Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Pole sana dada, ila daima huwezi kufanana na mwanaume. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaume na mwanamke kihisia na kifikra.
Umegusia zaidi mahusiano wacha nikujibu kwa mlengo huo pia;
Hao wanaoonyesha wanaume zao ni vilaza
 
Mimi huwa siamini kua kuja kwa dini huku kwetu ndio kumeleta huu utofauti wa kimamlaka. Ni toka enzi na enzi iko hivo hata ukifatilia historia nyingi watawala ni wanaume, story za kigaidi, umafia, rekodi za vumbuzi mbali mbali ni wanaume wengi ndio waliokua vinara wa hayo mambo.
Hata dunia ya leo bado viongozi wengi ni wanaume, Wasanii wenye majina makubwa, matajiri wengi ni wanaume.

Labda tuseme tu ni nature ndio iko ivo, siku mwanamke akija kuongoza dunia basi pia mfumo wa maisha utabadilika kabisa na kutakua na mfumo mpya wa maisha tofauti na huu wa sasa.
 
Duuh mbona umejielezea sana halafu hakuna hata cha maana zaidi ya zile zile ngonjera zenu tulizozoea kuzisikia kila siku

Hivi vitabu vya dini vinasemaje kuhusu uzinzi na uasherati

Kasome maandiko kisha urudi tena
 
Duuh mbona umejielezea sana halafu hakuna hata cha maana zaidi ya zile zile ngonjera zenu tulizozoea kuzisikia kila siku

Hivi vitabu vya dini vinasemaje kuhusu uzinzi na uasherati

Kasome maandiko kisha urudi tena
Sijakujibu kwa kutumia vitabu vya dini mkuu. Hata kabla ya ujio wa hivyo vitabu huku Afrika hali ilikua hivi hivi mlikua chini yetu.

Wewe ni moja wa wanawake wachache sana wanaopinga ukweli. Hakuna ngonjera iliyoandikwa hapo, jibu hoja kwa hoja kama nilivyofanya. Unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo mweupe kumkichwa.
 
Kwani wewe hii thread yako umezungumzia dini au mwanamke na mwanaume?? Hujaquote kifungu chochote cha dini yoyote.

Usijifunge kwenye dini peke yake nazidi kukufungua akili lakini hutaki, aya baki na imani zako.
 
Kwani wewe hii thread yako umezungumzia dini au mwanamke na mwanaume?? Hujaquote kifungu chochote cha dini yoyote.

Usijifunge kwenye dini peke yake nazidi kukufungua akili lakini hutaki, aya baki na imani zako.
Teh teh mkuu mimi nimejikita kwenye dini kwa sababu nimelelewa kwenye misingi ya dini na najua dini na tamaduni za kiafrica kwa asilimia kubwa haviendi pamoja

Sasa nimeshagundua wanaume wengi ukiwaleta kwenye dini wanajifanya kukimbilia kusema eti sijui tamaduni za mababu what what kumbe wanataka kuhalalisha maovu yao tu

Ni kwa sababu mnajua dini zimewafunga zaidi ilihali hizo tamaduni zenu zimewafavor lakini mkumbuke tumeumbwa na Mungu na hata hao mababu waliumbwa na Mungu pia
 
Sasa dini si ndio imewapa mamlaka zaidi wanaume zaidi ya wanawake ndgu yangu??
Halafu hakuna dini inayohalilisha maovu ya mwanaume. Hii kitu ya kuhalalisha maovu sijui umeitoa wapi!!
 
Sasa dini ndo zimeruhusu wanaume tuoe hata wanawake 4

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hata wakiristo wameruhusiwa nabii Suleiman alioa wanawake 1000

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naona kuna furushi limetoa tusi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ni kweli dini imewapa mamlaka wanaume na mimi wala sijapinga hilo

Lakini dini haijawapa wanaume haki ya kutenda maovu kama hayo uliyoyatetea hapo juu

Linapokuja kwenye suala la dhambi hakunaga cha mwanaume wala mwanamke wote watahukumiwa sawa sawa
Hizo hukumu ni za kidunia tu na ni jinsi dunia na watu wake tulivojiwekea namna ya kuishi.

Nimekuelewa unachokipinga, kama sikosei ni kwamba ni kwanini mwanaume na mwanamke wanapotenda kosa la aina moja mfano wewe ukafumwa na mume wa mtu wewe ndie utabeba mzigo wa matusi wa kutembea na wake za watu ilhali mwanaume hatalaumiwa sana si ndio hivyo????

Kama huo mfano ni sahihi basi unatuonea bure tu, jamii ndio inayowahukumu ninyi wala sio wanaume pekee. Hatuna nguvu iyo ni jamii nzima ndio ina mentality hiyo, na jamii ni sisi sote ke na me.
 
Hahahaa eti maandiko ya Mungu. Mfyuuu. Huyo mungu atakuwa mwehu ati?
Yaani mungu alikalisha p*mbu zake chini akaandika kitabu cha propaganda ya kukandamiza wanawake?
Eti mimi Wordsworth mbele ya mwanaume ni dhaifu kwa sababu ya maandiko ya wehu huko zamani?
Brainwashing at it's finest.
 
Hahaha wamebaki kuongelea na kulalamikia wanawake vijiweni hawana jipya.
 
Number saba itwafanya watu wawe wapole milele.....hata miye nilikuwa silijui hili...narudi kwalipa wooote niliowadhurumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…