Hivi ni kwanini wanaume wafupi wanaringa?

Wanaume wafupi tumeandamwa Sana cjui kwanini.

Uzuri Mimi Nina pesa sijawahi kataliwa na mwanamke
 
Kumjua mtu kama anaringa au la ni lazima muwe wapenzi?
Huyo hajasemea mtu ila amesemea watu, Then huwezi ukawa mwanamke ukazungumzia tabia za wanaume tena in general ilihali hauna experience, Hii ni kumaanisha anatabia ya kuwa na wanaume tofauti tofauti ndo maana amejua tabia zao, Hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume wa kuweza kutosha kujua uhalisia wa mtu kabla ya kuingia kwenye penzi maana yote huwa ni maigizo kabla
 
Kwani huko kwao au jamii iliyomzunguka haina watu wafupi?
 
Nauliza kwanini wanaume wafupi wanaringa wanajionesha, wanajisikia na kupenda kuonekana, ila wanaume warefu ni baadhi.
pamoja na kwamba mimi sipo kundi hilo, nadhani ni kwasababu ya inferiority complex, pamoja na kipato. wanaume wafupi huwa wanajijua kwamba wao ni reject kwenye vitu vingi hivyo huwa wapambanaji sana kimaisha na wengi ndio wenye pesa, though theory hii haiapply kwa kila mtu, tofauti na warefu wanaoridhika.
 
Kuwa Mrefu au mfupi sio kigezo Cha wewe kuwa rejected mnalishana ujinga mwonekano wa Mtu wa nje hauwezi kumfanya kuwa rejected ikiwa Akili zake kichwani zinafanya Kazi vizuri .
 
pamoja na kwamba mimi sipo kundi hilo, nadhani ni kwasababu ya inferiority complex, pamoja na kipato. wanaume wafupi huwa wanajijua kwamba wao ni reject kwenye vitu vingi hivyo huwa wapambanaji sana kimaisha na wengi ndio wenye pesa, though theory hii haiapply kwa kila mtu, tofauti na warefu wanaoridhika.
Ila kweli, Kuna kachalii fulani ivi kafuuuuupi, ni kapambanaji sana, kamezalisha pisi kali za kwenda Kama nane hivi, ana watoto kumi na tano, kila pisi iko na maisha yake, kawaweka vizuri kiuchumi, kajamaa sijui anawadanganya nini maana bado anapiga mistari na pisi zinaingia laini ingawa wanajua kua ana Kijiji cha watoto, na anakwambia kabisa, nina watoto kumi na tano, recently kuna pisi ina mimba tunasubiri uzao wetu wa kumi na sita, watu wafupi heshima yenu mnajua kutafuta ugali...
 
Back
Top Bottom