Nimemsikia Profesa mmoja kutoka Chicago School of Economics, akisema kwamba sababu ya Afrika yetu kuwa nyuma kimaendeleo kuliko sehemu nyingine ni kwa sababu hatijawahi kuwa na tairi hapo nyuma, ndioo namaanisha tairi kama la gari.
Anasema tairi ndiyo lililofanikisha maendeleo, je ni kweli hatujawahi kuwa na tairi kabla ya Ukoloni?