Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ujinga wa madrasa huwa ni ngumu sana kuufichaWarokole wataishia kuchambia makaratasi na kushika mavi tu ikulu ya cha muini raisi ni lazima awe mroma au bakwata kharasi
Muulize Mohamed Said. Anaweza kuwa na majibu mujarab!!Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Kwa comment hii mjadala umefungwaPopulation ya kule asilimia 95 ni waislam so hata viongozi wataopatikana ni kutoka katika asilimia hizo tu.
Dodoma wataamuaAjaye Atakuwa Mgalatia
Nani sio mbaguzi?Hao jamaa ni wabaguzi shetani anasubiri.
Kwanza Anza kujiuliza kama Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar wana Rais wao na Tanganyika haina Rais na badala yake inaitwa Tanzania Bara?Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Ulimsikia mkristo nani kwenye baraza la mapinduzi. Ni John Okello pekee alikuwa mkristo, na yaliyompata natumaini hujayasahau.Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
This is a stupid question..Ungejiuliza kwanza kwa nini hajawahi kutokea Rais wa Tanzania Mlokole?
Aisee ndio maana, wamarekani wameona huu upuuzi miaka milioni na milioni iliyopita bado sisi wakristo wa kitanzania.Hao jamaa ni wabaguzi shetani anasubiri.
Wewe unafikiri bila msiba kutokea, wazenj urais kuupata ingewachukua miaka 100,ndio maana nashauri, katiba mpya ianishe wazi kuwa urais uwe wa kupokezana, maana watu wa bara baadhi tuna roho mbaya za husda na hatupendi wazazibar wawe rais wa TanzaniaNimegundua vijana wengi hawajui aina na muundo wa Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar.
Hata hivyo wa kulaumiwa ni Nyerere hakutakiwa kuvunja serikali ya Tanganyika bali ilitakiwa kuwe na serikali tatu lakini alifikiri kwa muundo wa serikali mbili tungekuwa watawala wa Zanzibar daima lakini leo tunatawaliwa sisi! Ujanja mwingi mbele kiza.
Tueleze mimi binafsi bado sijasikia.Ulimsikia mkristo nani kwenye baraza la mapinduzi. Ni John Okello pekee alikuwa mkristo, na yaliyompata natumaini hujayasahau.
Unatakiwa upewe cheoNenda shule ili walau ujue kuwa Kuna tofauti ya Tanganyika,Zanzibar na Tanzania,na kwamba mtanganyika hawezi kuwa rais Zanzibar,pia kwamba watanganyika walishaua nchi ya Tanganyika,na kwamba Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar...mbuzi kasoro manyoya!!
TrueWazawa wazanzibar wote ni waislamu ukiona mkiristo ujue anatokea bara