Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Siku moja nikikosea njia nikikutaka usinikatae, maana umezidi kuwa mjizi wa mambo
The Following 2 Users Say Thank You to Lizzy For This Useful Post:

bacha (Today), CPU (Today)


Hehehe sasa na wewe utamaintain hiyo six pack au ukishanipata inageuka kitambi??
 
Mimi nafikiri sio tatizo la wanaume peke yao....tuwe tu wakweli! Yaani mkishakaa kwenye ndoa kwa muda, kama hakuna juhudi za makusudi kwa pande zote mbili, basi inakuwa tu "ni bora kushiba", wala sio tena kufurahia chakula! Inabidi wote washirikiane katika mapishi, ili wote wakifurahie chakula!

Ngoja kidogo narudi
 
Huyu mwanamke wa kwanza hafikishwi na mwanaume wa kwanza, anatafuta sababu tu ya kuonja vya mwanaume wa mwisho
Sasa mkuu unatoka povu umechanganya koka na Quinine au?
aisee mkuu usimseme mr presidaa patakuwa hapatoshi humu jamvini jamani.mie nataka mnisaidie ili badae mr president asiwe mvivu
 
Wanawake ndo tatizo. Kabla alikubali kula koni, akishaolewa anasema uchafu, mimi chumvini naingia kama kawa. kwani mimi kibarua??? Nikienda jirani wenzetu ambao hawajaolewa koni kama kawa. Hamu inatoka wapi? Wanawake ndo tatizo.
 
Nadhani 'nyumba ndogo' ndio wanaweza sema kama wanaume waliooa ni wavivu au la...

hata hao wamethibitisha kwamba wanaume waliooa huja kwa spidi then hupunguza kasi haraka km gari lililosimama kwa kukatika baljoint
 
...human nature na tabia ya "kipya kinyemi!"
Suala hili halijalishi Mume au mke, sote tunachangia kupunguza mvuto wa mahaba
kwa kuingiza dosari na madoa mbali mbali i.e chuki, dharau, etc ambayo hunyausha mahaba katika maisha yetu ya mapenzi.


Haswaaa Mosquito, kila mtu anatakiwa kutimiza wajibu wake.
Mwanamke kama ulizoea kujipodoa, kumpetipeti honey n.k kabla hamjaoana, endelea na ongeza ufundi kidogo.
Na wewe baba, siyo eti kwa sababa umeshamtolea mahali, unammiliki, hana pa kwenda, unasahau wajibu wako.
Mwisho wake ndo vidumu vinaanza.
 
aisee mkuu usimseme mr presidaa patakuwa hapatoshi humu jamvini jamani.mie nataka mnisaidie ili badae mr president asiwe mvivu

Mkuu mi naumia sana ninapoona mwanaume wa kwanza hajui wajibu wake wakati sisi wanaume wa mwisho tunatamani kweli kupanda cheo, tupe sisi hiyo nafasi kama hujabadili taito ya topic na kusema HIVI KWANINI WANAUME WALIOOA NI WATAMU KTK MAPENZI?
 
Hehehe sasa na wewe utamaintain hiyo six pack au ukishanipata inageuka kitambi??

Tatizo siku hiz hawa wenye six pack wengi ni NYAMA CHOMA za watu, mi nitaongeza 3 ili ziwe nain paki
 
Hello Keren How are You Today? You haven't miss anything but something(Kimey) missed you!

I am fine Kimey.... so sweet of you! So unajua niko home...so unaweza kupitia angalau ukanisalimu! Thanks.
 
Back
Top Bottom