Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warumi ana ban bado ila yupo humu,,kumbe ulinipitilizaaa, aaa weee hii picha yangu banaa ile ya kichungi si yanguu
Hii yangu bana acha niuze suraa men
UNless kama hukufuatlia mashindano ya mwaka 2006 lakini kwa sie tuliofuatilia, na kwa kuzingatia umbo la Wema, ni very possible kwamba alikuwa 18 na kama alidanganya, basi labda 19 lakini 20 alikuwa hajafika! Domo nae, angalia video yake ya Nenda Kamwambie ya 2011... sura bado ilikuwa changa kabisa pamoja na msoto ambao alikuwa nao!
Diamond in mdogo itakuwa kazidisha mwaka 1
Unaona sasa kumbe sipo peke yangu
Mbona we hua unabadiliii sisemii
Kama huzipendi uwe unaniambia binaaaa
Unajua nini... Zile avatar zako huwa zinavutia likes kinoma
Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120!
wengine hatumjui limutus ndio nani?
Does it change anything? Isitoshe, mie nilikuwa na-refer video (sio nyimbo) nyingine kabisa coz' hata hiyo nyimbo ya nenda kamwambie haikutoka 2008!Acha uongo wimbo wa kamwambie ulitoka 2008
By the way kwani age ni nini ? si namba tu yeyote anaweza kujichagulia namba yeyote apendayo ? hata akisema ana 16 poa tu kwani kuna kesi ? Mwataka kujua kwani nyie ni polisi mbona maswali mingi ? Mnakadi la kliniki ? kama vipi Wazee Bongo Mjipangeeee
kwa hili la sitti mtemvu miss tanzania 2014 kupunguza miaka hiyo yote sasa naamini wema sepetu ana miaka 40domondo na wema wote waongo,mamisi wa bongo wanadanganya sana umri wema naye hakosi miaka 30 we mtu alishiriki uis mwaka 2006 alikuwa mdada kabisa maziwa yameshaanguka
nisijilizeni mimi kazaliwa mwaka 1996 ila wadau wenye wakili ya music ambao wana mnage walim,uambia azidishe miaka ila kiukweli Diamond dangote bill gates platinum ana miaka 18...that's it