Karibu kuwaza,ni kama Tu vile CCM inatamani kuipindua chadema na imeshindwa🤣Jamani, hivi ni kweli haya mataifa makubwa kabisa katika medani za ujasusi na mbinu za kivita kuwa wameshindwa kumshikisha adabu Iran na kufanya regime change ndani ya taifa la Iran!?
Bila shaka kila mtu humu ndani anajua kuwa CIA na MOSSAD ni idara za ujasusi namba moja hapa duniani. Nini kinawashinda kufanya regime change katika taifa lilojichokea kama taifa la Iran!?
Nadhani kila mtu anajua jinsi taifa la Iran lilivyo hoi, si kiuchumi wala kijeshi!
Usije kuniambia kuwa taifa lenye vikwazo vya kiuchumi kwa takribani miaka zaidi ya 40 linaweza kuhimiri mikiki mikiki ya nguvu za Marekani pamoja na Israel?
CIA na MOSSAD wanakwama wapi?
Habari njema sana hiiiRipoti ya wizara ya ulinzi ya USA inasema wanajeshi wake 700+ wamekwanyuliwa viungo na wengine 15+ wameuwawa tangu vita vianze (sorce BBCswahili)
Eidha hujui lolote au hujui mengibado hauelewi, islam na islamic republic of iran wana support kubwa west (communist) siajabu klk hata kwa muslims wenzao, waliokuwa wanaaandamna free palestine baada ya israeli kuwabana walikuwa ni watu wa west, sikuwahi kuona wasaudia, uae au katar wakiandamana popote free palestine kwanza egypt hata aliwafungia mpaka wapalestina wasivuke, hata wanaogawa chakula na misaadia kwa wapalestina sehemu kubwa ni hao hao westen but lkn hiyo siyo point yangu hata hivyo.
supporter wakubwa wa islam na islamic republic of iran wako west vinginevyo islam na iran ingeshaanguka zamani sana ...
Hivi Libya kulikuwa na vyama vya upinzani. Unaweza ukatutajia hivyo vyama vya upinzani vilivyokuwa nchini Libya wakati wa dikteta Muamar Gadaffi.Acha kuongea porojo ,USA ana nguvu kwa sababu wa waislamu pale mashariki ya kati ,vivyo hivyo kwa Israel ni kwa sababu ya waislamu hasa Saudia ,jordan ,Behrain , Qatar ,Kuwait...
Iran inapata sapot ya jamii ya kishia ambao hawafiki hata asilimia 30 ya waislamu wote ,jaalia waungane wote hao mpaka saudi ,uone hata USA asingeweza kujiandaa na vita hivyo kwa sababu intelijensia inafanyika karibuni pale pale Kwa majirani zake hata Pakistan ni mamluki...Assume iran ni inapewa sapot na 30% ya waislamu wote ,vipi kuhusu wakifika hata asilimia 80% ....
Alichoshindwa USA na Israel ni kukosa mamluki ,USA akikosa pandikizi hawezi kufanya chochote na hata ground invasion hatojaribu ,lqzima apate kuungwa mkono kutoka ndani ,ubaya ni mfumo wa iran hakuna vyama vya upinzani kwa vile wana kiongozi mkuu...Nchi za kiafrika anaweza kuingia kupitia mamluki wa vyama vya upinzani ,vivyo alifanya Venezuela na Libya ..
Waliomuua na kumshika Libya ni wakina nan , 😅 😅 Libya vipo mpaka kesho , vilikuwa ni liberals ...Walipewa kila kitu kutoka NATO mpaka silahaHivi Libya kulikuwa na vyama vya upinzani. Unaweza ukatutajia hivyo vyama vya upinzani vilivyokuwa nchini Libya wakati wa dikteta Muamar Gadaffi.
Jamani, hivi ni kweli haya mataifa makubwa kabisa katika medani za ujasusi na mbinu za kivita kuwa wameshindwa kumshikisha adabu Iran na kufanya regime change ndani ya taifa la Iran!?
Bila shaka kila mtu humu ndani anajua kuwa CIA na MOSSAD ni idara za ujasusi namba moja hapa duniani. Nini kinawashinda kufanya regime change katika taifa lilojichokea kama taifa la Iran!?
Nadhani kila mtu anajua jinsi taifa la Iran lilivyo hoi, si kiuchumi wala kijeshi!
Usije kuniambia kuwa taifa lenye vikwazo vya kiuchumi kwa takribani miaka zaidi ya 40 linaweza kuhimiri mikiki mikiki ya nguvu za Marekani pamoja na Israel?
CIA na MOSSAD wanakwama wapi?
Libya ilikuwa na mfumo wa vyama vingi wakati wa utawala wa Gadaffi!!?? Tutajie basi hivyo vyama.Waliomuua na kumshika Libya ni wakina nan , 😅 😅 Libya vipo mpaka kesho , vilikuwa ni liberals ...Walipewa kila kitu kutoka NATO mpaka silaha
Waliompindua Gaddaf ni wakina nan au hujui?Libya ilikuwa na mfumo wa vyama vingi wakati wa utawala wa Gadaffi!!?? Tutajie basi hivyo vyama.
Vilifungwa ila kulikuwa na rebel party ,kwa siri sana ambacho kilikuwa kinafadhiliwa na USA ..Wameuza ramani yote ya ndani ya nchi yaani NATO waliingia libya iko uchi .Libya ilikuwa na mfumo wa vyama vingi wakati wa utawala wa Gadaffi!!?? Tutajie basi hivyo vyama.
Acha porojo wewe, hiyo "rebel party" ilikuwa inaitwaje.!!Vilifungwa ila kulikuwa na rebel party ,kwa siri sana ambacho kilikuwa kinafadhiliwa na USA ..Wameuza ramani yote ya ndani ya nchi yaani NATO waliingia libya iko uchi .
Libyan freedom fighters.Waliompindua Gaddaf ni wakina nan au hujui?
Kulikuwa na chama cha reform , wakati anapinduliwa ulikuwa mdogo sana , so haujui kitu .Acha porojo wewe, hiyo "rebel party" ilikuwa inaitwaje.!!
Ulikuwa mdogo sana , so utabisha wakati kulikuwa na viongozi zaidi ya mmoja , sheria kali za Libya; Silaha walipata wapi ? Ukiachana na hao kuna ambao walifungwa na GaddafLibyan freedom fighters.
Wewe hakuna unachokijua kuhusu Libya kunizidi na ujue wakati Gadaffi anatwaa madaraka mwaka 1969 mimi nilikuwa Bush School wewe nina imani haukuwepo katika dunia hii.Ulikuwa mdogo sana , so utabisha wakati kulikuwa na viongozi zaidi ya mmoja , sheria kali za Libya; Silaha walipata wapi ? Ukiachana na hao kuna ambao walifungwa na Gaddaf