tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
wengine hatumjui limutus ndio nani?Bila kumtaja Le Mutuz hamna raha,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengine hatumjui limutus ndio nani?Bila kumtaja Le Mutuz hamna raha,
Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120![/QUOTE
Shikamoo kaka Jambazi
wengine hatumjui limutus ndio nani?
nisijilizeni mimi kazaliwa mwaka 1996 ila wadau wenye wakili ya music ambao wana mnage walim,uambia azidishe miaka ila kiukweli Diamond dangote bill gates platinum ana miaka 18...that's it
Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120!
Kumbe Ni mzee kwa davido, davido Ni 21
warumi yuko wapi??
Hiyo avatar sijaipenda badilisha tafadhali irudishe ile ya kichungi bhanaaaa
unajua nilikupita tu kumbe upo kwa picha ingine......
haya weka mi nikuone nikipita kumwaga likes
Hii avatar bana cjui naonaje
Rudisha ile best
domondo na wema wote waongo,mamisi wa bongo wanadanganya sana umri wema naye hakosi miaka 30 we mtu alishiriki uis mwaka 2006 alikuwa mdada kabisa maziwa yameshaanguka
Ndomondi hawezi kuwa na miaka 25 sasa hivi, atakuwa anachezea 34 hukoo! sura tuu ukimwangalia vizr utaona!
Darasa la saba amemaliza mwaka gani?
domondo na wema wote waongo,mamisi wa bongo wanadanganya sana umri wema naye hakosi miaka 30 we mtu alishiriki uis mwaka 2006 alikuwa mdada kabisa maziwa yameshaanguka
Alishiriki miss tanzania akiwa na miaka 18 net....hahahaha danaganya kila kitu lakinbi sioumri utakamtwa tu.
UNless kama hukufuatlia mashindano ya mwaka 2006 lakini kwa sie tuliofuatilia, na kwa kuzingatia umbo la Wema, ni very possible kwamba alikuwa 18 na kama alidanganya, basi labda 19 lakini 20 alikuwa hajafika! Domo nae, angalia video yake ya Nenda Kamwambie ya 2011... sura bado ilikuwa changa kabisa pamoja na msoto ambao alikuwa nao!domondo na wema wote waongo,mamisi wa bongo wanadanganya sana umri wema naye hakosi miaka 30 we mtu alishiriki uis mwaka 2006 alikuwa mdada kabisa maziwa yameshaanguka
UNless kama hukufuatlia mashindano ya mwaka 2006 lakini kwa sie tuliofuatilia, na kwa kuzingatia umbo la Wema, ni very possible kwamba alikuwa 18 na kama alidanganya, basi labda 19 lakini 20 alikuwa hajafika! Domo nae, angalia video yake ya Nenda Kamwambie ya 2011... sura bado ilikuwa changa kabisa pamoja na msoto ambao alikuwa nao!