Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Nimemsikia Profesa mmoja kutoka Chicago School of Economics, akisema kwamba sababu ya Afrika yetu kuwa nyuma kimaendeleo kuliko sehemu nyingine ni kwa sababu hatujawahi kuwa na tairi hapo nyuma, ndioo namaanisha tairi kama la gari.
Yaani hatukuwahi kuunda tairi na kulitumia kwenye shughuli mbali mbali, tairi hurahisisha mambo mengi sana, fikiria hilo kidogo tu kazi ya tairi na bila ya tairi utafanya nini?
Anasema tairi ndiyo lililofanikisha maendeleo, je ni kweli hatujawahi kuwa na tairi kabla ya Ukoloni?