Hivi ni kweli Dallas wa Wolper kafilisika kifedha au ni story tu za mjini?

Hivi ni kweli Dallas wa Wolper kafilisika kifedha au ni story tu za mjini?

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
habarini

Kutoka vyanzo visivyo rasmi nasikia Dallas sahiv anaishi kwa kuomba omba samaki kwenye fukwe za ununio..

Ikumbukwe kuwa alimuhonga wolper BMW X6, plus 39 million Tshs (hapo bado hawajakutana) pia naskia hela alizipata coz alikuwa anapiga dili za kuuza unga. Sasa mtu utauzaje unga hlf ufilisike kiasi hicho au labda alizinguana na waliopiga nae dili

Au labda baada ya kupata hela nyingi alikuwa anamwiga Reginald Mengi kutoa million 200, lol

Nawasilisha
 
???????????????😎😎😎😎😎😎😱😱😱😱😱😱😱😱😨😨😨😨😠😠😠 ueleweki,,,
 
habarini

Kutoka vyanzo visivyo rasmi nasikia Dallas sahiv anaishi kwa kuomba omba samaki kwenye fukwe za ununio..

Ikumbukwe kuwa alimuhonga wolper BMW X6, plus 39 million Tshs (hapo bado hawajakutana) pia naskia hela alizipata coz alikuwa anapiga dili za kuuza unga. Sasa mtu utauzaje unga hlf ufilisike kiasi hicho au labda alizinguana na waliopiga nae dili

Au labda baada ya kupata hela nyingi alikuwa anamwiga Reginald Mengi kutoa million 200, lol

Nawasilisha
Kumbuka kura kwa lowassa
 
ni kweli amefilisika na wanawake wa mjini hawamtaki,alipiga deal la million 700 lakin mademu wa bongo movie na ma miss ndio waliofaidi kwa kuongwa.

alikuwa pedesheee

Mmmh pesa noma usipokuwa nayo makini inakukataa mchana kweupe tena mbele za watu bila huruma Money Stunna
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kweli ametapanya mil 700 basi jamaa ni bonge la panzi! wajanja wanatengeneza asset alafu wanaendelea kula bata, huyu alitakiwa anunue kirikuu nne, ajenge nyumba nzuri ya kukaa yeye na nyumba za kupangisha fedha nyingine angetuliza kwa ajili ya kusukumia dili za fasta mjini na bado hao watoto angewararua leo, kesho keshokutwa mpaka apate ngoma
 
Back
Top Bottom