Hivi ni kweli Double Kick imefungiwa?

ni nooma ile nimejaribu kuiacha nashindwa saa nyingne naenda zile bar kubwa ambapo hawauzi huwa naingia nazo hata mbili kwenye mfuko na mix na beer hata kama mfukoni nina hela nyingi pombe kali nyingine naona kama zinanichelewesha tu
Aisee mkuu hiyo sasa ni balaa. Kuna wakati nilijaribu kunywa niakjikuta asubuhi naamua na pesa lakini nakuwa nimelewa sana. Zilisababisha nikataka kufukuzwa kibarua changi dah
 
Mkuu Punguza Ulevi..Au Unaona Walokufa Mapema Wanafaidi?.
 
Tangazo la biashara au maana moja umeipondea nyingine umeisifia
 
Hiyo double kick ni kali kuliko gongo. Kuna siku nilipiga kama maji gongo ya 1000 kwa mama Ene, lakini nilipopiga double kick nikavaibreti hadi nikamwaga kidogo kwenye glass.
Kwanza ukiifungua na kuisogeza puani hapa unasikia harufu kali!
 
Nadhani zifungiwe tu maana husababisha ini na figo kufeli
 
Ondoa hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…