GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nasikitika umechelewa sana Kumdharau kwani Mimi nilishamdharau Kitambo mno kwakuwa nayajua Madhaifu yake kibao.Nilikua namuheshimu sanaa lakini kwa hili nimemdharau Big Time
Na kuna Mnenguaji Mmoja (wa Bendi fulani maarufu Kinondoni) alikuwa nae kampa 1981 WHO ambayo nae anaigawa tu.Gujinga sana gule gushikaji ,akili inawaza kumiliki wanenguaji tu
Nakubalina nawe 100% Mkuu.Sifa ya kufika nafasi ya juu CCM kuwa tahira umix na uchizi by YASS
Ulikosea kumheshimu huyu pimbi,toka akiwa mkuu wa mkoa aliprove failure ccm ikaendelea kumbeba chini ya jk maana wanajuana kwa Mambo yetu yaleeee .. wanaume.Ila he's a total failureNilikua namuheshimu sanaa lakini kwa hili nimemdharau Big Time
Unaposema kuwa CHADEMA tutakamatwa kuna mahala popote pale nimekuambia kuwa GENTAMYCINE ni CHADEMA? Hivi ni kwanini Tanzania Mtu ukiwa tu Neutral au Mtu usiyependa Unafiki au Uonevu basi haraka sana UNABATIZWA kuwa Wewe ni mwana CHADEMA au Mpinzani?Siasa inaruhusu ujinga kama huo na wanayo haki kimfumo sema chadema mtakamatwa hivyo kwa sababu hamuewi hampo kwenye mfumo wa kidemokrasia.
1981 WHO inamtesa sana.Ulikosea kumheshimu huyu pimbi,toka akiwa mkuu wa mkoa aliprove failure ccm ikaendelea kumbeba chini ya jk maana wanajuana kwa Mambo yetu yaleeee .. wanaume.Ila he's a total failure
Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa nawasema kwa nia njema tu CCM hapa JamiiForums wananichukia na kuniwekea Vikao.Ile kauli ina madhara makubwa kimataifa kuliko wanavyofikiria.
Inaweza kupunguza mpaka idadi ya watalii kuja kuanzia Zanzibar, Serengeti nk.
Kenyan wakiipata hii lazima watushindilie kabisa tupoteza biashara ya utalii.
Pumbavu kabisa Ile jamaa, CCM wanapowaza kushinda uchaguzi huwa wanasahau kila kitu.
Anayetakiwa huko Kumuwajibisha ana Akili? Stenographers huwa wanakuwa na Akili Mkuu? Tokea lini? Wanafanana IQs.Cha ajabu mpaka muda huu hajawajibika wala kuwajibishwa kujiuzulu kwa kauli hiyo ya kipropaganda iliyovuka mipaka
hayawahusu endeleeni na vitu vyen visivyowezekana no reform no manini sijui mnachekesha duniaNimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM.
Hivi CCM ambaye Mwenyekiti wake Taifa Rais Samia anajua madhara makubwa ya Kiuchumi na Kiusalama kwa hii Kauli Chafu iliyotoka Ubongoni mwa Msemaji wao Amos Makalla?
''CHADEMA inakusanya michango ikanunue Virusi wa Mpox na Ebola nchini Tanzania ili Watanzania wasipige Kura Oktoba" amesema Msemaji wa CCM Taifa Amos Makalla.
Kwahiyo Amos Makalla na Rais Samia CHADEMA wakinunua hivyo Virusi.......
1. Vitakuwa vinajua kuwa huyu ni CCM na yule ni CHADEMA au hana Chama?
2. Virusi vitajua kuwa Tanzania wanapiga Kura Mwezi Oktoba?
Halafu huyu Amos Makalla si ndiyo ana Elimu ya hadi mnamuita CPA? Kwahiyo wenye CPA nchini Tanzania nao ni Wapumbavu wakubwa na Wavivu wa Kufikiri kama huyu? Ila Amos Makalla sikulaumu sana kama mpaka leo umeshindwa kuiboresha Nyumba yenu ( ya Marehemu Baba yako uliyozaliwa) pale Kawe Ukwamani (nyuma ya Hoteli ya VICTORIA) na inatia Aibu kwa KUZEEKA na ukishindwa Kumjali Kaka yako aliye Mgonjwa kwa muda sasa leo ndiyo uwe na Akili timamu?
CCM ingekuwa na Uongozi makini kama CCM ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere leo hii Amos Makalla angeshafukuzwa.
Mimi pia sipendi huu ujinga sisiem wanafanya ila mkakati wa no reform no election sijajua unatekelezwa vipi , katikati ya hawa nyumbu wanaoweza kumanipulate mfumo hata kwa kuwatumia wanaojifanya ni chademaš¤Unaposema kuwa CHADEMA tutakamatwa kuna mahala popote pale nimekuambia kuwa GENTAMYCINE ni CHADEMA? Hivi ni kwanini Tanzania Mtu ukiwa tu Neutral au Mtu usiyependa Unafiki au Uonevu basi haraka sana UNABATIZWA kuwa Wewe ni mwana CHADEMA au Mpinzani?
Tubadilike tafadhali.
You're a CERTIFIED IMBECILE Okay?hayawahusu endeleeni na vitu vyen visivyowezekana no reform no manini sijui mnachekesha dunia