Hivi ni kweli fukufuku anafanya matiti yawe Makubwa ya kuvutia na kusisimua?

Hivi ni kweli fukufuku anafanya matiti yawe Makubwa ya kuvutia na kusisimua?

Mimi ndo naskia leo huyu mdudu
si upo kanda ya ziwa,
tafuta mwenyeji yoyote akuoneshe maana nakumbuka tulivyokuwa wadogo huyo mdudu ukikuta shimo lake, unaanza kupiga pembeni huku unamuimbia wimbo wa kumbeleza atoke na anatoka,
sijui ilikuwa sababu ya bugudha zetu lakini akitoka unashangilia kama umewin lotto vile hahaa

kingine ilikuwa wale ndege nyangenyage na wao walikuwa wakipita, mnaanza kuwaimbia huku mmenyoosha mikono juu mkiwaomba wawarefushie kucha 😁

wengine nao walikuwa wanaamini kuchanjia tango ili kuongeza maumbile

mambo ni mengi na utotoni nilikuwa naamini ila kwa sasa naona kama conspirancies tu
 
Hahaa sijazaliwa huko...dah..bas mm utotoni mengi yamenipita ..nadhan ni na aina ya familia ..sijawah kwenda cheza kwa marafiki!😶
Hata michezo ya kibaba na mama mimi siiui..u can imagine
 
Hahaa sijazaliwa huko...dah..bas mm utotoni mengi yamenipita ..nadhan ni na aina ya familia ..sijawah kwenda cheza kwa marafiki!😶
Hata michezo ya kibaba na mama mimi siiui..u can imagine
ni kweli sometimes ukilelewa kwenye familia zilizo strict na ya class flani kuna vitu baadhi una kuwa huvijui automatically. It's cool lakini, jitahidi umtafute mdudu fugufugu (fukufuku)
 
Salaam Wapenzi wangu,

Kuna wadudu wadogo wanachimba shimo sehemu penye mchanga, inadaiwa ukimchukua ukamung'atisha kwenye chuchu la titi, inarutubisha na kufanya ziwa liwe kubwa la kupendeza. Hata ukinyonyesha halilali na kuwa ndarandefu.

Wadudu wengine walioonesha mafanikio makubwa wanakaa kwenye maji. Wana rangi nyeusi, wanaogelea sana, Wanaitwa nderandera au wachora ramani au Wachora barua [Siwafahamu jina lakini la kitaalam wana rangi kama nyeusi hivi]. Ila wanaogelea kwa speed, sio rahisi kumkamata.

Wanawake wamekuwa wakiwatumia kwa matumizi ya kupendezesha au kukuza Matiti.

Asilimia kubwa ya wakina Dada wameng'atwa na hawa wadudu ili matiti yakue. Mimi nata niwatafute niwafuge nianze kuwauza.

Je, Ntatengeneza faida?

Kwa wale waliowakamata na kuwalazimisha wawang;ate chuchuchu, je ulifanikiwa kukuza matiti?

Naomba kujua kama fukufuku wanakuza matiti.

Fukufuku usipomuimbia hatoki. Lazima uwaimbie wimbo wake...Fukufuku toka baba yako kaja kakuletea Mkate... Wakati wa kumtoa shimoni unatakiwa uwe umekaa, ukiinama au kuchuchumaa huwezi mpata.

Huyu mdudu anaitwaje kwa kiingereza mkuu ?

Anaitwaje huyu mdudu
 
Mambo ya kizamani sana haya , kama wale waliokua wanashindana kurusha mkojo juu tu enzi zilee za utoto
 
ni kweli sometimes ukilelewa kwenye familia zilizo strict na ya class flani kuna vitu baadhi una kuwa huvijui automatically. It's cool lakini, jitahidi umtafute mdudu fugufugu (fukufuku)
Anapatikana mikoa yote? Sasa huyo wa kuniumiza mtindi si itakuwa noma?mm hanifai mkuu...
 
Waeke wang'ate na papuchi maana zingine hazina afya
 
Enyagoloizi in Haya tongue,(Nyagoloizi/tropical swamp beetle in English). Hao ni kweli uchochea (stimulus; after a sting) homoni za ukuaji wa viungo vyenye mafuta mengi. Kama ukiwa na 'calling' ya 'spiritual entrepreneurship' endelea na mradi wako: matunda yake matamu, hutojutia kuyaonja japo itachukua muda kupata faida kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom