Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Haya
Sio kweli sisi ni bindamu na tunakosea pia hilo halina ubishi na hakuna atakae kataa hili isipokuwa yeye ni mjinga.

Wanawake wengi wao wamekaririshwa kuwa wanaonewa kwa kila jambo,basi wao maisha yao yote wanakuwa na kuwaza kushindana na sisi.
 
Ni nani mwingine zaidi ya Mungu?
Dhibitisha kwamba ni ushirikina.

Ushahidi huu hapa bibie.

Anasema Allah aliye juu :

72. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.
73. Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru. (al Maaidah : 72 - 73)
 
Si kuna watu humu ni bendera fuata upepo kwa vile kitu kaongea Zurri basi hawabishi hata kidogo hata kama ni ujinga

Nimekwambia uke wenza siutaki hata nipewe hela
Kwamba wanaume wameisha kabisa au[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Write your reply...utaandika Sana ila sisi ni wanaume bwana watawala siku zote tuko juu tuko sahihi siku zote ndo maana huwez kuskia maovu yetu yakikemewa kwa Sana

tunaita mfumo dume we jaribu kuzoea Kama bibi zenu walivyozoea
 
Bila samahani hapa tunaelimishana tu lakini hata kama wanaume mna mchango utaweza kuulinganisha na wanayoyafanya wanawake yaani kweli kabisa ukafananishe kitendo cha kumwaga mbegu na shughuli ya kubeba mimba kuzaa na kunyonyesha??
Mkuu bila hizo mbegu hakuna mimba.. Hata kama siyo sawa na kunyonyesha lakini tayari kuna mchango wa mwanaume. Lakini kwenye kupandisha injini ya gari hakuna mchango wa mwanamke...
 
Kwa ninavyoiona hii ni mechi Kali ya kijinsia ndiyo maana kuna washangiliaji kama saint Anne...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo mimi mshangiliaji au sio!??

Mimi huwa sipendi kubishana.. napenda kuelewesha.
Sasa humu ndani naona wanabishana tu.
 
Leo mnakumbuka vitabu vya mungu eeeeh, wanaume wanafiki sana
Ulitaka tutoe reference mwilini mwako? Ok, fine. Kwa asili ya maumbile yetu, DUME moja kwa MAJIKE kadhaa ni sawa na ndio maana mnajitoa fahamu baadhi ya sehemu lkn when it comes to serious issues mnatumia akili vyema.

Nitafutie mwanamke mjasiriamali ambaye ana ubongo mfupia kiasi umpe mtaji wa kufuga mbuzi halafu aende kununua MAJIKE SITA na MABEBERU SITA eti kwa kuwa anapenda usawa....mfyuuuu zenu!
 
Hahaha angepatikana hata nusu mfalme Suleiman humu mbona tungetafutana lakini hawa hata sehemu ya kivuli chake tu hawana


Ni sawa na mie nijitutumue kujifananisha na kina Cleopatra, maria, au Easter
Haki ya Nani nimecheka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
Jf haijawahi ziacha mbavu zangu salama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kapeace [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni wewe kweli,!????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha angepatikana hata nusu mfalme Suleiman humu mbona tungetafutana lakini hawa hata sehemu ya kivuli chake tu hawana


Ni sawa na mie nijitutumue kujifananisha na kina Cleopatra, maria, au Easter
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe na wewe unafyatukaga hivi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka usiku kucha jamani,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom