WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ukweli ndiyo huo Zanzibar ni Islamic State.Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?