Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Nenda shule ili walau ujue kuwa Kuna tofauti ya Tanganyika,Zanzibar na Tanzania,na kwamba mtanganyika hawezi kuwa rais Zanzibar,pia kwamba watanganyika walishaua nchi ya Tanganyika,na kwamba Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar...mbuzi kasoro manyoya!!
Your a idiot of the highest level..instead of address the question specifically...you bring your Ass to us..i don't use it
 
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Sema hata Makamu tu wa Rais Mkristo, hatokuja kutokea katika historia ya hivyo Visiwa!

Huko siku zote viongozi wa ngazi zote za juu, watakuwa ni wa mlengo ule ule.
 
Hii inatoa tafsiri kwamba bila kuwa mfuasi wa dini ya mnyaazi hawa watu wanakuona hufai kuwaongoza.
Zanzibar ni nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, ni mgombea gani mkristo aliwahi kugombea kupitia chama chochote akanyimwa urais kisa dini yake?
 
Ile ni serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Swali ni je wewe mzaliwa wa Moshi au mzaliwa wa manyoni unahusika vipi kwenye mapinduzi ya Zanzibar, kuna mtu yeyote wa ukoo wenu mwenye asili ya Zanzibar?
 
Tanzania kama nchi ina Serikali 2, Moja ni ya Mapinduzi ya Zanzibar na ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ili uwe na sifa ya kugombea Urais wa Zanzibar lazima uwe Mzanzibar na sio kuwa Mtanzania tu, yaani sijui utokee huko Kisarawe. Sasa hakuna mkristo mzanzibar al7yewahi kukatazwa kugombea Urais wa Zanzibar na ikijitokeza anaweza kuwa Rais.
 
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Ulienda kila ugombea ukakataliwa? Nenda mwaka wa uchaguzi ukikaribia ukavute fomu
 
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Kwani umeambiwa Zanzibar ni parokia?
 
Your a idiot of the highest level..instead of address the question specifically...you bring your Ass to us..i don't use it
Hukufundishwa 'an onion, an aeroplane..' darasa la tatu!?.. yaani umeandika kiingereza nijue umepita shule!?..well ulienda kunywa kamasi tu shule, kiingereza kichafu!!..hata ndani ya jibu langu hukuona jawabu la issue yako
 
Sema hata Makamu tu wa Rais Mkristo, hatokuja kutokea katika historia ya hivyo Visiwa!

Huko siku zote viongozi wa ngazi zote za juu, watakuwa ni wa mlengo ule ule.
Wewe unaweseka bule rais wa Zanzibar achaguliwi na wazanzibari bali uchaguliwa na wana ccm pale dom robo 3 yao ni wakiristo wenzio nenda kawaulize
 
Ujanja mwingi mbele giza.
Nyerere aliiuza Tanganyika kwa Wazanzibar kwa bei rais sana.
Leo hii it is possible Mzanzibari atawale Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano, ila Wazanzibari mambo yao wametaweka kibindoni, ni marufuku Mtanganyika kuweka pua!
Kwani Rais wa Zanzibar anapatikana je mfano mtoto wa Mwinyi?
 
Kikwete alitoka Zanzibar? tatizo nyuma yake umeficha chuki,haya wewe kabwela akitawala mkiristo Zanzibar unapata nn?
Maskini hata hujui usemalo. Upupu uliomwaga hapa wala auhusiani na hoja
 
Zanzibar ni ya waislam zaid tanzania ni yawote fiftefifte.
Usisahau Tz ni muunganiko wa kanchi kamoja kadooogo kanakojitambua na kenye muundo na serikali yake na liardhi lingine likuuubwa la mikoamikoa tuuuu lenye watu mara 60 zaidi lkn hawana serikali yao 🤬....nlitaka kusema stupid... lakini sitasema...ila ndoivyo!!
 
Back
Top Bottom