PreGE2025 Hivi ni kweli CCM mmemtuma Msemaji wenu Amos Makalla aseme huu UCHAFU ambao kiukweli unawatia AIBU?

PreGE2025 Hivi ni kweli CCM mmemtuma Msemaji wenu Amos Makalla aseme huu UCHAFU ambao kiukweli unawatia AIBU?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama CPA anaweza kutoa kauli ya kipuuzi namna hii kumbe sie ngumbaru tuliosomea chini ya miti na kuishia la nne D tuna akili na busara kubwa
 
Mimi pia sipendi huu ujinga sisiem wanafanya ila mkakati wa no reform no election sijajua unatekelezwa vipi , katikati ya hawa nyumbu wanaoweza kumanipulate mfumo hata kwa kuwatumia wanaojifanya ni chadema🤔
Acha UNAFIKI na Kufumba sawa? Kwahiyo hapa umemaanisha kuwa Mimi nitatumika Kuwaangamiza CHADEMA japo leo najifanya nipo nao au nawatetea?
 
Acha UNAFIKI na Kufumba sawa? Kwahiyo hapa umemaanisha kuwa Mimi nitatumika Kuwaangamiza CHADEMA japo leo najifanya nipo nao au nawatetea?
Hapana sijamaanisha wewe? Imekuaje ukafikiri hivi🤔🤔
 
Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM.

Hivi CCM ambaye Mwenyekiti wake Taifa Rais Samia anajua madhara makubwa ya Kiuchumi na Kiusalama kwa hii Kauli Chafu iliyotoka Ubongoni mwa Msemaji wao Amos Makalla?

''CHADEMA inakusanya michango ikanunue Virusi wa Mpox na Ebola nchini Tanzania ili Watanzania wasipige Kura Oktoba" amesema Msemaji wa CCM Taifa Amos Makalla.

Kwahiyo Amos Makalla na Rais Samia CHADEMA wakinunua hivyo Virusi.......

1. Vitakuwa vinajua kuwa huyu ni CCM na yule ni CHADEMA au hana Chama?
2. Virusi vitajua kuwa Tanzania wanapiga Kura Mwezi Oktoba?

Halafu huyu Amos Makalla si ndiyo ana Elimu ya hadi mnamuita CPA? Kwahiyo wenye CPA nchini Tanzania nao ni Wapumbavu wakubwa na Wavivu wa Kufikiri kama huyu? Ila Amos Makalla sikulaumu sana kama mpaka leo umeshindwa kuiboresha Nyumba yenu ( ya Marehemu Baba yako uliyozaliwa) pale Kawe Ukwamani (nyuma ya Hoteli ya VICTORIA) na inatia Aibu kwa KUZEEKA na ukishindwa Kumjali Kaka yako aliye Mgonjwa kwa muda sasa leo ndiyo uwe na Akili timamu?

CCM ingekuwa na Uongozi makini kama CCM ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere leo hii Amos Makalla angeshafukuzwa.
Kuchanganyikiwa Kwa makada wenzangu wa chama Kwa kauli mbiu hii ya no reform no election!inatuaminisha kauli hii sio ya chadema Bali ya wenye dola kupitia chadema !!yaani the state yenyewe ndio imekuja na hii kauli na chadema ni watekelezaji TU inawezekana hao chadema Wana back up ya mfumo kwenye hiyo kauli!!

Kuchanganyikiwa huko kunanipa hofu kwamba safari hii ccm chama changu hakipambani na chadema Bali na mfumo wenyewe baada ya kuchoshwa na ujinga wa kulewa madaraka na kutofuata maelekezo!!

Hakuna wakati ccm tulipaswa kuwa makini sana baada ya kumpoteza jpm,walau tungeonesha seriousness kiutendaji!lakini utendaji wa kuchekelea wizi wa Dollarna deals plus wasaka urais kabla ya muda wa kampeni ni kuonyesha kuwa tunasherehekea kifo Cha jpm na sio kumuenzi na kuingia kwenye tagert ya majasusi wachunguzi wa kifo chenyewe!!

Haiwezekani Raid kafariki hata mwaka haujapita makam wake anatangaza eti atagombea na kampeni inaanza! automatic utashukiwa kuwa na wewe ama ulihusika au ulichora ramani ya ishu yenyewe!!

Nimeona movement ya NETO,Nikaona mvt ya UYAM plus no reform no election aiseh zimepamba moto !tujiulize kama Sasa serikali IPO na machinery zinafanya kazi je serikali ikivunjwa rasmi na mwenyekiti akapoteza ushawishi wa amiri jesh mkuu Hali itakuwaje!!?jaji mkuu alieteuliwa atai favor cccm mbele ya mfumo ulioghadhabika!!?

Naendelea kuwaza!!Mimi mlipakodi halisi!
 
Si kila Mwenye mdomo ana hekima ya kuzungumza. Imenishangaza sana. The likes of Makalla, yule wa mwanza na yule aliyekuwa arusha kabla ya Baba K ni Old Dogs, the should be coolheads na sio vichwa Resi kama Musiba. Hata Mzee wetu wasiiira nae kuna namna flani anateleza. CDM hawana ubavu wa kuondoa ccm ila hawa baba zeta wanatuonyesha wazi kwamba chama tawala hakina watu weledi especially at higher echelons.
 
Old school politics ndiyo zilikua hivi. Ndiyo hizi pia CUF kikawa branded kama chama cha magaidi.

What's funny? CUF haikuwahi kwenda mahakamani.

Na CHADEMA hawataenda mahakamani kumshitaki Makala.

Why? Hawa wote ni 'dugu moja' wanajuana
 
Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM.

Hivi CCM ambaye Mwenyekiti wake Taifa Rais Samia anajua madhara makubwa ya Kiuchumi na Kiusalama kwa hii Kauli Chafu iliyotoka Ubongoni mwa Msemaji wao Amos Makalla?

''CHADEMA inakusanya michango ikanunue Virusi wa Mpox na Ebola nchini Tanzania ili Watanzania wasipige Kura Oktoba" amesema Msemaji wa CCM Taifa Amos Makalla.

Kwahiyo Amos Makalla na Rais Samia CHADEMA wakinunua hivyo Virusi.......

1. Vitakuwa vinajua kuwa huyu ni CCM na yule ni CHADEMA au hana Chama?
2. Virusi vitajua kuwa Tanzania wanapiga Kura Mwezi Oktoba?

Halafu huyu Amos Makalla si ndiyo ana Elimu ya hadi mnamuita CPA? Kwahiyo wenye CPA nchini Tanzania nao ni Wapumbavu wakubwa na Wavivu wa Kufikiri kama huyu? Ila Amos Makalla sikulaumu sana kama mpaka leo umeshindwa kuiboresha Nyumba yenu ( ya Marehemu Baba yako uliyozaliwa) pale Kawe Ukwamani (nyuma ya Hoteli ya VICTORIA) na inatia Aibu kwa KUZEEKA na ukishindwa Kumjali Kaka yako aliye Mgonjwa kwa muda sasa leo ndiyo uwe na Akili timamu?

CCM ingekuwa na Uongozi makini kama CCM ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere leo hii Amos Makalla angeshafukuzwa.
Rejea ujenzi wa Mnara wa Babeli.
 
Kujihuzuru au kutenguliwa kutawapa popularity CDM kwahyo hapa lazima CCM watafute tension ya kitu chochote kwaajili ya kuzima hii ishu. Ni very dangerous statement kwa taifa kiujumla.
 
Back
Top Bottom