Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hujanizidi Mimi[emoji25]Ndo nini kubadili jina hilo halafu jina kali hivyo, nimeumia kweli ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe na wewe unafyatukaga hivi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka usiku kucha jamani,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]Tena siku hizi nimekuwa mpole sana itabidi nijiangalie ninachokula
Naona mpambano ulinoga baadae nitarudi kutembeza like[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
Sawa mama...Yani msinipangie maisha Mimi ni cariha kichambo mtakula sana I won't change mbona sijawapangia eti nijifunze Kwa nani loh
Mbona unaleta nadharia kwenye uhalisia?? Halafu aliyekwambia mwanamke ni mtumwa kwa mwanaume ni nani?? Kwani kuwa mtawaliwa maana yake ndiyo kuwa mtumwa hivi unajua maana ya utumwa?? Ni hivi mwanamke siyo mtumwa kwa mwanaume ila mtu mweusi ndiyo mtumwa kwa mtu mweupe!!
Na mimi bado ninashikilia pale pale kuwa hata wanaume hiyo kazi ya kutubadilisha imeshindikana kwahiyo hata ninyi acheni kupoteza muda kuongelea maovu ya wanawake tena mimi naona wanaume ndiyo kwa kiasi kikubwa wanabadilika na kuanza kuishi kwenye dunia ya sasa kuliko wanawake tunavyobadilika kurudi kwenye dunia ya zamani kwahiyo mnaweza mkaona wenyewe ni kwa namna gani hayo mnayoyaongea yanazidi kuwa nadharia tu na siyo uhalisia
Kama kweli ungekuwa hupendi ubishani usinge sapoti upande wowote..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo mimi mshangiliaji au sio!??
Mimi huwa sipendi kubishana.. napenda kuelewesha.
Sasa humu ndani naona wanabishana tu.
Kwani nimesapoti wapi!??Kama kweli ungekuwa hupendi ubishani usinge sapoti upande wowote..
Hivi wewe mwenzetu unasoma biblia gani kwani?? Aliyekudanganya kwamba Suleiman aliua baada ya kuwa mfalme ni nani?? Ona unavyozidi kudhihirisha kwamba huna ujualo halafu eti unakazania kwamba mimi ndiyo sijui!! Hebu nenda kasome maandiko vizuri ndiyo urudi kubishana na mimi maana siyo kazi yangu kuanza kukuelezea maandiko upya wakati biblia zipo!!
Hata ninyi wanaume siyo jukumu lenu kushupalia maovu yetu wanawake na kama lingekuwa ni jukumu lenu basi mngeshafanikiwa halafu aliyekwambia mimi ni mtumwa kwa mume wangu ni nani??
Unadhani kila mwanaume hajielewi kama wewe labda kama mke wako ndiyo mtumwa kwako na ninampa pole sana maana kapata galasa haswa japo hapa utajifanya kusema eti anayafurahia hayo maisha lakini wapi!!
DAAAAAAH MKUUUUUUU NIMEACHA SUPU INAPOA KISA HIII POINT YAKO AISEE.Hakuna anayetaka mbadilike Mkuu mbona huwaelewi wanaume.
Wanaume wanaposema Ninyi ni malaya na wajinga haimaanishi mbadilike kwani udhaifu wenu unatunufaisha wanaume.
Hivi ukimuona Mzungu akiokemea maovu ya Muafrika unadhani lengo lake ni kumkomboa na kumbadilisha muafrika?
Kama ndivyo unafikiri hivyo utakuwa umeumia Mkuu.
Wanawake ni watawaliwa. Sema bado hujajua ulimwengu huu ukoje.
Labda nikunusishe kidogo.
Ipo Hivi Hii dunia inaendeshwa na wanaume kibiashara. Inaendeshwa na Watawala.
Kitendo cha kuwatetea Wanawake kwa siku hizi kinamanufaa kuliko kuwakandamiza ndio maana Makampuni ya kigeni ya Watawala kutoka ughaibuni yanaipigana kufa kupona kuwapa Uhuru wenu.
Uhuru kwa mwanamke haupo kwa lengo la kumsaidia bali kumtumia. Sijui kama unalijua jambo hili.
Uhuru wa Mwanamke ni biashara kubwa hapa duniani. Huenda bado upo nyuma ya Dunia.
Bidhaa nyingi za watawala ili zitumike zinahitaji zaidi mwanamke awe huru ili ziende kwa urahisi.
Mfano. Biashara za vipodozi, Biashara za nguo hasa nguo za uchi, Biashara za Urembo, Biashara za Burudani kama Video queen, Ponography,
Biashara za Mawigi, Biashara za umalaya. Zote hizi zinategemea uhuru wa mwanamke. Unafikiri bila kuwapa uhuru mambo hayo yataenda.
Huenda hujui unalosimamia na hujafanya upembuzi.
Ukiona Mzungu anapigania uhuru wa Muafrika ujue ameshaona atanufaika zaidi kwenye uhuru wa muafrika kuliko akamnyima uhuru.
Hata hivyo Unapaswa kunishukuru kwa kukuvumilia kutokana na kuwa unaelimu ndogo sana na jinsi dunia inavyoendeshwa.
Kuna haja gani ya kusema uongo wakati ukweli unaujua?? Basi kwa hili jibu lako itoshe tu kusema kwamba ukweli mnaujua ila hamtaki kuukubali!!
DAAAAAAH MKUUUUUUU NIMEACHA SUPU INAPOA KISA HIII POINT YAKO AISEE.
KONGOLE SANA KAKA.
WASIPOELEWA HAPA BASI TENA TUNAWE MIKONO.HAWAJUI KAMA WANANG'ATWA NA KUPULIZA.
WE KILA MWANAMKE AKIWA MFUNGIWA NDAN NAN ATAFANYA MATANGAZO YA VIPODOZI???
KILA MWANAMKE AKIWA HOUSE MOTHER NANI ATAECHEZA PORN VIDEOS????
KILA MWANAMKE AKICHUNGWA KM WALIVYOKUA WANAFANYA MABABU ZETU HAKUNA KUFANYA KAZ HVYO HUNA SABABU YA KUTOKA NJE NAN ATAESHIRIKI MASHINDANO YA UKAAJI NUSU UCHI YA UMISS NA UTANGAZAJI FASHION?????
ILA KUTOKANA NA KUWA NI WANAWAKE HAWAPENDAGI KUKUBALI UHALISIA BADO WATAPINGA.
CARIHAAAAAAAAA UKUJE HUKU HARAKA SANA UISOME HII UKUJE!!!!!!!
DADA SAINT ANNE NISAIDIE KUMUITA KIDOSHO AITWAYE CARIHA IKUJE HAPA.
Embu isome point nilom quote uone nn cha maana ameeleza???Wapi ameweka mipasho!?
Tatizo mmeanza kumuattack ...halafu akiwa attack nyie mnaona Kama ana mipasho .
Nimekuuliza wapi tuko sawa tuanze na uchambuzi wa nyanja moja moja tuanze kielimu,tuje kiuchumi na tuje kisiasa ama kiutawala wapi mko sawa nasi???Mimi naongelea wanawake wa Tanzania, hafu ndefu sana sijajichosha kumaliza
Umefuraaahi[emoji3][emoji3]DAAAAAAH MKUUUUUUU NIMEACHA SUPU INAPOA KISA HIII POINT YAKO AISEE.
KONGOLE SANA KAKA.
WASIPOELEWA HAPA BASI TENA TUNAWE MIKONO.HAWAJUI KAMA WANANG'ATWA NA KUPULIZA.
WE KILA MWANAMKE AKIWA MFUNGIWA NDAN NAN ATAFANYA MATANGAZO YA VIPODOZI???
KILA MWANAMKE AKIWA HOUSE MOTHER NANI ATAECHEZA PORN VIDEOS????
KILA MWANAMKE AKICHUNGWA KM WALIVYOKUA WANAFANYA MABABU ZETU HAKUNA KUFANYA KAZ HVYO HUNA SABABU YA KUTOKA NJE NAN ATAESHIRIKI MASHINDANO YA UKAAJI NUSU UCHI YA UMISS NA UTANGAZAJI FASHION?????
ILA KUTOKANA NA KUWA NI WANAWAKE HAWAPENDAGI KUKUBALI UHALISIA BADO WATAPINGA.
CARIHAAAAAAAAA UKUJE HUKU HARAKA SANA UISOME HII UKUJE!!!!!!!
DADA SAINT ANNE NISAIDIE KUMUITA KIDOSHO AITWAYE CARIHA IKUJE HAPA.
A hahahahahahaha hahahahahah haahahahahahahhahahaahahah una hasira mnoUlitaka tutoe reference mwilini mwako? Ok, fine. Kwa asili ya maumbile yetu, DUME moja kwa MAJIKE kadhaa ni sawa na ndio maana mnajitoa fahamu baadhi ya sehemu lkn when it comes to serious issues mnatumia akili vyema.
Nitafutie mwanamke mjasiriamali ambaye ana ubongo mfupia kiasi umpe mtaji wa kufuga mbuzi halafu aende kununua MAJIKE SITA na MABEBERU SITA eti kwa kuwa anapenda usawa....mfyuuuu zenu!
Kuna uzi hukooo, wanaume wamesema wao ni Sawa na wa wanawake na wanataka usawaWrite your reply...utaandika Sana ila sisi ni wanaume bwana watawala siku zote tuko juu tuko sahihi siku zote ndo maana huwez kuskia maovu yetu yakikemewa kwa Sana
tunaita mfumo dume we jaribu kuzoea Kama bibi zenu walivyozoea
Umeanza mwenyewe kusema dkt rahabu jinanamke...nayeye akasema dkt mwaka div 4...wewe ukaanza Sasa kum attack.Embu isome point nilom quote uone nn cha maana ameeleza???
Na ww dada mpambii hatwaree.
Nimemwambia tuchambue kuanzia nyanja moja moja wap wanawake mpo sawa na sisi??
Nimemtolea mfano wa Dr.Rahabu na nikatumia interior word kimakusudi kwake kujua kwamba atakuja with point of argue kaja na mipasho mpk kasahau nilichomuuliza"eti kijanamke kumbe naongea na mtu zero IQ" ilhali simjui hanijui.
Aya sio mipasho Hiyo ???
Tizama nn nimemuuliza na nn amejibu.