Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Swali lako limeficha chuki ndanimo,mtakufa na chuki zenu za Udini haya tusema rais wa Zanzibar awe mkiristo wewe kabwela utanufahika na nini? kwa tarifa yako rais wa Zanzibar anachaguliwa Dodoma tena nahao wakiristo wenzio huyu mama samia walio mpa umakamu wa rais ndio hao nabado walio mpitisha juzi kuwa mwenyekiti wa ccm nihao wakiristo wenzio nenda huko kawaoji kulikoni wanampendlea chuki chuki chuki utakufa na ugonjwa wa moyo
 
Waisalam ndani ya nchi hii tunawabembeleza kwa mbereko..ipo siku hiyo mbereko itakatika
 
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Nenda kwanza ukasome katiba ya Zanzibar halafu uje na masuali hapa
 
Hii hoja haina mashiko..mbona huku bara wakristo ni wengi na hatuwezi kumkosa rahisi..mbona kwa kuheahimu muungano tunawatoa marais kutoka huko mfano Mwinyi na samia
Mwinyi ni mzawa wa Tanganyika, alikwenda Zanzibar kusoma na baadae ndiyo akabakia kule. Ni kama vile nyinyi munavyokwenda Ulaya halafu mukaamua kubakia kule.
 
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Watakuwa wanaogopa maraisi wakristo,si unaona huku bara raisi akiwa Mkristo balaa tunalolipata,hawana huruma imani hata kidogo Maraisi wakristo wabongo.
 
Ipo siku atatawala mkristo kwenye hizo visiwa.
Sasa nyie wakiristo na washangaa sana kila siku maneno maneno choko choko utadhani mna mimba bhana,haya akitawala mkiristo wewe kama wewe utapata nini kwenye hayo masilahi,amtosheki tu kuanzia serikali za mitaa nyumba 10 bunge mawaziri makatibu wakurugenzi wa halimashauri polisi majeshi yote mme jaa nyiyi amtosheki? Kutosheka kweni ni kufa na kushwenkwa motoni tu chuki chuki chuki
 
Mbona unajibu kwa panic, topic nyepesi sana na haihitaji u-serious kivile.
 
Population ya kule asilimia 95 ni waislam so hata viongozi wataopatikana ni kutoka katika asilimia hizo tu.
Uongozi unaangalia dini ya mtu?
Akitokea mtu mwenye sera nzuri kwenye hiyo 5% hapati?
 
Waisalam ndani ya nchi hii tunawabembeleza kwa mbereko..ipo siku hiyo mbereko itakatika
Ujitambui mshezi we unadhani unambeba nani nchi hii? hayo maneno toka hadharani uyaseme kama wewe ni kidume utaishia kusemea mkunduni kwako tu hata siku 1 utosemea hadharani

Haya tufanye waisilamu wote wasipate uongozi wa aina yoyote wewe na ushenzi wako itafaidika nini mfano watumishi walio wengi nchi hii ni wakiristo wewe kama wewe na ushenzi wako unacho kipata wasicho kipata waisilamu ni kipi?

Nyiyi ndio mnao jivunia mahospitali ya kanisa na mashule hali yakuwa huwezi kwenda kutibiwa bile au mtoto wako kusoma bule kigezo heti mkirisito wakiristo kuwa wengi serikalini sio kigezo cha wewe na ndugu zako kuepuka dhiki ulizo nazo au waisilamu kupata dhini inajidanganya mshezi we mtembea na mavi mchabia karatasi
 
Watakuwa wanaogopa maraisi wakristo,si unaona huku bara raisi akiwa Mkristo balaa tunalolipata,hawana huruma imani hata kidogo Maraisi wakristo wabongo.
Wewe akitawala mkiristo unapata nini cha zaidi unacho kikosha anapo tawala muisilamu kwenye maisha yako ya kila siku?
 
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Muungano ambao ni sawa na ndoa inayopendelea upande mmoja
 
Back
Top Bottom