Hivi ni kweli Double Kick imefungiwa?

Hivi ni kweli Double Kick imefungiwa?

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Jana na juzi nimezisaka mitaa ya huku Mbezi hakuna kote nikambiwa kwamba zimezuiwa kuna tatizo ila kengele fulani ikalia kichwani last week mara mbili nilitapika baada ya kunywa double kick 2 plus safari 3 nikadhani labda nilikula chakula kibaya.

Anyway jana nilitumia rivella nikamix na safari nimeamka vizuri leo no hangover no kutapika lakini haina vibe kama la double kick kwa kweli.
 
Probably maana hadi nilijishangaa twice naamka kesho yake ni hangover siku nzima mwisho ni kutapika na kama ni kweli zimezuiwa basi kuna mafeki tulikuwa tunakunywa kipande hiki maan naskia hadi kawe hazipo
daahh pole sana..usikute waliziwekea chibuku
 
Jana na juzi nimezisaka mitaa ya huku mbezii hakuna kote nikambiwa kwamba zimezuiwa kuna tatizo ila kengele fulani ikalia kichwani last week mara mbili nilitapika baada ya kunywa double kick 2 plus safari 3 nikadhani labda nilikula chakula kibaya

Anyway jana nilitumia rivella nikamix na safari nimeamka vizuri leo no hangover no kutapika lakini haina vibe kama la double kick kwa kweli
Double kick 2 na safari 3🤣🤣! Dah
 
Imefungiwa wapi jana tu Sule na Mgosi walikuwa wanakunywa hapa Senzele kwa mjeda mchaga anazo kwenye kiosk chake kama zote
labda stocks za mwisho mwisho ila pande za kawe hadi mbezi hadi goba hakuna
 
Back
Top Bottom