Hivi ni kweli COVID-19 haijaingia bongo au ndio tunafichaficha kama ilivyo desturi yetu?

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
446
Reaction score
606
Kichwa chajieleza ni wasiwasi na kuto kuamini viongozi wetu,maana ni matukio mengi, huwa hatuambiwi kwa lengo la kulinda mambo fulani katika nchi au hata jinsi tutakavyo onekana nchi za nje.

By fact- Tanzania inategemea bizaha nyingi sana kutoka china, kwa mfano, pale kariakoo, bizaha nyingi ni kutoka china na wachina ni washiriki wakubwa katika kuziuza bizaha hizo.

By fact; Tanzania hatuna mifumo mkakati ili kuzuia magonjwa kujipenyeza kupitia mipakani na airports zetu, ni waongeaji na vitendo ni zero, wajuaji na viongozi wetu ni watu wasio penda opinion kutoka kwa wananchi na uhuru wa kujadili mambo yaliyo katika jamii, hivyo basi haiwezekani kwa tulivyo hivi, na double standards tulizo nazo katika kila nyanja, tuikose corana, hakuna.

By fact; hakuna measures zozote pale airport, wachina wanazidi kuingia kwa kigezo cha utarihi, na niwengi sana, hakuna seriousness yoyote, zaidi ya maneno maneno mengi.

Viongozi wa mikoa, sijui, maana hakuna neno lolote tahadhalishi, la jinsi ya kukabiliana na kuelimisha wananchi wao wawe makini katika gonjwa hili la corona

Binafsi, nimegoma, nimekataa, na siwezi kubari, kuwa corona haipo bongo, inawezekana kabisa corona bongo ipo isipokuwa, hawawezi kusema kwa kuhofia jamii ita respond tofauti na kupelekea ubaguzi wa hali ya juu.

Hivyo yani.
 
Kuna chombo chochote cha Habari cha kitaifa au kimataifa kimechotangaza kuhusu uwepo wa Coronavirus nchini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamani huku Arusha na Moshi kila siku Wanaingia wazungu na wachina. Hivi kwanini wasitulie sehemu moja corona iishe, yani wanakiherehere kucha kutwa kusafiri huko na huku. Hatutaki wataliii
 
Ukiona jambo limekuchanganya jua limekuzidi umri au uwezo.
 
Ila jamani huku Arusha na Moshi kila siku Wanaingia wazungu na wachina. Hivi kwanini wasitulie sehemu moja corona iishe, yani wanakiherehere kucha kutwa kusafiri huko na huku. Hatutaki wataliii
Akili ni sifuri
 
Hebu nenda kwanza ukajifunze kiswahili ndiyo uje hapa boya mkubwa wewe.....halafu eti umesoma mpaka chuo duh! ...eti bizaha? utarihi?kubari? utumbo mtupu
 
IMG-20200305-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamani huku Arusha na Moshi kila siku Wanaingia wazungu na wachina. Hivi kwanini wasitulie sehemu moja corona iishe, yani wanakiherehere kucha kutwa kusafiri huko na huku. Hatutaki wataliii
Bila watalii utashangaa hata nguvu za kuandika haya huna. Uko kama kuku wa kideri. Uchumi ni suala mtambuka
 
Hebu nenda kwanza ukajifunze kiswahili ndiyo uje hapa boya mkubwa wewe.....halafu eti umesoma mpaka chuo duh! ...eti bizaha? utarihi?kubari? utumbo mtupu
nawasiwasi na k yako, itakuwa imeathiliwa na corona!
 
S
goldcall,

Mkuu

Usipende kujipa shida kwa mambo ambayo yako nje ya uwezo wako.

Kabiliana na changamoto zilizoko ndani ya uwezo wako.

.

Sent from my iPhone using Tapatalk

Sisi wa tz hana tamaduni ya kufikiri kwa kina tunachukulia vitu simple simple umaskini hauta tuacha
Ni sahihi kufikiri na kutafuta suruhu ivi inadhan ugonjwa ukiingia utakuacha wewe ama watoto wako ama jamii kiujumla moderator yupo sahihi
 
Vipi mkuu hapo nyumbani kwenu mnayo au haujiamini hata wewe binafsi.
 
Huu ugonjwa upo toka December..
Ila haui huku Africa na joto no dawa tosha..
Watu wameugua na kupona toka December..
Ndo maana wazungu na wachina wanakimbilia huku Africa..
 
S

Sisi wa tz hana tamaduni ya kufikiri kwa kina tunachukulia vitu simple simple umaskini hauta tuacha
Ni sahihi kufikiri na kutafuta suruhu ivi inadhan ugonjwa ukiingia utakuacha wewe ama watoto wako ama jamii kiujumla moderator yupo sahihi

Mkuu,

Sidhani kama kuna serikali inayopenda raia wake wapate maradhi haya.

kuna Mamlaka husika zitasema kama kuna changamoto hii hapo nchini.

Tuache kupiga ramli zisizo na mpango.

Shukrani
 
Back
Top Bottom