Na tunakopa wote na kugawana kilichokopwa,Zanzibar wamekuwa wajanja zaidi wao misaada tokea nje hubunya wenyewe lakini misaada ya Tanganyika hugawana na Zanzibar
Bt ktk malipo analipa MUME Eti sababu ndo mwenye nyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tunakopa wote na kugawana kilichokopwa,Zanzibar wamekuwa wajanja zaidi wao misaada tokea nje hubunya wenyewe lakini misaada ya Tanganyika hugawana na Zanzibar
zanzibar ni mamlaka kamili ndo maana katiba ni muhimu ili kuuondoa utata huo.vinginevyo tutaumiza vichwa bila kupata majibu.maswala hayo yote yatajibiwa na katiba mpya tu.Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Kwa hoja yako hii..basi huku bara asitawale Muslamu kwasababu wakristo tupo wengi sanaKama wewe ni mwanademokrasia, wengi wape, Zanzibar wengi ni Waislamu. Uwezekano wa mkristu kuwa kiongozi ni mdogo. Tuwaulize wale wa "probability".
Kwahiyo magufuli na mkapa hawakutawala hadi znz? Waulize kama waznz hawakumpigia kuraHapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Sensa ipi iayosema wakristo ni wengi huku bara?Hii hoja haina mashiko..mbona huku bara wakristo ni wengi na hatuwezi kumkosa rahisi..mbona kwa kuheahimu muungano tunawatoa marais kutoka huko mfano Mwinyi na samia
Muungano unamipaka yake sio kila mtu anaweza kugombeaHapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Kamati imteuwe akakataliwe..si kuna wanzazibari wakristo..Acha ubaguzi, haijawahi kutokea siku akachaguliwa mkristo akakataliwa. Ni kwamba tu hajawahi kutokea mgombea wa kikristo Zanzibar alie wahi kupita. Ila akitokea atachaguliwa na ataongoza
Ikiwa nchi kamili haiwezi kuongozwa na Rais Mkristo?WEWE NDO UNAJUA ZANZIBAR NI SEHEM YA TANZANIA
WALE WAZAWA WA KULE WANAJIONA WAO NI NCHI KAMILI
Tena mapinduzi matukufu.Ile ni serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Swali ni je wewe mzaliwa wa Moshi au mzaliwa wa manyoni unahusika vipi kwenye mapinduzi ya Zanzibar, kuna mtu yeyote wa ukoo wenu mwenye asili ya Zanzibar?
Wizara ya Ujenzi na Uchukukuzi sio ya Muungano lakiniPopulation ya kule asilimia 95 ni Waislam so hata viongozi wataopatikana ni kutoka katika asilimia hizo tu.
Mpinga kristo sio mtu wa kawaidaYaani Wazanzibari ni wabaguzi ukienda kwao wewe Mkristo ni kafir ila wao wakija kwa makafir jamani tudumishe umoja na mshikamano sisi sote ni ndugu.
Kwa hiyo upigaji kura wao cha kwanza huwa wanaangalia dini ya mtu?Kama wewe ni mwanademokrasia, wengi wape, Zanzibar wengi ni Waislamu. Uwezekano wa mkristu kuwa kiongozi ni mdogo. Tuwaulize wale wa "probability".