Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Tena siku hizi nimekuwa mpole sana itabidi nijiangalie ninachokula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe na wewe unafyatukaga hivi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka usiku kucha jamani,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona unaleta nadharia kwenye uhalisia?? Halafu aliyekwambia mwanamke ni mtumwa kwa mwanaume ni nani?? Kwani kuwa mtawaliwa maana yake ndiyo kuwa mtumwa hivi unajua maana ya utumwa?? Ni hivi mwanamke siyo mtumwa kwa mwanaume ila mtu mweusi ndiyo mtumwa kwa mtu mweupe!!

Na mimi bado ninashikilia pale pale kuwa hata wanaume hiyo kazi ya kutubadilisha imeshindikana kwahiyo hata ninyi acheni kupoteza muda kuongelea maovu ya wanawake tena mimi naona wanaume ndiyo kwa kiasi kikubwa wanabadilika na kuanza kuishi kwenye dunia ya sasa kuliko wanawake tunavyobadilika kurudi kwenye dunia ya zamani kwahiyo mnaweza mkaona wenyewe ni kwa namna gani hayo mnayoyaongea yanazidi kuwa nadharia tu na siyo uhalisia

Hakuna anayetaka mbadilike Mkuu mbona huwaelewi wanaume.

Wanaume wanaposema Ninyi ni malaya na wajinga haimaanishi mbadilike kwani udhaifu wenu unatunufaisha wanaume.

Hivi ukimuona Mzungu akiokemea maovu ya Muafrika unadhani lengo lake ni kumkomboa na kumbadilisha muafrika?
Kama ndivyo unafikiri hivyo utakuwa umeumia Mkuu.

Wanawake ni watawaliwa. Sema bado hujajua ulimwengu huu ukoje.

Labda nikunusishe kidogo.

Ipo Hivi Hii dunia inaendeshwa na wanaume kibiashara. Inaendeshwa na Watawala.

Kitendo cha kuwatetea Wanawake kwa siku hizi kinamanufaa kuliko kuwakandamiza ndio maana Makampuni ya kigeni ya Watawala kutoka ughaibuni yanaipigana kufa kupona kuwapa Uhuru wenu.

Uhuru kwa mwanamke haupo kwa lengo la kumsaidia bali kumtumia. Sijui kama unalijua jambo hili.

Uhuru wa Mwanamke ni biashara kubwa hapa duniani. Huenda bado upo nyuma ya Dunia.

Bidhaa nyingi za watawala ili zitumike zinahitaji zaidi mwanamke awe huru ili ziende kwa urahisi.

Mfano. Biashara za vipodozi, Biashara za nguo hasa nguo za uchi, Biashara za Urembo, Biashara za Burudani kama Video queen, Ponography,

Biashara za Mawigi, Biashara za umalaya. Zote hizi zinategemea uhuru wa mwanamke. Unafikiri bila kuwapa uhuru mambo hayo yataenda.

Huenda hujui unalosimamia na hujafanya upembuzi.

Ukiona Mzungu anapigania uhuru wa Muafrika ujue ameshaona atanufaika zaidi kwenye uhuru wa muafrika kuliko akamnyima uhuru.

Hata hivyo Unapaswa kunishukuru kwa kukuvumilia kutokana na kuwa unaelimu ndogo sana na jinsi dunia inavyoendeshwa.
 
Kama kweli ungekuwa hupendi ubishani usinge sapoti upande wowote..
Kwani nimesapoti wapi!??
Mimi nasapoti ukweli.
Mbona hata Lizarazu comment yake ya kwanza kabisa kwenye hii mada nimeisapoti...Tena nimeenda mbali huku mwisho kwa kumsifu kwamba anabishana kwa facts[emoji3]
 
Hivi wewe mwenzetu unasoma biblia gani kwani?? Aliyekudanganya kwamba Suleiman aliua baada ya kuwa mfalme ni nani?? Ona unavyozidi kudhihirisha kwamba huna ujualo halafu eti unakazania kwamba mimi ndiyo sijui!! Hebu nenda kasome maandiko vizuri ndiyo urudi kubishana na mimi maana siyo kazi yangu kuanza kukuelezea maandiko upya wakati biblia zipo!!

Nimeshakuambia kuhusu mambo ya Biblia achana nayo maana huna ujualo.

Labda nikupe mwanga kuhusu Kisa cha huyo umuitaye Suleiman ambaye bila shaka humjui.

Suleiman ambaye Mama yake ni Bathi Sheba aliingia utawalani tofauti na matarajio ya wengi. Hii ni kutokana na uwepo wa Kaka yake aitwaye Adonia.

Moja ya Majukumu aliyopewa Suleiman na Baba yake Mfalme Daudi siku alipomuachia ufalme na kumpa Wosia. Ni kumuua Yoabu mwana wa Seruya. Daudi alimuagiza Mwanaye Suleiman kuwa ahakikishe kuwa Yoabu Mwana wa Seruya asiingie kaburini kwa amani. Suleiman alimuua Yoabu.

Pengine hujui habari pia za Adonia.

Ukija kuongea humu uombe kufunzwa sio kujifanya Mwalimu kwa mambo usiyoyajua.

Ndio maana nikakuambia hakuna Mfalme asiyeua.

Suleiman ameua mara kadhaa tuu alivyoingia utawalani.

Kama hujui Biblia sema ufunzwe
 
Hata ninyi wanaume siyo jukumu lenu kushupalia maovu yetu wanawake na kama lingekuwa ni jukumu lenu basi mngeshafanikiwa halafu aliyekwambia mimi ni mtumwa kwa mume wangu ni nani??

Unadhani kila mwanaume hajielewi kama wewe labda kama mke wako ndiyo mtumwa kwako na ninampa pole sana maana kapata galasa haswa japo hapa utajifanya kusema eti anayafurahia hayo maisha lakini wapi!!

Kwa akili yako Mume wako atakuambia wewe ni Mtumwa si ndio?

Hata Mke wangu siwezi mwambia hivyo ingawaje ndio uhalisia. Ni ili asijisikie vibaya ila uhalisia upo hivyo.

Unaonekana hujui Masuala ya utawala ndio maana unaongea. Hata hivyo wewe ni mwanamke huwezijua mambo ya utawala.

Hivi kwa akili yako Bila nyie kufanya uovu unadhani mtatawaliwajwe?

Sisi tunawasema ninyi ni waovu sio ili mbadilike bali ili mzidi kujiona ninyi ni dhaifu na Mnastahili kutawaliwa.

Hata Mungu sio kama anashindwa kuondoa maovu ya wanadamu ambao ni watawaliwa. Bali ni ili mwanadamu azidi kuwa chini ya himaya yake.

Ili wanadamu wajiona ni wadhaifu. Kama Mungu angekuwa anania ya kuondoa dhambi angeiondoa muda mrefu lakini kanuni za utawala hazipo hivyo.

hapo juu nimekupa mfano wa Wazungu na Waafrika. Kuwa mzungu kutuponda na anavyotupa misaada sio kwa lengo la kutusaidia tubadilike ili tuwe watu bora. Lakini udhaifu wetu unawanufaisha.

Bado sana Marianah. Unahaja ya kujifunza.

Nami nipo hapa kukupa hinti ndogo ndogo.
 
Hakuna anayetaka mbadilike Mkuu mbona huwaelewi wanaume.

Wanaume wanaposema Ninyi ni malaya na wajinga haimaanishi mbadilike kwani udhaifu wenu unatunufaisha wanaume.

Hivi ukimuona Mzungu akiokemea maovu ya Muafrika unadhani lengo lake ni kumkomboa na kumbadilisha muafrika?
Kama ndivyo unafikiri hivyo utakuwa umeumia Mkuu.

Wanawake ni watawaliwa. Sema bado hujajua ulimwengu huu ukoje.

Labda nikunusishe kidogo.

Ipo Hivi Hii dunia inaendeshwa na wanaume kibiashara. Inaendeshwa na Watawala.

Kitendo cha kuwatetea Wanawake kwa siku hizi kinamanufaa kuliko kuwakandamiza ndio maana Makampuni ya kigeni ya Watawala kutoka ughaibuni yanaipigana kufa kupona kuwapa Uhuru wenu.

Uhuru kwa mwanamke haupo kwa lengo la kumsaidia bali kumtumia. Sijui kama unalijua jambo hili.

Uhuru wa Mwanamke ni biashara kubwa hapa duniani. Huenda bado upo nyuma ya Dunia.

Bidhaa nyingi za watawala ili zitumike zinahitaji zaidi mwanamke awe huru ili ziende kwa urahisi.

Mfano. Biashara za vipodozi, Biashara za nguo hasa nguo za uchi, Biashara za Urembo, Biashara za Burudani kama Video queen, Ponography,

Biashara za Mawigi, Biashara za umalaya. Zote hizi zinategemea uhuru wa mwanamke. Unafikiri bila kuwapa uhuru mambo hayo yataenda.

Huenda hujui unalosimamia na hujafanya upembuzi.

Ukiona Mzungu anapigania uhuru wa Muafrika ujue ameshaona atanufaika zaidi kwenye uhuru wa muafrika kuliko akamnyima uhuru.

Hata hivyo Unapaswa kunishukuru kwa kukuvumilia kutokana na kuwa unaelimu ndogo sana na jinsi dunia inavyoendeshwa.
DAAAAAAH MKUUUUUUU NIMEACHA SUPU INAPOA KISA HIII POINT YAKO AISEE.
KONGOLE SANA KAKA.
WASIPOELEWA HAPA BASI TENA TUNAWE MIKONO.HAWAJUI KAMA WANANG'ATWA NA KUPULIZA.
WE KILA MWANAMKE AKIWA MFUNGIWA NDAN NAN ATAFANYA MATANGAZO YA VIPODOZI???
KILA MWANAMKE AKIWA HOUSE MOTHER NANI ATAECHEZA PORN VIDEOS????
KILA MWANAMKE AKICHUNGWA KM WALIVYOKUA WANAFANYA MABABU ZETU HAKUNA KUFANYA KAZ HVYO HUNA SABABU YA KUTOKA NJE NAN ATAESHIRIKI MASHINDANO YA UKAAJI NUSU UCHI YA UMISS NA UTANGAZAJI FASHION?????
ILA KUTOKANA NA KUWA NI WANAWAKE HAWAPENDAGI KUKUBALI UHALISIA BADO WATAPINGA.
CARIHAAAAAAAAA UKUJE HUKU HARAKA SANA UISOME HII UKUJE!!!!!!!
DADA SAINT ANNE NISAIDIE KUMUITA KIDOSHO AITWAYE CARIHA IKUJE HAPA.
 
Kuna haja gani ya kusema uongo wakati ukweli unaujua?? Basi kwa hili jibu lako itoshe tu kusema kwamba ukweli mnaujua ila hamtaki kuukubali!!

Ukweli upi huo ambao unasema ninaujua.

Kama ulikuwa hujui. Adamu aliumbwa peke yake. Akaagizwa atawale vyote vilivyomo. Hapo Eva hakujulikana hata yupo wapi.

Huyo Eva aliletwa baadaye kabisa na chakufurahisha ni kuwa ni matokeo ya Mwili wa Mwanaume ambaye ni Adamu.

Kwa akili yako unataka kusema Hawa na Adamu hawakuwa na Mtawala bali wote walikuwa watawala. Ni mpumbavu peke yake anaweza fikiri hivi
 
DAAAAAAH MKUUUUUUU NIMEACHA SUPU INAPOA KISA HIII POINT YAKO AISEE.
KONGOLE SANA KAKA.
WASIPOELEWA HAPA BASI TENA TUNAWE MIKONO.HAWAJUI KAMA WANANG'ATWA NA KUPULIZA.
WE KILA MWANAMKE AKIWA MFUNGIWA NDAN NAN ATAFANYA MATANGAZO YA VIPODOZI???
KILA MWANAMKE AKIWA HOUSE MOTHER NANI ATAECHEZA PORN VIDEOS????
KILA MWANAMKE AKICHUNGWA KM WALIVYOKUA WANAFANYA MABABU ZETU HAKUNA KUFANYA KAZ HVYO HUNA SABABU YA KUTOKA NJE NAN ATAESHIRIKI MASHINDANO YA UKAAJI NUSU UCHI YA UMISS NA UTANGAZAJI FASHION?????
ILA KUTOKANA NA KUWA NI WANAWAKE HAWAPENDAGI KUKUBALI UHALISIA BADO WATAPINGA.
CARIHAAAAAAAAA UKUJE HUKU HARAKA SANA UISOME HII UKUJE!!!!!!!
DADA SAINT ANNE NISAIDIE KUMUITA KIDOSHO AITWAYE CARIHA IKUJE HAPA.

Anaelewa Sana sema ameamua kupiga Soga na Wanajukwaa
 
Wapi ameweka mipasho!?
Tatizo mmeanza kumuattack ...halafu akiwa attack nyie mnaona Kama ana mipasho .
Embu isome point nilom quote uone nn cha maana ameeleza???
Na ww dada mpambii hatwaree.
Nimemwambia tuchambue kuanzia nyanja moja moja wap wanawake mpo sawa na sisi??
Nimemtolea mfano wa Dr.Rahabu na nikatumia interior word kimakusudi kwake kujua kwamba atakuja with point of argue kaja na mipasho mpk kasahau nilichomuuliza"eti kijanamke kumbe naongea na mtu zero IQ" ilhali simjui hanijui.
Aya sio mipasho Hiyo ???
Tizama nn nimemuuliza na nn amejibu.
 
Mimi naongelea wanawake wa Tanzania, hafu ndefu sana sijajichosha kumaliza
Nimekuuliza wapi tuko sawa tuanze na uchambuzi wa nyanja moja moja tuanze kielimu,tuje kiuchumi na tuje kisiasa ama kiutawala wapi mko sawa nasi???
 
DAAAAAAH MKUUUUUUU NIMEACHA SUPU INAPOA KISA HIII POINT YAKO AISEE.
KONGOLE SANA KAKA.
WASIPOELEWA HAPA BASI TENA TUNAWE MIKONO.HAWAJUI KAMA WANANG'ATWA NA KUPULIZA.
WE KILA MWANAMKE AKIWA MFUNGIWA NDAN NAN ATAFANYA MATANGAZO YA VIPODOZI???
KILA MWANAMKE AKIWA HOUSE MOTHER NANI ATAECHEZA PORN VIDEOS????
KILA MWANAMKE AKICHUNGWA KM WALIVYOKUA WANAFANYA MABABU ZETU HAKUNA KUFANYA KAZ HVYO HUNA SABABU YA KUTOKA NJE NAN ATAESHIRIKI MASHINDANO YA UKAAJI NUSU UCHI YA UMISS NA UTANGAZAJI FASHION?????
ILA KUTOKANA NA KUWA NI WANAWAKE HAWAPENDAGI KUKUBALI UHALISIA BADO WATAPINGA.
CARIHAAAAAAAAA UKUJE HUKU HARAKA SANA UISOME HII UKUJE!!!!!!!
DADA SAINT ANNE NISAIDIE KUMUITA KIDOSHO AITWAYE CARIHA IKUJE HAPA.
Umefuraaahi[emoji3][emoji3]
Na wewe Ni shabiki tu.
 
Ulitaka tutoe reference mwilini mwako? Ok, fine. Kwa asili ya maumbile yetu, DUME moja kwa MAJIKE kadhaa ni sawa na ndio maana mnajitoa fahamu baadhi ya sehemu lkn when it comes to serious issues mnatumia akili vyema.

Nitafutie mwanamke mjasiriamali ambaye ana ubongo mfupia kiasi umpe mtaji wa kufuga mbuzi halafu aende kununua MAJIKE SITA na MABEBERU SITA eti kwa kuwa anapenda usawa....mfyuuuu zenu!
A hahahahahahaha hahahahahah haahahahahahahhahahaahahah una hasira mno
 
Write your reply...utaandika Sana ila sisi ni wanaume bwana watawala siku zote tuko juu tuko sahihi siku zote ndo maana huwez kuskia maovu yetu yakikemewa kwa Sana

tunaita mfumo dume we jaribu kuzoea Kama bibi zenu walivyozoea
Kuna uzi hukooo, wanaume wamesema wao ni Sawa na wa wanawake na wanataka usawa
 
Embu isome point nilom quote uone nn cha maana ameeleza???
Na ww dada mpambii hatwaree.
Nimemwambia tuchambue kuanzia nyanja moja moja wap wanawake mpo sawa na sisi??
Nimemtolea mfano wa Dr.Rahabu na nikatumia interior word kimakusudi kwake kujua kwamba atakuja with point of argue kaja na mipasho mpk kasahau nilichomuuliza"eti kijanamke kumbe naongea na mtu zero IQ" ilhali simjui hanijui.
Aya sio mipasho Hiyo ???
Tizama nn nimemuuliza na nn amejibu.
Umeanza mwenyewe kusema dkt rahabu jinanamke...nayeye akasema dkt mwaka div 4...wewe ukaanza Sasa kum attack.
 
Back
Top Bottom