Hivi ni kweli Dallas wa Wolper kafilisika kifedha au ni story tu za mjini?

Jamaa kweli kafilisika huwezi amini sisi tunaoishi Kinondoni ndo tunaojua zaidi mchezo mzima ulivyokuwa mpaka kufikia hali hiyo
 
Pesa ya kishenzi humalizika kishenzi na hurudi tena kishenzi kwa yule yule mshenzi.
 
Jamaa kweli kafilisika huwezi amini sisi tunaoishi Kinondoni ndo tunaojua zaidi mchezo mzima ulivyokuwa mpaka kufikia hali hiyo

Ndio kafilisika, hilo halina ubishi-kuna siku nimemuona pale ununio anagongea ugali kwenye mgahawa!
 
Jamaa kweli kafilisika huwezi amini sisi tunaoishi Kinondoni ndo tunaojua zaidi mchezo mzima ulivyokuwa mpaka kufikia hali hiyo
Kwani Kinondoni kuna nini wewe mwenyewe unaweza kukuta unakaa machafu chafu Moscow au Bonde la Mkwajuni.
 
Atakulaje mzigo wakati kule abroad walimhanithi

Naweza nkakubaliana na ww, kuna jamaa yake alisema kunasiku wameaidiana kabisa na Wolper akale mzigo. Jamaa kajifanya mambo mengi kamwambia bibie achukue hotel, dem kachukua had chumba kafukizia marashi lkn jamaa hakutokea. baadae akapga cm kapata dharura. Ndo ikawa bac tena dem karud na nyege zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…