Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Homu boyi??Mhhhhhh!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Homu boyi??Mhhhhhh!!!!!!!!!
khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee... ukiona hivyo huyo kalalana na mmoja halafu mvivu basi mihasira ya nusu/thumni imemfanya abutue sredi, kweli FL mkareeee
mmh,ndio maana LD amepinga sana hapa jamvini.ila yawezekana na yeye ni mzee vilevile kwahiyo mmekutana mnaofanana.angalizo,nsipewe ban na LD
ndo maana nikakupa thanks pale juu... ila nadhani ni kujisahau tu
Ah via mobili inanipotosha (mchumba) japo nimeona unatafuta mpya kwa kasi!Kila kona ya jiji unaweka tangazo!Hebu angalia siwezi kuacha kumfanyia mama mchungaji the nidful
Wanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye kiapo anakuwa mzito sana.hasa wanaume hawa waliooa wakishikwa hamu hakuna tena maandalizi kwa wenzi wao,huishia kuwaparamia kama vile wamehesabiwa muda wa mechi.nimejaribu kuwauliza wanawake kadhaa walioolewa na baadhi ya nyumba ndogo za wanaume kadhaa, wote wamelikiri hili. Wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie kujua sababu ili nami nikiolewa nsikutane na mwanaume mzembemzembe.pia hao waliooa wajifunze wajue mahitaji ya wake zao na maInfii wao
Tatizo siku hiz hawa wenye six pack wengi ni NYAMA CHOMA za watu, mi nitaongeza 3 ili ziwe nain paki
CPU, najua nguvu ya kushindana unayo,
Kimey nadhani anatambua hilo,
moyo unakuwa mzito kutamka tu!
Kaka/Dada Bacha moyo wangu umeshatamka mara kibao, tena hadi matarumbeta nimetumia lakin wapi, lakin huyu KIMEY hata akitumia hedifoni za simu tu wanamsikia
Hahaha Bacha inabidi umpe courage CPU unajua amesahau one Golden Rule "If you wana shoot just shoot don't talk"
Haya mambo hayana cha Golden Rule, bali mwenye kisu kikali ndo mla nyama.
Jamaa (KIMEY) akipiga shuti moja tu, ni natakiwa nipige mashuti 7
Sasa akipiga mashuti 14 je, mi nitaanzia wapi kukung'uta mashuti 7 x 14?? Yeye si atakuwa ameshafika mashuti 40 wakati mi namaliza?:A S 13:
khe,we MTM tafadhali Mr Presidaa wangu yuko vizuri ila nachotaka ni mbinu za kumfanya azidi kuchangamka tukishakula kiapo.mie nimewakilisha malalamiko ya wanawake wengi baada ya uchunguzi wangu
FL, hii ndo naisikia kwako
Ila bado 6pack inabakia kua 6pack! Ehh ongeza alafu uje tusaidiane kumaintain!
Huyu mdada sijawahi kumsalimia, nampita tu bila salamu! Yaani urembo wote huu simsalimii??! Kweli hazinitoshi!
siku zote nilijua mamito kaolewa ati!!
Jibu sahihi ni kuwa, Wanawake walio wengi Are NOT "What You See is What You Get!"
Unapomtongoza unafikiri ni "Cleopatra", akifika kitandani utadhani anasubiri kuingia "Chumba cha Upasuaji"!
Also, wengi wakivua "jeans" na "wigi" utafikiri umekutana na mwendawazimu!
sijaolewa bado ila ni kwasababu staki kukutana na wavivu .ila umri unaruhusu na mambo yote ya muhimu nshayapitia imebaki ndoa tu
MuzeeeHomu boyi??
sijaolewa bado ila ni kwasababu staki kukutana na wavivu .ila umri unaruhusu na mambo yote ya muhimu nshayapitia imebaki ndoa tu
Hiyo ndo salamu? ha haaaaaaaaaa.
hayo yanayosemwa na FL ni ya ukweli? mi hayajanikuta bado
Suuza roho na hii makitu hapa chiniha haaaaaaaaa, sasa umejuaje huwa wanakuwa wavivu wakati hujawahi kuolewa? Hadithi hadithi.................., hapo zamani za kale...........