Hivi ni kweli Diamond ana miaka 25?

Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120![/QUOTE
Shikamoo kaka Jambazi
 
nisijilizeni mimi kazaliwa mwaka 1996 ila wadau wenye wakili ya music ambao wana mnage walim,uambia azidishe miaka ila kiukweli Diamond dangote bill gates platinum ana miaka 18...that's it

Yaaani id yako imekuelezea jinsi ubongo wako ulivyo
 
Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120!

Hahahaaaaa
 
Hhhhhhhaaaa
warumi yuko wapi??

Hiyo avatar sijaipenda badilisha tafadhali irudishe ile ya kichungi bhanaaaa

unajua nilikupita tu kumbe upo kwa picha ingine......

haya weka mi nikuone nikipita kumwaga likes
 
Last edited by a moderator:
Dogo ana miaka 40 au zaidi, muoneni mama yake alivyo kikongwe, Haiwezekani amzae domo miaka 25 iliyopita. Impossible!
 
warumi yuko wapi??

Hiyo avatar sijaipenda badilisha tafadhali irudishe ile ya kichungi bhanaaaa

unajua nilikupita tu kumbe upo kwa picha ingine......

haya weka mi nikuone nikipita kumwaga likes

Warumi ana ban bado ila yupo humu,,kumbe ulinipitilizaaa, aaa weee hii picha yangu banaa ile ya kichungi si yanguu
 
Last edited by a moderator:
domondo na wema wote waongo,mamisi wa bongo wanadanganya sana umri wema naye hakosi miaka 30 we mtu alishiriki uis mwaka 2006 alikuwa mdada kabisa maziwa yameshaanguka
 
domondo na wema wote waongo,mamisi wa bongo wanadanganya sana umri wema naye hakosi miaka 30 we mtu alishiriki uis mwaka 2006 alikuwa mdada kabisa maziwa yameshaanguka

Hhhaaaaaa
 
domondo na wema wote waongo,mamisi wa bongo wanadanganya sana umri wema naye hakosi miaka 30 we mtu alishiriki uis mwaka 2006 alikuwa mdada kabisa maziwa yameshaanguka

Alishiriki miss tanzania akiwa na miaka 18 net....hahahaha danaganya kila kitu lakinbi sioumri utakamtwa tu.
 
domondo na wema wote waongo,mamisi wa bongo wanadanganya sana umri wema naye hakosi miaka 30 we mtu alishiriki uis mwaka 2006 alikuwa mdada kabisa maziwa yameshaanguka
UNless kama hukufuatlia mashindano ya mwaka 2006 lakini kwa sie tuliofuatilia, na kwa kuzingatia umbo la Wema, ni very possible kwamba alikuwa 18 na kama alidanganya, basi labda 19 lakini 20 alikuwa hajafika! Domo nae, angalia video yake ya Nenda Kamwambie ya 2011... sura bado ilikuwa changa kabisa pamoja na msoto ambao alikuwa nao!
 
mtu akishajiamulia kuwa hater kuna vitu hawezi kuviona....hata vikipigiwa mstari....wala usisumbuke kumuelezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…