Hivi ni kweli Dallas wa Wolper kafilisika kifedha au ni story tu za mjini?


Yule hafunction kabisa....ndaga aliyoiuza akajifanya ametekwa kanyang'anywa, ndo imemletea matatizo haya...sema ana mbwembwe balaa, the same to TEVEZ
 
Kwani Kinondoni kuna nini wewe mwenyewe unaweza kukuta unakaa machafu chafu Moscow au Bonde la Mkwajuni.
Kuna washamba km nyinyi mnafkiria kinondoni ni kwa mateja tu.tulioishi pale tunaelewa,ni sawa na na kumleta Mkigoma aishi bongo,
Babu mimi nimeishi wilaya zote tatu kikubwa.kwahiyo hazizingui
 
Yule hafunction kabisa....ndaga aliyoiuza akajifanya ametekwa kanyang'anywa, ndo imemletea matatizo haya...sema ana mbwembwe balaa, the same to TEVEZ
duh watu mna details mmh
 
Wolper alipoulizwa kuhusu hali ya Dallas kama anaweza kumsaidia, alijibu: “Nisingependa kumzungumzia huyo mtu

Dah....hawa wadada wa kibongo nyoko kweli....yaani kunawatu wanatuaminisha kuwa ni akina mama zetu ila wee waone hivi....huruma hakunaga.
 
Mwenye picha ya Dallas,
wengine hatumjui
 
Hivi haka kajomba nchumali toka ntwara anamuelewa vizuri chaga baby [emoji53]
 
Tupieni,picha ya huyo jamaa...na hizo fweza bas
 
Akafie mbele huko.Mm sina time kabisa Na misanii ya bongo fleva sijui bongo movie. Haya ndiyo yanaimbaga kwaya Na kukata viuno kwenye kampeni za Fisiemu kwenye uchaguzi. So I don't care
 
ali invest chini return yake always zero
 
Hizi hela za showoff they never last. It is a matter of time. Ni wakati wao ngoja wale bata
 
Ngada kwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…