Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Kwa jinsi Zanzibar ilivyo kidemografia na kidini,ingekuwa illogical,irrational and insensible "kumuweka" Rais Mkristo.Nimesema "kumuweka" makusudi,kwa kuwa heads of state are usually selected,not elected.The so called elections are a sham.
 
Si kweli acha kukariri.Zanzibar christian 32%.
Una tatizo la kufikiri wewe, hiyo 32% labda ni wanaoenda kutembea tu na sio wenyeji wa Zanzibar,umetokea kwenu Shinyanga unafanya kazi za ndani huko unajiita Mzanzibar?
Zanzibar ni 95+ Waislamu na hiyo possibility ya kuwa na Rais Mkristo haipo 200yrs to come. Kwanza hayupo huyo Mkristo mwenye hiyo political will ya kutaka kuwa Rais, pili hata akijaribu ni ngumu kama ilivyo kwa nchi nyingine zenye idadi kubwa ya Wakristo tena Muslimu ni kuanzia 30% to 40% lakini kuanzia uhuru wao hawajawahi kupata Rais sembuse Zanzibar.
Waulizeni Kenya, Burundi, Zambia, South Africa, Angola, Malawi, Mozambique na kwingineko ushawahi kumuona Rais muislam?? Sio kwamba hawapo ila hiyo nguvu ya kujijenga utaipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…