Hivi ni kweli CIA ya Marekani na Mossad ya Israel wameshindwa kabisa kuipindua Serikali ya Iran?

Nilikuambia ulikuwa mdogo , libya ilikuwa na rebel party , watu walikuwa mpaka na silaha ,mapinduzi yale yalifanikiwa kwa vile kulikuwa na viongozi , na movement zimeanza miaka mingi huko nyuma ..Gaddafi alikuwa anakwaruzana na baadhi waliopinga mapinduzi yake , tangu siku ya kwanza
 
Huyo jamaaa dini imemtia kichaa
 
Kwani mpaka wapinduliwe kosa lao ni nini?
 
unachosema ni kweli ila kinahusiana na pande zote tatu...imean kama wengine watakaa pembeni na kukataa kusaidia upande wowote basi hata USA kuna mataifa hawezi kusimam nazo,kwasababu ukitaka kupiga direct kwenye ardhi ya marekani lazma kuna nchi hapo zitapambana kuzuia mashambulizi dhidi ya marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…