Hivi ni kweli CIA ya Marekani na Mossad ya Israel wameshindwa kabisa kuipindua Serikali ya Iran?

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,381
Reaction score
11,296
Jamani, hivi ni kweli haya mataifa makubwa kabisa katika medani za ujasusi na mbinu za kivita kuwa wameshindwa kumshikisha adabu Iran na kufanya regime change ndani ya taifa la Iran!?

Bila shaka kila mtu humu ndani anajua kuwa CIA na MOSSAD ni idara za ujasusi namba moja hapa duniani. Nini kinawashinda kufanya regime change katika taifa lilojichokea kama taifa la Iran!?

Nadhani kila mtu anajua jinsi taifa la Iran lilivyo hoi, si kiuchumi wala kijeshi!
Usije kuniambia kuwa taifa lenye vikwazo vya kiuchumi kwa takribani miaka zaidi ya 40 linaweza kuhimiri mikiki mikiki ya nguvu za Marekani pamoja na Israel?

CIA na MOSSAD wanakwama wapi?
 
Sasa hivi Rais wa Marekani amekuwa mtu wa kutoa tu matamko na mipasho na mikwara kwenye mitandao ya kijamii!!!

HQHwgqaWoAA12zD.jpeg

Na Wairan nao wanampandishia kebehi na kejeli huko huko mitandaoni!!!

Screenshot_2026-08-22-11-28-14-05_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Tumefikaje huku Wamarekani?
 
kuna kitu unachanganya na baadhi ya watu pia nafikri wanachanganya, siyo wote cia, mosad & co. wanataka kuiangusha islamic republic of iran kwanza ni kinyume chake, watetezi wakuu wa islam na iran dunia hii wako west i.e wazungu communists na siyo iran, hivyo wanaokwamisha kuangushwa kwa islam na islamic republic of iran wako west na ni wazungu wenyewe rejea nato walikataa kuungana na Trump kama walivyofanya libya kuangusha islam in iran, mfano italia of all the countires hata walikataa USA isitumie ardhi yake ku-attack islamic iran, spain the same, england, france, ujerumani eu yote wamekataa lkn wakati wa libya wote waliungana dhidi ya gadafi na alienda.

hivyo islamic iko siyo kwa sababu ni strong bali watu wa west (communists) pia wanataka na wanaihitaji islam na islamic republic iwepo lengo ni kuitumia islam kubomoa Christianit. jiulize kwa nini nchi za west zinafurika wahamiaji ktk muslims countries nani anawapeleka na kuwaruhusu? siyo iran bali ni watu wa west wenyewe ndiyo wanaleta muslims kwenye nchi zao wao ndiyo wanawaruhusu kujenga mikikiti mikubwa kama makanisa, wao ndiyo wanaowaruhusu muslims kufunga mitaa ulaya na kusali, wao (wazungu) ndiyo wanaruhusu uwepo wa muslim gangs kama wale walio baka watoto laki 2 kule uingereza walililewa na kukuzwa na wests.

hivyo its more complicated than that lkn iran kama iran hana uwezo kama wengi wanavyodhania kama west i.e nato wangeamua kama libya sasa hivi zamani islam ingekuwa imebakia jangwani tu huko arabian desert lkn wazungu (communists) wenyewe ndiyo wanaipromote islam, fikiria tu kwa mfano USA alichukuwa wasomalia (ambao ni ~99% muslims) zaidi ya laki 1 ktk somalia na kuwapeleka minnesota sehemu ambayo watu wa huko hawakuwahi kuona muslim before, sasa why? kwa nini wasomalia wasiende/kupelekwa oman, saudi arabia, uae, katar au uturuki amaako wana-share karibia kila kitu kuanzia dini, utamaduni mpaka hata lugha? ...
 
kuna kitu unachanganya na baadhi ya watu pia nafikri wanachanganya, siyo wote cia, mosad & co. wanataka kuiangusha islamic republic of iran kwanza ni kinyume chake, watetezi wakuu wa islam na iran dunia hii wako west i.e wazungu communists na siyo iran, hivyo wanaokwamisha kuangushwa kwa islam na islamic republic of iran wako west rejea nato walikataa kuungana na Trump kama walivyofanya libya kuangusha islam in iran, mfano italia of all the countires hata walikataa USA isitumie ardhi yake ku-attack islamic iran, spain the same, england, france, ujerumani eu yote wamekataa lkn wakati wa libya wote waliungana dhidi ya gadafi na alienda.

hivyo islamic iko siyo kwa sababu ni strong bali watu wa west (communists) pia wanataka na wanaihitaji islam na islamic republic iwepo lengo ni kuitumia islam kubomoa Christianity ...
Acha kuongea porojo ,USA ana nguvu kwa sababu wa waislamu pale mashariki ya kati ,vivyo hivyo kwa Israel ni kwa sababu ya waislamu hasa Saudia ,jordan ,Behrain , Qatar ,Kuwait...

Iran inapata sapot ya jamii ya kishia ambao hawafiki hata asilimia 30 ya waislamu wote ,jaalia waungane wote hao mpaka saudi ,uone hata USA asingeweza kujiandaa na vita hivyo kwa sababu intelijensia inafanyika karibuni pale pale Kwa majirani zake hata Pakistan ni mamluki...Assume iran ni inapewa sapot na 30% ya waislamu wote ,vipi kuhusu wakifika hata asilimia 80% ....

Alichoshindwa USA na Israel ni kukosa mamluki ,USA akikosa pandikizi hawezi kufanya chochote na hata ground invasion hatojaribu ,lqzima apate kuungwa mkono kutoka ndani ,ubaya ni mfumo wa iran hakuna vyama vya upinzani kwa vile wana kiongozi mkuu...Nchi za kiafrika anaweza kuingia kupitia mamluki wa vyama vya upinzani ,vivyo alifanya Venezuela na Libya ..
 
bado labda haujaelewa siasa za hii dunia zinavyokwenda, wazungu (communists) ndiyo supporter wakuu wa islam na iran na sababu kuu ya kufanya hivyo communists wanataka kubomoa Christianity na kuanzisha atheist one world government kama ilivyokuwa soviet union na shamba la mfano ni china ya leo, wengi wanafikiri china imekuwa kiuchumi kwa sababu ya uhodari wa wachina hilo pia lkn sababu kuu ya china kuwa jinsi ilivyo ni west hao hao ndio walioijenga na wanaijenga china, lengo ni lile lile kuwa na athesit one world government, na chna siyo adui wa west kama wengi labda wanavyodhania kwanza ni kinyume chake, china anaruhusiwa kufanya mambo mengi na anapewa privilleges zote ambazo na west ambapo hakuna chi yoyote ile dunia hii inaruhusiwa kufanya anavyofanya china.

sasa kizingiti pekee cha satanic one world government ni Christianity na ndiyo maana wanatumia islam kubomoa Christianity, hao saudi arabia, gulf states wote unaowaongelea si chochote kwa west bila ya west hakuna saudi arabia hata ugunduzi wa mafuta saudi arabia ulifanywa na west saudi aramco ilianzishwa USA sehemu ya standard oil, katar gesi yao walianzisha waingereza miaka ya 70 uae wote bila ya west wangekuwa jangwa tu. hivyo kusema kwamba west wanaishindwa kuiangusha islamic reublic of iran siyo kwa sababu ya umahiri wa irani la hasha, bali ni west wenyewe communists ndiyo wanaotaka islam na iran ziwepo, i mean, iran leo hii hata ukiweeka kwenye bara la afrika inapitwa na nchi karibia 10 kwa pato la mwananchi mmoja mmoja
 
kuna kitu unachanganya na baadhi ya watu pia nafikri wanachanganya, siyo wote cia, mosad & co. wanataka kuiangusha islamic republic of iran kwanza ni kinyume chake, watetezi wakuu wa islam na iran dunia hii wako west i.e wazungu communists na siyo iran, hivyo wanaokwamisha kuangushwa kwa islam na islamic republic of iran wako west na ni wazungu wenyewe rejea nato walikataa kuungana na Trump kama walivyofanya libya kuangusha islam in iran, mfano italia of all the countires hata walikataa USA isitumie ardhi yake ku-attack islamic iran, spain the same, england, france, ujerumani eu yote wamekataa lkn wakati wa libya wote waliungana dhidi ya gadafi na alienda.

hivyo islamic iko siyo kwa sababu ni strong bali watu wa west (communists) pia wanataka na wanaihitaji islam na islamic republic iwepo lengo ni kuitumia islam kubomoa Christianit. jiulize kwa nini nchi za west zinafurika wahamiaji ktk muslims countries nani anawapeleka na kuwaruhusu? siyo iran bali ni watu wa west wenyewe ndiyo wanaleta muslims kwenye nchi zao wao ndiyo wanawaruhusu kujenga mikikiti mikubwa kama makanisa, wao ndiyo wanaowaruhusu muslims kufunga mitaa ulaya na kusali, wao (wazungu) ndiyo wanaruhusu uwepo wa muslim gangs kama wale walio baka watoto laki 2 kule uingereza walililewa na kukuzwa na wests.

hivyo its more complicated than that lkn iran kama iran hana uwezo kama wengi wanavyodhania kama west i.e nato wangeamua kama libya sasa hivi zamani islam ingekuwa imebakia jangwani tu huko arabian desert lkn wazungu (communists) wenyewe ndiyo wanaipromote islam, fikiria tu kwa mfano USA alichukuwa wasomalia (ambao ni ~99% muslims) zaidi ya laki 1 ktk somalia na kuwapeleka minnesota sehemu ambayo watu wa huko hawakuwahi kuona muslim before, sasa why? kwa nini wasomalia wasiende/kupelekwa oman, saudi arabia, uae, katar au uturuki amaako wana-share karibia kila kitu kuanzia dini, utamaduni mpaka hata lugha? ...
Inawezekana una hoja, ila nimeshindwa kabisa kumaliza kusoma mchango wako.
Kwanini haufuati kanuni za uandishi mkongwe!?
Una uandishi wa ovyo sana aisee!
Uandishi wako ni matusi kwa ELIMU!!!
 
bado labda haujaelewa siasa za hii dunia zinavyokwenda, wazungu (communists) ndiyo supporter wakuu wa islam na iran na sababu kuu ya kufanya hivyo communists wanataka kubomoa Christianity na kuanzisha atheist one world government kama ilivyokuwa soviet union na shamba la mfano ni china ya leo, wengi wanafikiri china imekuwa kiuchumi kwa sababu ya uhodari wa wachina hilo pia lkn sababu kuu ya china kuwa jinsi ilivyo ni west hao hao ndio walioijenga na wanaijenga china, lengo ni lile lile kuwa na athesit one world government, na chna siyo adui wa west kama wengi labda wanavyodhania kwanza ni kinyume chake, china anaruhusiwa kufanya mambo mengi na anapewa privilleges zote ambazo na west ambapo hakuna chi yoyote ile dunia hii inaruhusiwa kufanya anavyofanya china.

sasa kizingiti pekee cha satanic one world government ni Christianity na ndiyo maana wanatumia islam kubomoa Christianity, hao saudi arabia, gulf states wote unaowaongelea si chochote kwa west bila ya west hakuna saudi arabia hata ugunduzi wa mafuta saudi arabia ulifanywa na west saudi aramco ilianzishwa USA sehemu ya standard oil, katar gesi yao walianzisha waingereza miaka ya 70 uae wote bila ya west wangekuwa jangwa tu. hivyo kusema kwamba west wanaishindwa kuiangusha islamic reublic of iran siyo kwa sababu ya umahiri wa irani la hasha, bali ni west wenyewe communists ndiyo wanaotaka islam na iran ziwepo, i mean, iran leo hii hata ukiweeka kwenye bara la afrika inapitwa na nchi karibia 10 kwa pato la mwananchi mmoja mmoja
Acha uongo 😅 😅 Wazungu ndiyo atheists na hao Christians na dini zote wanapelekwa tu ,USA na Israel wanatumia ukristo kama shield ya kuungwa mkono duniani na kundi fulani...Ndio maana Trump baada ya mauaji ya viongozi na watoto kule Iran , wakristo walimuunga mkono hata huku kwetu makanisani waliweka picha yake ,hapo USA walienda mpaka ikulu kumuombea na kumpongeza.

Hii ni akili ambayo hauwezi kuambiwa , USA bila ya mamluki hana kipya kwa vile vita ya nchi moja yaani Iran anapeleka zana kamq zote mpaka anataka kurusha nuclear...Regime change kwa Iran ni ngumu ,kwa sababu ya mfumo wao wa viongozi...Ukiruhusu vyama vya siasa ,mambo ya upinzani ni rahisi kuingiliwa mambo yako ya ndani hata hapa bongo wanapokea pesa kutoka nje kutaka kupindua serikali...
 
Jamani, hivi ni kweli haya mataifa makubwa kabisa katika medani za ujasusi na mbinu za kivita kuwa wameshindwa kumshikisha adabu Iran na kufanya regime change ndani ya taifa la Iran!?

Bila shaka kila mtu humu ndani anajua kuwa CIA na MOSSAD ni idara za ujasusi namba moja hapa duniani. Nini kinawashinda kufanya regime change katika taifa lilojichokea kama taifa la Iran!?

Nadhani kila mtu anajua jinsi taifa la Iran lilivyo hoi, si kiuchumi wala kijeshi!
Usije kuniambia kuwa taifa lenye vikwazo vya kiuchumi kwa takribani miaka zaidi ya 40 linaweza kuhimiri mikiki mikiki ya nguvu za Marekani pamoja na Israel?

CIA na MOSSAD wanakwama wapi?
Hawataki lawama zifanane na zile za Hiroshima.Humanity first.
 
kuna kitu unachanganya na baadhi ya watu pia nafikri wanachanganya, siyo wote cia, mosad & co. wanataka kuiangusha islamic republic of iran kwanza ni kinyume chake, watetezi wakuu wa islam na iran dunia hii wako west i.e wazungu communists na siyo iran, hivyo wanaokwamisha kuangushwa kwa islam na islamic republic of iran wako west na ni wazungu wenyewe rejea nato walikataa kuungana na Trump kama walivyofanya libya kuangusha islam in iran, mfano italia of all the countires hata walikataa USA isitumie ardhi yake ku-attack islamic iran, spain the same, england, france, ujerumani eu yote wamekataa lkn wakati wa libya wote waliungana dhidi ya gadafi na alienda.

hivyo islamic iko siyo kwa sababu ni strong bali watu wa west (communists) pia wanataka na wanaihitaji islam na islamic republic iwepo lengo ni kuitumia islam kubomoa Christianit. jiulize kwa nini nchi za west zinafurika wahamiaji ktk muslims countries nani anawapeleka na kuwaruhusu? siyo iran bali ni watu wa west wenyewe ndiyo wanaleta muslims kwenye nchi zao wao ndiyo wanawaruhusu kujenga mikikiti mikubwa kama makanisa, wao ndiyo wanaowaruhusu muslims kufunga mitaa ulaya na kusali, wao (wazungu) ndiyo wanaruhusu uwepo wa muslim gangs kama wale walio baka watoto laki 2 kule uingereza walililewa na kukuzwa na wests.

hivyo its more complicated than that lkn iran kama iran hana uwezo kama wengi wanavyodhania kama west i.e nato wangeamua kama libya sasa hivi zamani islam ingekuwa imebakia jangwani tu huko arabian desert lkn wazungu (communists) wenyewe ndiyo wanaipromote islam, fikiria tu kwa mfano USA alichukuwa wasomalia (ambao ni ~99% muslims) zaidi ya laki 1 ktk somalia na kuwapeleka minnesota sehemu ambayo watu wa huko hawakuwahi kuona muslim before, sasa why? kwa nini wasomalia wasiende/kupelekwa oman, saudi arabia, uae, katar au uturuki amaako wana-share karibia kila kitu kuanzia dini, utamaduni mpaka hata lugha? ...
This is rubbish. Iran tangu 1979 baada ya mapinduI yaliyomtoa Shah Pahlavi imekumbana na vikwazo vya kiuchumi,kijamii, silaha n.k mpaka leo hiii na watekelezaji wakubwa wa vikwazo hivyo ni hao hao western countries
 
bado hauelewi, islam na islamic republic of iran wana support kubwa west (communist) siajabu klk hata kwa muslims wenzao, waliokuwa wanaaandamna free palestine baada ya israeli kuwabana walikuwa ni watu wa west, sikuwahi kuona wasaudia, uae au katar wakiandamana popote free palestine kwanza egypt hata aliwafungia mpaka wapalestina wasivuke, hata wanaogawa chakula na misaadia kwa wapalestina sehemu kubwa ni hao hao westen but lkn hiyo siyo point yangu hata hivyo.

supporter wakubwa wa islam na islamic republic of iran wako west vinginevyo islam na iran ingeshaanguka zamani sana ...
 
Hii support unayosema wewe Haina msaada .hawaisaidii Iran hata tone. Ungesema support kubwa ya Iran ipo china ,Korea na Russia angalau ungeeleweka.
 
Jamani, hivi ni kweli haya mataifa makubwa kabisa katika medani za ujasusi na mbinu za kivita kuwa wameshindwa kumshikisha adabu Iran na kufanya regime change ndani ya taifa la Iran!?

Bila shaka kila mtu humu ndani anajua kuwa CIA na MOSSAD ni idara za ujasusi namba moja hapa duniani. Nini kinawashinda kufanya regime change katika taifa lilojichokea kama taifa la Iran!?

Nadhani kila mtu anajua jinsi taifa la Iran lilivyo hoi, si kiuchumi wala kijeshi!
Usije kuniambia kuwa taifa lenye vikwazo vya kiuchumi kwa takribani miaka zaidi ya 40 linaweza kuhimiri mikiki mikiki ya nguvu za Marekani pamoja na Israel?

CIA na MOSSAD wanakwama wapi?
Regime change hufanikiwa kwa jamii duni kielimu na dola legelege
 
Jamani, hivi ni kweli haya mataifa makubwa kabisa katika medani za ujasusi na mbinu za kivita kuwa wameshindwa kumshikisha adabu Iran na kufanya regime change ndani ya taifa la Iran!?

Bila shaka kila mtu humu ndani anajua kuwa CIA na MOSSAD ni idara za ujasusi namba moja hapa duniani. Nini kinawashinda kufanya regime change katika taifa lilojichokea kama taifa la Iran!?

Nadhani kila mtu anajua jinsi taifa la Iran lilivyo hoi, si kiuchumi wala kijeshi!
Usije kuniambia kuwa taifa lenye vikwazo vya kiuchumi kwa takribani miaka zaidi ya 40 linaweza kuhimiri mikiki mikiki ya nguvu za Marekani pamoja na Israel?

CIA na MOSSAD wanakwama wapi?
Wameshindwa na soon itakuja vita ya uturuki na Israel...
 
bado hauelewi, islam na islamic republic of iran wana support kubwa west (communist) siajabu klk hata kwa muslims wenzao, waliokuwa wanaaandamna free palestine baada ya israeli kuwabana walikuwa ni watu wa west, sikuwahi kuona wasaudia, uae au katar wakiandamana popote free palestine kwanza egypt hata aliwafungia mpaka wapalestina wasivuke, hata wanaogawa chakula na misaadia kwa wapalestina sehemu kubwa ni hao hao westen but lkn hiyo siyo point yangu hata hivyo.

supporter wakubwa wa islam na islamic republic of iran wako west vinginevyo islam na iran ingeshaanguka zamani sana ...
Acha Uongo basi... Yaani Western countries ziunge mkono Iran. Kama ndivyo hivyo USA asingethubutu kuweka mguu hapo Iran.
 
Back
Top Bottom