na wanawake?? Na kama ni ndyo kwann utetee uovu unaotendwa na jinsia moja??? na si kukemea aina yoyote ya uovu unaotendendeka katika jamii zetu na watu wote kwa ujumla??
 
Kwanini mwanamke achunge Nyumba sikuhizi kuna CCTV kamera
 
Tatizo lako unajifanya umeshai hack mind yangu. Na pengine wakati unaandika huu uzi ulikuwa tayari una mawazo yako kichwani kuwa mimi nikija hapa mchango wangu utawa vipi.
 
Ngoja tuongeze sauti askie vizuri.
 
Sipati picha hicho kipindi ambacho kweli mtakuwa nyie ndo mna sauti ya mwisho duniani cha kwanza viwanda vya nguo vitafungwa maana hakuna kiumbe mwenye utashi anayependa kukaa uchi kama sio half naked kama mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…