Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Kama unavyo vidogo ndio umepata dawa sasaMm ndo naskia leo huyu mdudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unavyo vidogo ndio umepata dawa sasaMm ndo naskia leo huyu mdudu
Kilo sio chini ya 3 aise! Balaa na nusuKama unavyo vidogo ndio umepata dawa sasa
Baba watoto wako akikumbatia anasahau matatizo yake yote 😋😋😋Kilo sio chini ya 3 aise! Balaa na nusu
Acha ubinafsi wewe....!sema nikikumbatiwa i feel very comfortable najiona tajiriBaba watoto wako akikumbatia anasahau matatizo yake yote 😋😋😋
Asante sana... Sina neno jingineAcha ubinafsi wewe....!sema nikikumbatiwa i feel very comfortable najiona tajiri
si upo kanda ya ziwa,Mimi ndo naskia leo huyu mdudu
Hahaa sijazaliwa huko...dah..bas mm utotoni mengi yamenipita ..nadhan ni na aina ya familia ..sijawah kwenda cheza kwa marafiki!😶si upo kanda ya ziwa,
tafuta mwenyeji yoyote akuoneshe maana nakumbuka tulivyokuwa wadogo huyo mdudu ukikuta shimo lake, unaanza kupiga pembeni huku unamuimbia wimbo wa kumbeleza atoke na anatoka,
sijui ilikuwa sababu ya bugudha zetu lakini akitoka unashangilia kama umewin lotto vile hahaa
kingine ilikuwa wale ndege nyangenyage na wao walikuwa wakipita, mnaanza kuwaimbia huku mmenyoosha mikono juu mkiwaomba wawarefushie kucha 😁
wengine nao walikuwa wanaamini kuchanjia tango ili kuongeza maumbile
mambo ni mengi na utotoni nilikuwa naamini ila kwa sasa naona kama conspirancies tu
KaribuAsante sana... Sina neno jingine
😃 Utotoni tu...Ulishajaribu hii tiba!
ni kweli sometimes ukilelewa kwenye familia zilizo strict na ya class flani kuna vitu baadhi una kuwa huvijui automatically. It's cool lakini, jitahidi umtafute mdudu fugufugu (fukufuku)Hahaa sijazaliwa huko...dah..bas mm utotoni mengi yamenipita ..nadhan ni na aina ya familia ..sijawah kwenda cheza kwa marafiki!😶
Hata michezo ya kibaba na mama mimi siiui..u can imagine
Huyu mdudu anaitwaje kwa kiingereza mkuu ?Salaam Wapenzi wangu,
Kuna wadudu wadogo wanachimba shimo sehemu penye mchanga, inadaiwa ukimchukua ukamung'atisha kwenye chuchu la titi, inarutubisha na kufanya ziwa liwe kubwa la kupendeza. Hata ukinyonyesha halilali na kuwa ndarandefu.
Wadudu wengine walioonesha mafanikio makubwa wanakaa kwenye maji. Wana rangi nyeusi, wanaogelea sana, Wanaitwa nderandera au wachora ramani au Wachora barua [Siwafahamu jina lakini la kitaalam wana rangi kama nyeusi hivi]. Ila wanaogelea kwa speed, sio rahisi kumkamata.
Wanawake wamekuwa wakiwatumia kwa matumizi ya kupendezesha au kukuza Matiti.
Asilimia kubwa ya wakina Dada wameng'atwa na hawa wadudu ili matiti yakue. Mimi nata niwatafute niwafuge nianze kuwauza.
Je, Ntatengeneza faida?
Kwa wale waliowakamata na kuwalazimisha wawang;ate chuchuchu, je ulifanikiwa kukuza matiti?
Naomba kujua kama fukufuku wanakuza matiti.
Fukufuku usipomuimbia hatoki. Lazima uwaimbie wimbo wake...Fukufuku toka baba yako kaja kakuletea Mkate... Wakati wa kumtoa shimoni unatakiwa uwe umekaa, ukiinama au kuchuchumaa huwezi mpata.
Hahaha..😃 Utotoni tu...
Anapatikana mikoa yote? Sasa huyo wa kuniumiza mtindi si itakuwa noma?mm hanifai mkuu...ni kweli sometimes ukilelewa kwenye familia zilizo strict na ya class flani kuna vitu baadhi una kuwa huvijui automatically. It's cool lakini, jitahidi umtafute mdudu fugufugu (fukufuku)
nilijua upo lake zoneAnapatikana mikoa yote? Sasa huyo wa kuniumiza mtindi si itakuwa noma?mm hanifai mkuu...
Yes niko lake zone..so anapatikana wap...kwan mikoa minginr hayupo?nilijua upo lake zone
mikoa mingine sijajua ila usukumani sidhani kama wanakosekana haoYes niko lake zone..so anapatikana wap...kwan mikoa minginr hayupo?