Hivi ni kweli CIA ya Marekani na Mossad ya Israel wameshindwa kabisa kuipindua Serikali ya Iran?

Hivi ni kweli CIA ya Marekani na Mossad ya Israel wameshindwa kabisa kuipindua Serikali ya Iran?

Jamani, hivi ni kweli haya mataifa makubwa kabisa katika medani za ujasusi na mbinu za kivita kuwa wameshindwa kumshikisha adabu Iran na kufanya regime change ndani ya taifa la Iran!?

Bila shaka kila mtu humu ndani anajua kuwa CIA na MOSSAD ni idara za ujasusi namba moja hapa duniani. Nini kinawashinda kufanya regime change katika taifa lilojichokea kama taifa la Iran!?

Nadhani kila mtu anajua jinsi taifa la Iran lilivyo hoi, si kiuchumi wala kijeshi!
Usije kuniambia kuwa taifa lenye vikwazo vya kiuchumi kwa takribani miaka zaidi ya 40 linaweza kuhimiri mikiki mikiki ya nguvu za Marekani pamoja na Israel?

CIA na MOSSAD wanakwama wapi?
Karibu kuwaza,ni kama Tu vile CCM inatamani kuipindua chadema na imeshindwa🤣
 
bado hauelewi, islam na islamic republic of iran wana support kubwa west (communist) siajabu klk hata kwa muslims wenzao, waliokuwa wanaaandamna free palestine baada ya israeli kuwabana walikuwa ni watu wa west, sikuwahi kuona wasaudia, uae au katar wakiandamana popote free palestine kwanza egypt hata aliwafungia mpaka wapalestina wasivuke, hata wanaogawa chakula na misaadia kwa wapalestina sehemu kubwa ni hao hao westen but lkn hiyo siyo point yangu hata hivyo.

supporter wakubwa wa islam na islamic republic of iran wako west vinginevyo islam na iran ingeshaanguka zamani sana ...
Eidha hujui lolote au hujui mengi
 
Acha kuongea porojo ,USA ana nguvu kwa sababu wa waislamu pale mashariki ya kati ,vivyo hivyo kwa Israel ni kwa sababu ya waislamu hasa Saudia ,jordan ,Behrain , Qatar ,Kuwait...

Iran inapata sapot ya jamii ya kishia ambao hawafiki hata asilimia 30 ya waislamu wote ,jaalia waungane wote hao mpaka saudi ,uone hata USA asingeweza kujiandaa na vita hivyo kwa sababu intelijensia inafanyika karibuni pale pale Kwa majirani zake hata Pakistan ni mamluki...Assume iran ni inapewa sapot na 30% ya waislamu wote ,vipi kuhusu wakifika hata asilimia 80% ....

Alichoshindwa USA na Israel ni kukosa mamluki ,USA akikosa pandikizi hawezi kufanya chochote na hata ground invasion hatojaribu ,lqzima apate kuungwa mkono kutoka ndani ,ubaya ni mfumo wa iran hakuna vyama vya upinzani kwa vile wana kiongozi mkuu...Nchi za kiafrika anaweza kuingia kupitia mamluki wa vyama vya upinzani ,vivyo alifanya Venezuela na Libya ..
Hivi Libya kulikuwa na vyama vya upinzani. Unaweza ukatutajia hivyo vyama vya upinzani vilivyokuwa nchini Libya wakati wa dikteta Muamar Gadaffi.
 
Hivi Libya kulikuwa na vyama vya upinzani. Unaweza ukatutajia hivyo vyama vya upinzani vilivyokuwa nchini Libya wakati wa dikteta Muamar Gadaffi.
Waliomuua na kumshika Libya ni wakina nan , 😅 😅 Libya vipo mpaka kesho , vilikuwa ni liberals ...Walipewa kila kitu kutoka NATO mpaka silaha
 
Dunia ya leo sio marekani, bali ukitaka uishi vizuri siku hizi wewe usiwe tu na baya lolote na Mchina
Utaishi vizuri sana
Russia anapita humo
Kiduku anapita humo
EU wote wanapita humo


 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Jamani, hivi ni kweli haya mataifa makubwa kabisa katika medani za ujasusi na mbinu za kivita kuwa wameshindwa kumshikisha adabu Iran na kufanya regime change ndani ya taifa la Iran!?

Bila shaka kila mtu humu ndani anajua kuwa CIA na MOSSAD ni idara za ujasusi namba moja hapa duniani. Nini kinawashinda kufanya regime change katika taifa lilojichokea kama taifa la Iran!?

Nadhani kila mtu anajua jinsi taifa la Iran lilivyo hoi, si kiuchumi wala kijeshi!
Usije kuniambia kuwa taifa lenye vikwazo vya kiuchumi kwa takribani miaka zaidi ya 40 linaweza kuhimiri mikiki mikiki ya nguvu za Marekani pamoja na Israel?

CIA na MOSSAD wanakwama wapi?

Kwanza Netanyahu alipofanikiwa kumshawishi Trump Netanyahu akajiaminisha huu ndio mwaka nimeuwota miaka yangu yote ya ujanani
Iranian ikipigwa na Marekani kwishaa habari yake👈

NETANYAHU kwa chuki yake na kwakutaka Sifa nawao isiwapite ya kutwangwa Iranian mpaka wanyooshe mikono juu Kusurrender wakaona nawao wajitumbukize kishujaa 😜😜

Mziki ulipoanza 2weekend tu Israel ipo hoi Miji imesazwa kwa kichapo sio cha kitoto
Wakaanza kutafuta Ceasefire 🫎🫎kivyovyote wapo tayali lkn‼️
muhimu tu Iranian waache kutupia kwao🤠🤠

Kumbe ile Ceasefire Trump kafokewa na Netanyahu kaambiwa kafanye vyovyote mimi nishuke njiani
Twendapo napotea mbele ya Ulimwengu na mm ndio mchokozi nataka kujitoa kwenye VITA nimekoma na WaIranian😂😂

Iranian ni zaidi ya wahuni
Tangu Ceasefire Israel kaufyata kwa maelekezo ya Iranian usiguse Beirut mpaka leo wakazi wa Beirut wanalala usingizi wa pono Shubamit Iranian😜💪💪

Echolima1 kidogo tumuone jukwaa la michezo baada kuona Marekani na Israel wakichapika mbele ya Media zote😂😂😂😂😂😂
 
Walokole wa Tz kwasasq wamepunguzq shobo zao za kilokole lokole kuusu Israel😂😂
Mana walichafukwa bwana wao kutandikwa mpaka kuomba pooo
Na iyo pooo ikawa ndio chocholo ya kuikimbia ile Vita na ISLAMIC REPUBLIC OF IRANIAN ✍️
 
Waliomuua na kumshika Libya ni wakina nan , 😅 😅 Libya vipo mpaka kesho , vilikuwa ni liberals ...Walipewa kila kitu kutoka NATO mpaka silaha
Libya ilikuwa na mfumo wa vyama vingi wakati wa utawala wa Gadaffi!!?? Tutajie basi hivyo vyama.
 
Libya ilikuwa na mfumo wa vyama vingi wakati wa utawala wa Gadaffi!!?? Tutajie basi hivyo vyama.
Vilifungwa ila kulikuwa na rebel party ,kwa siri sana ambacho kilikuwa kinafadhiliwa na USA ..Wameuza ramani yote ya ndani ya nchi yaani NATO waliingia libya iko uchi .
 
Uhalisia ni kuwa Saudi, UAE, Oman Bahrain, Kuwait ndo sababu Iran kaonekana mshindi. Tofauti na hapo sidhani
 
Vilifungwa ila kulikuwa na rebel party ,kwa siri sana ambacho kilikuwa kinafadhiliwa na USA ..Wameuza ramani yote ya ndani ya nchi yaani NATO waliingia libya iko uchi .
Acha porojo wewe, hiyo "rebel party" ilikuwa inaitwaje.!!
 
Ulikuwa mdogo sana , so utabisha wakati kulikuwa na viongozi zaidi ya mmoja , sheria kali za Libya; Silaha walipata wapi ? Ukiachana na hao kuna ambao walifungwa na Gaddaf
Wewe hakuna unachokijua kuhusu Libya kunizidi na ujue wakati Gadaffi anatwaa madaraka mwaka 1969 mimi nilikuwa Bush School wewe nina imani haukuwepo katika dunia hii.

Libya haikuwahi kuwa na vyama vya kisiasa kwa muda wa miaka 42 ambayo Gadaffi amekuwa madarakani japo wapinzani walikuwepo lakini hawakuweza kuishi ndani ya Libya wote walikimbilia Ulaya kuokoa maisha yao.
 
Back
Top Bottom