Hivi ni kwanini watu wanaojitolea katika jambo fulani ndiyo wanaumia zaidi, hivi siku moja Mungu atatukumbuka kweli?

2v1

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2024
Posts
247
Reaction score
358
Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu.

Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui hata kwanini, lakini moyo ukalazimisha.

Sasa leo mchana, msichana kaja kununua mafuta kidogo tukapishana bei, akasema ngoja aje akaniachia vitu huyo, baada ya muda akaja akasema nilikuwa kwa kina mama fulani sasa roho ikasita maana huyu binti cyo kawaida yake hata kwenda kwa kina mama fulani.

Nimekaa kidogo kaja jamaa mmoja, katika kuongea naye tukawa tunazungumzia ako kasichana nikasema ako kademu mbona akana noma mimi naigiza kama sikapendi jamaa akaniambia kuwa kalikuwa kanagogwa huko ndani.

Nisiseme mengi moyo unauma balaa.
 
We endelea kumpenda,acha na shule nikunyoshe....unadhani mi ni kama mama Diddy anayedekeza wanae🤒...utatafuta pa kwenda.Mpe sana bure vitu vya dukani unifilisi....maji utaita mma😖
Anaishia kula pip tu bac, duka nilipotoka nalo najua mwenyewe
 
Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu.

Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui hata kwanini, lakini moyo ukalazimisha.

Sasa leo mchana, msichana kaja kununua mafuta kidogo tukapishana bei, akasema ngoja aje akaniachia vitu huyo, baada ya muda akaja akasema nilikuwa kwa kina mama fulani sasa roho ikasita maana huyu binti cyo kawaida yake hata kwenda kwa kina mama fulani.

Nimekaa kidogo kaja jamaa mmoja, katika kuongea naye tukawa tunazungumzia ako kasichana nikasema ako kademu mbona akana noma mimi naigiza kama sikapendi jamaa akaniambia kuwa kalikuwa kanagogwa huko ndani.

Nisiseme mengi moyo unauma balaa.
Nimekuja speed, kuchungulia heading na yaliyomo nakuta duuh. Haya ndugu.
 
Hivi nyie mlioko kwenye mahusiano huwa mnaishije maana naona nipumzishe kichwa
downloadfile-22.jpg
 
Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu.

Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui hata kwanini, lakini moyo ukalazimisha.

Sasa leo mchana, msichana kaja kununua mafuta kidogo tukapishana bei, akasema ngoja aje akaniachia vitu huyo, baada ya muda akaja akasema nilikuwa kwa kina mama fulani sasa roho ikasita maana huyu binti cyo kawaida yake hata kwenda kwa kina mama fulani.

Nimekaa kidogo kaja jamaa mmoja, katika kuongea naye tukawa tunazungumzia ako kasichana nikasema ako kademu mbona akana noma mimi naigiza kama sikapendi jamaa akaniambia kuwa kalikuwa kanagogwa huko ndani.

Nisiseme mengi moyo unauma balaa.
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom