Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Mbona umeniquote nusu?Nipe andiko bibie,usipate shida.
Unajichagulia cha kuquote na kujibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umeniquote nusu?Nipe andiko bibie,usipate shida.
Na haitakaa ijirudie maana hata mimi sitaki kupiga naye story I don't seek any kind of reconciliation with him abaki na mitazamo yake nami nibaki na mitazamo yanguMimi nilifurahi Sana.
Maana nyie watu hamjawahi Kaa mkapiga story.
ok chief tupo pamoja.
Na huku anayo nyingine kabisa ambayo sio ya lugha Wala Nini...Huyu zurri tangu ajue baadhi ya maneno ya kiswahili yalitoholewa kwenye kiarabu basi anaona kisa kasoma madrasa ndio ana master's degree in Swahili.
Hicho ndio kilicho nijia,ngoja niangalie tena.Mbona umeniquote nusu?
Unajichagulia cha kuquote na kujibu?
Ungemsoma huko kwingine ndio hatari zaidi.Oohh jana ndiyo nimemjua kwa mara ya kwanza na ninadiriki kusema yuko vizuri kwa kweli
Ndio uache kufanya vitu kwa mazoea sasa,kila siku tunaambiwa haya mambo.Sijkubishia Zurri.
Mimi nimekwambia nimshazoea usiku wa manane
Wakina nani hao Wananisikiliza kwa kila kitu ? Kama kweli mbona hamtaki niwe wake zangu namba 3 na 4 bado ziko wazi.
Umeona eeeh!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisinichanganyie kiarabu chake huyu.
Mimi naijua hiyo hiyo usiku wa manane.
Ina Maana Hadi wale AIC chang'ombe walioimba usiku wa manane wakaipa jina la album hakuna aliyekuwa anajua kiswahili!?
Sasa ndio unipe andiko linalo onyesha kwamba Yesu alikuwepo hapo.Udhibitisho ulioutoa ni ule wa kwenye kitabu cha Mwanzo "Mungu akasema, na tumuumbe....." Na nilikuambia Mungu alikuwa anajadiliana na nafsi zake ambazo ni Yesu na Roho mtakatifu.
Ulitoa udhibitisho mwingine upi?
Basi tuko vice versa yale mapepo sasa yamehamia kwako maana naona wewe leo ndiyo umeamka vibaya siyo mbaya lakini tunapokezana tu na wewe ukilala ukiamka yatakuwa yamehamia kwa mwingine maisha ni kusaidiana tusio kidogo mummy. leo naona umeamka vizuri. Jana usiku ulikua na mapepo.
Welcome back
Mimi na wewe tulishamalizana au umesahau bibie ?Hebu jaribu kwa huyo awe wa tatu.
Mimi umenikosa...
Huwa hatuna haraka sisi.Naona kama wewe hajakukosa mimi ndiyo afanye kama hanijui kabisa