Hivi ni kweli Diamond ana miaka 25?

Hivi ni kweli Diamond ana miaka 25?

UNless kama hukufuatlia mashindano ya mwaka 2006 lakini kwa sie tuliofuatilia, na kwa kuzingatia umbo la Wema, ni very possible kwamba alikuwa 18 na kama alidanganya, basi labda 19 lakini 20 alikuwa hajafika! Domo nae, angalia video yake ya Nenda Kamwambie ya 2011... sura bado ilikuwa changa kabisa pamoja na msoto ambao alikuwa nao!

Acha uongo wimbo wa kamwambie ulitoka 2008
 
Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120!

We unatafuta ugomvi na Le Mutuz mutu ya mabebezzz?
 
Acha uongo wimbo wa kamwambie ulitoka 2008
Does it change anything? Isitoshe, mie nilikuwa na-refer video (sio nyimbo) nyingine kabisa coz' hata hiyo nyimbo ya nenda kamwambie haikutoka 2008!
 
By the way kwani age ni nini ? si namba tu yeyote anaweza kujichagulia namba yeyote apendayo ? hata akisema ana 16 poa tu kwani kuna kesi ? Mwataka kujua kwani nyie ni polisi mbona maswali mingi ? Mnakadi la kliniki ? kama vipi Wazee Bongo Mjipangeeee
 
By the way kwani age ni nini ? si namba tu yeyote anaweza kujichagulia namba yeyote apendayo ? hata akisema ana 16 poa tu kwani kuna kesi ? Mwataka kujua kwani nyie ni polisi mbona maswali mingi ? Mnakadi la kliniki ? kama vipi Wazee Bongo Mjipangeeee

Numbers never lie.
 
Thubutu, eti 25, Dai yupo kwenye 20 ila anaongeza namba ili tusione kuwa anabemendwa na Mama Ubaya....
 
domondo na wema wote waongo,mamisi wa bongo wanadanganya sana umri wema naye hakosi miaka 30 we mtu alishiriki uis mwaka 2006 alikuwa mdada kabisa maziwa yameshaanguka
kwa hili la sitti mtemvu miss tanzania 2014 kupunguza miaka hiyo yote sasa naamini wema sepetu ana miaka 40
 
hivi watu wa huko temeke mbona wanapenda sana kudanganya umri? mfano diamond na huyu bibi bomba tanzania 2014 sitti mtemvu?
 
miaka 18 kama Sitti binti Mtemvu!!!!
nisijilizeni mimi kazaliwa mwaka 1996 ila wadau wenye wakili ya music ambao wana mnage walim,uambia azidishe miaka ila kiukweli Diamond dangote bill gates platinum ana miaka 18...that's it
 
Back
Top Bottom