Kumbuka kura kwa lowassahabarini
Kutoka vyanzo visivyo rasmi nasikia Dallas sahiv anaishi kwa kuomba omba samaki kwenye fukwe za ununio..
Ikumbukwe kuwa alimuhonga wolper BMW X6, plus 39 million Tshs (hapo bado hawajakutana) pia naskia hela alizipata coz alikuwa anapiga dili za kuuza unga. Sasa mtu utauzaje unga hlf ufilisike kiasi hicho au labda alizinguana na waliopiga nae dili
Au labda baada ya kupata hela nyingi alikuwa anamwiga Reginald Mengi kutoa million 200, lol
Nawasilisha
ni kweli amefilisika na wanawake wa mjini hawamtaki,alipiga deal la million 700 lakin mademu wa bongo movie na ma miss ndio waliofaidi kwa kuongwa.
alikuwa pedesheee
ina maana hizo milioni 700 zimeisha?
ni kweli amefilisika na wanawake wa mjini hawamtaki,alipiga deal la million 700 lakin mademu wa bongo movie na ma miss ndio waliofaidi kwa kuongwa.
alikuwa pedesheee
Nilimuona flamingo pale magomeni akaja na washkaji zake anajifanya bado anazo!...hata akukute na mtu wako anawatuma wapambe wake eti mwambieni huyo bibie DALLAS anamuita!
ni kweli amefilisika na wanawake wa mjini hawamtaki,alipiga deal la million 700 lakin mademu wa bongo movie na ma miss ndio waliofaidi kwa kuongwa.
alikuwa pedesheee
kumbe ndo ulikuwa umekaa nje pale kuelekea kwa shekh yahaya,nw sio flamingo tena ni centre grill
ina maana hizo milioni 700 zimeisha?