Yaishe nawe hujui utani sio kaka yangu wa damu ni mume wa dada yangu hii nayo kataa πππMimi kaka yako wa damu ?
Katika kazi kubwa ni kujadiliana na watoto wa kike,yaani huwa hamjui vitu na mkibanwa pia mtasema tunawaonea,yaani kulia lia.
Haina haja ya kutaja achievements zangu mm mchonga viazi masangati na mkaranga kuku basi.Sihami mada Niko palepale wewe achievement yako nini maana mabilionea wengi huwezi kukuta wanadharau wanawake ka nyie. Only wanaume wasio na mbele na nyuma hufanya wanawake punching bag zao za inferiority complex
Kwa heshima na taadhima naomba uwe mke wangu wa nne.Amen....... Ongeza sauti Kuna wavaa suruwali hawajasikia vizuri
Yaishe nawe hujui utani sio kaka yangu wa damu ni mume wa dada yangu hii nayo kataa πππ
Eti dr mwaka bingwa huyo.mwenye division four had alifungiwa hafu point of correction sio kijimwanamke ni mwanamke, kumbe na argue na mwanaume zero IQ full of prejudices aisee. Wewe hata ctaki kukujibu umefungiwa Kwa box koma kabisa eti kijimwanamkeMama mpo sawa na sisi ktk nn tukianzia hapa Tanzania tu??
Kama matajiri wakubwa ni wanaume,kama madaktari bingwa nguli wengi wanaume mathalan Dr.Mwaka wa masuala ya uzazi tulilisikia kile kijanamke chenu Dr.Rahabu sijui kimefia wapi.
Wapi mko sawa na sisi embu tuchambue sekta moja moja???
Hili ni tatizo lako binafsi,hapo kuna sababu zaidi ya moja.Zurri hajawahi kuwa na hoja inayoeleweka
Nimepima uelewa wako nikagundua tu huko myopic dada angu.Eti dr mwaka bingwa huyo.mwenye division four had alifungiwa hafu point of correction sio kijimwanamke ni mwanamke, kumbe na argue na mwanaume zero IQ full of prejudices aisee. Wewe hata ctaki kukujibu umefungiwa Kwa box koma kabisa eti kijimwanamke
Mimi huwa ni mwepesi sana wakuelewa,lazima nijikite kwenye mzizi wa hoja yako,kama hujui haki ni nini huwezi kuitetea na kupatia na kuijua haki yako,ndio maana unatapa tapa na kukosa pa kushika ,hujaonyesha unajuaje haki zaidi ya kudai na kutoa kauli mbiu.Wewe unakwepa hoja ya misingi Kwa Ku stick eti najuaje haki yangu mbona shakueleza tangu mwanzo a to z.
Kwa taarifa tu huko ulipo wewe na huyo bwana yako mimi nilishapita miaka 15 iliyopita, kuniona hivi nilivyo haijatokea tu ghafla ghafla.Yani gelofriend wako ana amini kabisa na mwanaume wa karne ya 21 huku unaishi akili ya zama za mawe za kati. Inasikitisha namhurumia mwanamke mwenzangu kalamba garasha.
Mie mwanaume wangu ni rijali mwanaume wa shoka hasa level yake ya maturity ni kubwa sana kiasi hizi mambo za discrimination hana na hajawahi zifikiria. Yani mwanaume wangu ni Kigoma mwisho wa reli I wish wanaume wote wangejielewa ka yeye
Ona unavyopteza kumbukumbu,umesahau kwamba wewe ndio ulikuwa unalalama ya kuwa nimekimbilia kwenye dini ili kujilinda au kujihami ?Mana unanichanganyia tu madesa hapa kurukia kila jambo Mara uzalilishaji Mara sina dini stick Kwa hoja yako please
Hata wewe mwenyewe hujaelewa kama yeye ambavyo yeye hajanielewa.Aliyekwambia anatafuta kuhurumiwa Ni Nani!??
Tunawafahamu nyie kina Lizarazu ..
Mkiishiwa hoja mnamuattack mtu mwenyewe Sasa...
Kama hapo mlianza kumuongelea ooh Mara anapost Instagram oh Mara Nini ..Mambo ambayo yapo nje ya mada kabisa.
hatuzionei wivu tunazionea huruma tunavozichakaza kirahisi wanawake nw days mmekua cheap sana....Mwanaume anayehangaika na wanawake dhaifu na hajiamini au mwatuonea wivu na papuchi zetu
[emoji12][emoji12][emoji12]LMAOHuyu humuwezi..
Kama tangu ameanza hujaona hoja zake Basi huwezi ukaona
Nani alikwambia kwamba IQ ni kipimo cha kumjua mtu mwenye akili ?zero IQ
Sijaelewa Nini hapo!?Hata wewe mwenyewe hujaelewa kama yeye ambavyo yeye hajanielewa.
Usikwazike Lakin.
Naelewa ni kwanini hujanielewa.
Cheers Anne! [emoji106]
Muone kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]LMAO
Waganda wale. Na ni zamani sana, 2013.Mkuu hukunijibu wale wanawake wanaoandamana kuolewa ni wa nchi gani.??
Am in love with you, with what you put here on JF. I believe your head is such a smart mind.How could you love someone you dont know well!! eeeh uko serious or maybe kidding
Kuna kiongozi hana kiburi? Mtaje mmoja.Kuwa kiongozi haimaanishi muwe na viburi.