Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Huo ni ukweli, hata makanisa huenda hayatakiwi. Hakika siku ukiona baba mtakatifu Mwafrika na kiongozi Mkristu atasimikwa visiwani.
 
Acha udini ndg yangu. Lakini acha kichekesho Cha karne, kuwa mtu atoke bara aende kuwa Rais wa Zanzibar? Watu wanaotoka Zanzibar wanakuwa Marais wa serikali ya Jamhuri ya Muungano. Ikumbukwe tuna serikali mbili, ko hata udiwani huwezi kwenda Zanzibar ukaupata maana utatakiwa kuwa na kitambulisho cha mzanzibar mkazi.

Ifike wakati Tanganyika nayo iwe na kitambulisho cha ukaazi kwa raia wake.
 
Hapo vip!

Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.

Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Zanzibar ni jambo tuu kama ilivyo mikoa huku bara wala haina hadhi ya kuitwa nchi na kiongozi wao ni mwenyekiti wa baraza la mapinduzi hatuwezi kuwa na marais wawili ndani ya nchi moja .
 
Population ya kule asilimia 95 ni Waislam so hata viongozi wataopatikana ni kutoka katika asilimia hizo tu.
Mbona hujajibu swali mkuu population ya kule wapi? Tanzania ina 60+m people, kwanini asitoke bara? Kwani lazima awe wa kule? Si yeyote anaweza kuwa rais?
 
Hii hoja haina mashiko..mbona huku bara wakristo ni wengi na hatuwezi kumkosa rahisi..mbona kwa kuheahimu muungano tunawatoa marais kutoka huko mfano Mwinyi na samia
aliyekwambia bara wakristo ni wengi ni nani na unatumia takwimu gani wewe. Nikujuze tu sensa ya mwisho hapa tz iliyofanyika kukiwa na dodoso la dini ni ya mwisho mwaka 1958 wakati huo idadi ya watu nchi hii ilikuwa mil 11 na asilimia 62 ilikuwa ni waislam. sensa ilitifuata tukiwa tumepata uhuru na mwaka 1968 kipengele cha dini kiliondoshwa na kuanzia hapo hakuna takwimu sahihi za watu na dini zao Tanzania.
Jiulize maswali haya! Kwanini walifuta kipengele hicho?
na kwa mila na desturi zao waislam wanazi ndoa za mitara sasa iwehe idadi yao iwe pungufu kadiri muda unavyokwenda kwa mujibu wa takwimu zako za makisio kama ulivyotaja?
 
Yaani hoja yako ni sawa na Iran itawaliwe na Mpentekoste.

Huu muungano wetu una mambo mengi ambayo mtu akiyasema anaonekana msaliti, kwa mfano kwa nini nisiruhusiwe kununua na kumiliki ardhi Zanzibar? mbona wapemba kibao wamejaa Bara wanakula, kunywa na kuzaana.
 
Hapo vip!

Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.

Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Sa kama haijatokea mkristo we kagombee
 
Subiri mwaka 2040! mkristo mzanzibari atatawala na makamu muislam atatoka huku!!! inawezekana nikawa hata Mimi,nani ajuae mipango ya Mungu!!?

Iringa nayo haijawahi toa waziri mkuu,nasubiri KWA hamu sana!!

Tusubiri!!
 
Hapo vip!

Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.

Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Kwani CCM ni dini gani!!!
 
Nchi iliyoungana na Zanzibar kufanya Tanzania iko wapi?
 
Back
Top Bottom