Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili nahisi ni jibu sahihi tarehe 1 july siyo?Haijafungiwa Watu wameweka stock bei inapanda kesho kutwa hapo
Wewe ni mlevi konki mzee,zile naskia mbili tu mtu chalihuw nakunywa hata 3 namix na safari lakini last week ilikuwa hatari nimetapika mara mbili na hangover ya siku nzima jan anatafuta ndo hivyo tena hazipo
Yani huyu nadhani ni mlevi mbwa wa bei rahisi. Sijawahi hata kunusa hizo kitu, shambani kwangu ilikuwa nikimpa dogo double kick au kuna diamond zinaitwa anapiga mbili atavurumisha trekta wallak hela kumi mnazikata masaa kadhaa tu.Double kick 2 na safari 3🤣🤣! Dah
Kwanza zinazeesha mwili balaa...😀😀😀nevaYani huyu nadhani ni mlevi mbwa wa bei rahisi. Sijawahi hata kunusa hizo kitu, shambani kwangu ilikuwa nikimpa dogo double kick au kuna diamond zinaitwa anapiga mbili atavurumisha trekta wallak hela kumi mnazikata masaa kadhaa tu.
Nilipogundua kuwa ule ni ulevi wa bei rahisi sana alikuwa wanakoma unawavuruga na diamond tano tu wanaeaka na jua lile wallah sitakuja kugusa hizo takataka
Eeeh bana wale watu wa kondoa nawalimisha ukikaa nap unamsalimia shikamoo kumbe kijana mwenzio tu sema diamond na double kick na wanavuta sonyo Yani balaa.Kwanza zinazeesha mwili balaa...😀😀😀neva
Na zina soko balaa...dah...hapana kwakweliEeeh bana wale watu wa kondoa nawalimisha ukikaa nap unamsalimia shikamoo kumbe kijana mwenzio tu sema diamond na double kick na wanavuta sonyo Yani balaa.
Hawa vijana wanalewa pombe ya bei rahisi sana itawwua. Nahisi hiyo diamond ndio inatengenezewa huko shinyanga kuna kiwanda aisee.
Sasa hivi ndio zinauzwa zaidi sababu kwa mfano Kvant ndogo ni 5000 kubwa 10000 mpaka 12000, na akinywa ya 5000 bado anakuwa hajalewa wakati akipiga double kick mbili anaiva saaafi.Na zina soko balaa...dah...hapana kwakweli
Yes k vant bado ina heshima yake kabisa...dah hayo makitu hapana kbs..kwanza ukifungua tu ile harufu dahSasa hivi ndio zinauzwa zaidi sababu kwa mfano Kvant ndogo ni 5000 kubwa 10000 mpaka 12000, na akinywa ya 5000 bado anakuwa hajalewa wakati akipiga double kick mbili anaiva saaafi.
Yani wameiondoa sokoni kvanga. Heri hata kvanga ibakie kama kinywaji cha heshima wanywe hayohayo mataputapu maana Kvant ilipokuwa inanyweka sana ilionekana sasa inaelekea kudharaulika.
Wacha watapike tu😃😃😃😃 vijana wadogo wanajizeesha kiss ubahili kutaka kulewa kwa bei cheemYes k vant bado ina heshima yake kabisa...dah hayo makitu hapana kbs..kwanza ukifungua tu ile harufu dah
Hapa kiduka cha Mangi kvant inauzwa 3500 ya nini nijitese na kick?Sasa hivi ndio zinauzwa zaidi sababu kwa mfano Kvant ndogo ni 5000 kubwa 10000 mpaka 12000, na akinywa ya 5000 bado anakuwa hajalewa wakati akipiga double kick mbili anaiva saaafi.
Yani wameiondoa sokoni kvanga. Heri hata kvanga ibakie kama kinywaji cha heshima wanywe hayohayo mataputapu maana Kvant ilipokuwa inanyweka sana ilionekana sasa inaelekea kudharaulika.
Kwakweli aisee maana kwa mangi shop ni hiyo bei kwenye bar za kawaida ndio 4000-5000. Vijana wanaamua kujinywesha mataputapu wenyewe tuHapa kiduka cha Mangi kvant inauzwa 3500 ya nini nijitese na kick?
Tena kuna valuu inauzwa 2500 hivi pombe za kwenye chupa ya plastick hapana aiseeKwakweli aisee maana kwa mangi shop ni hiyo bei kwenye bar za kawaida ndio 4000-5000. Vijana wanaamua kujinywesha mataputapu wenyewe tu
Halafu ukizoea kunywa mapombe ya bei rahisi hachelewi kujikuta umehamia kwenye gongo ya 500 au chibuku
Pombe ya kwenye chupa ya plastiki haifai, angalia hata soda ya kwenye chupa ya plastiki ilivyo haina utamu kama Ile ya kwenye kioo.Tena kuna valuu inauzwa 2500 hivi pombe za kwenye chupa ya plastick hapana aisee
Jana na juzi nimezisaka mitaa ya huku mbezii hakuna kote nikambiwa kwamba zimezuiwa kuna tatizo ila kengele fulani ikalia kichwani last week mara mbili nilitapika baada ya kunywa double kick 2 plus safari 3 nikadhani labda nilikula chakula kibaya
Anyway jana nilitumia rivella nikamix na safari nimeamka vizuri leo no hangover no kutapika lakini haina vibe kama la double kick kwa kweli
Double Kick moja sawa na Castle light 9[emoji16][emoji16]...43%? Jamani wataua watu[emoji848]