Hivi ni kweli fukufuku anafanya matiti yawe Makubwa ya kuvutia na kusisimua?

Hivi ni kweli fukufuku anafanya matiti yawe Makubwa ya kuvutia na kusisimua?

Nakumbuka primary mimi na rafikiangu tulikuwa tunatoroka shule kuwatafuta hao wadudu baada ya kuona dada zetu wameota maziwa alafu sisi bado flat.
By the way, It never worked
 
Back
Top Bottom