PreGE2025 Hivi ni kweli CCM mmemtuma Msemaji wenu Amos Makalla aseme huu UCHAFU ambao kiukweli unawatia AIBU?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM.

Hivi CCM ambaye Mwenyekiti wake Taifa Rais Samia anajua madhara makubwa ya Kiuchumi na Kiusalama kwa hii Kauli Chafu iliyotoka Ubongoni mwa Msemaji wao Amos Makalla?

''CHADEMA inakusanya michango ikanunue Virusi wa Mpox na Ebola nchini Tanzania ili Watanzania wasipige Kura Oktoba" amesema Msemaji wa CCM Taifa Amos Makalla.

Kwahiyo Amos Makalla na Rais Samia CHADEMA wakinunua hivyo Virusi.......

1. Vitakuwa vinajua kuwa huyu ni CCM na yule ni CHADEMA au hana Chama?
2. Virusi vitajua kuwa Tanzania wanapiga Kura Mwezi Oktoba?

Halafu huyu Amos Makalla si ndiyo ana Elimu ya hadi mnamuita CPA? Kwahiyo wenye CPA nchini Tanzania nao ni Wapumbavu wakubwa na Wavivu wa Kufikiri kama huyu? Ila Amos Makalla sikulaumu sana kama mpaka leo umeshindwa kuiboresha Nyumba yenu ( ya Marehemu Baba yako uliyozaliwa) pale Kawe Ukwamani (nyuma ya Hoteli ya VICTORIA) na inatia Aibu kwa KUZEEKA na ukishindwa Kumjali Kaka yako aliye Mgonjwa kwa muda sasa leo ndiyo uwe na Akili timamu?

CCM ingekuwa na Uongozi makini kama CCM ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere leo hii Amos Makalla angeshafukuzwa.
 
Siasa inaruhusu ujinga kama huo na wanayo haki kimfumo sema chadema mtakamatwa hivyo kwa sababu hamuewi hampo kwenye mfumo wa kidemokrasia.
 
Ile kauli ina madhara makubwa kimataifa kuliko wanavyofikiria.

Inaweza kupunguza mpaka idadi ya watalii kuja kuanzia Zanzibar, Serengeti nk.
Kenyan wakiipata hii lazima watushindilie kabisa tupoteza biashara ya utalii.

Pumbavu kabisa Ile jamaa, CCM wanapowaza kushinda uchaguzi huwa wanasahau kila kitu.
 
Unaposema kuwa CHADEMA tutakamatwa kuna mahala popote pale nimekuambia kuwa GENTAMYCINE ni CHADEMA? Hivi ni kwanini Tanzania Mtu ukiwa tu Neutral au Mtu usiyependa Unafiki au Uonevu basi haraka sana UNABATIZWA kuwa Wewe ni mwana CHADEMA au Mpinzani?

Tubadilike tafadhali.
 
Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa nawasema kwa nia njema tu CCM hapa JamiiForums wananichukia na kuniwekea Vikao.
 
Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM.

Hivi CCM ambaye Mwenyekiti wake Taifa Rais Samia anajua madhara makubwa ya Kiuchumi na Kiusalama kwa hii Kauli Chafu iliyotoka Ubongoni mwa Msemaji wao Amos Makalla?

''CHADEMA inakusanya michango ikanunue Virusi wa Mpox na Ebola nchini Tanzania ili Watanzania wasipige Kura Oktoba" amesema Msemaji wa CCM Taifa Amos Makalla.

Kwahiyo Amos Makalla na Rais Samia CHADEMA wakinunua hivyo Virusi.......

1. Vitakuwa vinajua kuwa huyu ni CCM na yule ni CHADEMA au hana Chama?
2. Virusi vitajua kuwa Tanzania wanapiga Kura Mwezi Oktoba?

Halafu huyu Amos Makalla si ndiyo ana Elimu ya hadi mnamuita CPA? Kwahiyo wenye CPA nchini Tanzania nao ni Wapumbavu wakubwa na Wavivu wa Kufikiri kama huyu? Ila Amos Makalla sikulaumu sana kama mpaka leo umeshindwa kuiboresha Nyumba yenu ( ya Marehemu Baba yako uliyozaliwa) pale Kawe Ukwamani (nyuma ya Hoteli ya VICTORIA) na inatia Aibu kwa KUZEEKA na ukishindwa Kumjali Kaka yako aliye Mgonjwa kwa muda sasa leo ndiyo uwe na Akili timamu?

CCM ingekuwa na Uongozi makini kama CCM ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere leo hii Amos Makalla angeshafukuzwa.
hayawahusu endeleeni na vitu vyen visivyowezekana no reform no manini sijui mnachekesha dunia
 
Unaposema kuwa CHADEMA tutakamatwa kuna mahala popote pale nimekuambia kuwa GENTAMYCINE ni CHADEMA? Hivi ni kwanini Tanzania Mtu ukiwa tu Neutral au Mtu usiyependa Unafiki au Uonevu basi haraka sana UNABATIZWA kuwa Wewe ni mwana CHADEMA au Mpinzani?

Tubadilike tafadhali.
Mimi pia sipendi huu ujinga sisiem wanafanya ila mkakati wa no reform no election sijajua unatekelezwa vipi , katikati ya hawa nyumbu wanaoweza kumanipulate mfumo hata kwa kuwatumia wanaojifanya ni chadema🤔
 
Back
Top Bottom